Sababu za mwanaume kununua sex.

Sababu za mwanaume kununua sex.

Ndio maana nasisitiza muwe mnatumia kinga jamani,

na kukupa K kila unapotaka ni haiwezekani,niko katika MP( Menstruation period) na we unataka

si utaenda tu huko,au mkeo katoka kujifungua hapo haruhusiw Ku do for sometime.

Siku za Menstruation na za baada ya kujifungua,wanaume walio wengi wanaziheshimu sana na huwa wanakua wapole tu,.Sema siku za kawaida wadada wengi wanakua watata na kuangalia uwezekano wa kubembelezwa kwa NOTI,ndo hapo majanga yanakuja!!!
 
sababu ni nyingi ad nashindwa nianze na ipi,kwa uchache ni;udomo zege,genye mshindo zlzolundikana,kutaka kujua kwenye kibuyu kuna nini,kuchoshwa uzee wa mapgo ya mke/beibei....,...

Kubaniwa na uliyenaye pia yaweza kuwa sababu..
 
napenda kumlipa msichana kwa sababu zifuatazo...
1. i always pay for what i demand.
2. huwa sipendi kujuana juana saaana... usipotuma sms mara hoo siku hzi una mwingine.
3. Huwa inapunguza uwezo wa kuumia moyo.
4. Cha bure aghali.
5.
6.
7.
 
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya wanaume kununua sex yaani kumchukua mwanamke na kufanyanae ngono kwa kumpatia ujira?

Kwa sababu wanawake wanauza. Bidhaa isipokuwepo nadhani hata wanunuzi hawatakuwepo
 
Really kwa kuwa havishikiki....ila kwa habar ya aman hebu waza kuhusu walinda aman kule kongo.????? Hawalipwi kweli!!!
 
Back
Top Bottom