Sababu za mwanaume kununua sex.

Sababu za mwanaume kununua sex.

Watu wako bize Mbaya mapenzi ya isidingo hawayawezi unafuatilia miezi mitatu unapewa busu la shavu miezi Minne unapewa denda miezi minne ndo unapata papuchi na hapo mizinga Kibai ushapigwa kama gharama za Ujenzi vile leo kokoto cementi kesho nonndo unaanzia msingi kuta hadi gebo yote haya ya nini kitu kona baa fastaa buku kumi tuuu ukiebda tanfale kwa tumbo kitu muruaaa kwa buku jeroooo.faida katika jamii ni hizi 1. Ajira na humpatia kipato kwa wenzetu serikali inakusanya Jodi 2. Madomo zege hawapati shida na kujinyea nyea 3. Walio bize na haeana muda wa mapenzi ya usumbufu 4. Huongeza mapato ya gesti na baa.
 
Kiukweli sio tabia nzuri sana ila sababu mojawapo ni hii
Kuepuka gharama!
 
Jigolo? Aisee huu msamiati mpya kwangu, ni kinyakyusa au kiswahili?
Mkuu Malafyale yuko sahihi, japo alipaswa kusema "Gigolo" na si "Jigolo"!
A gigolo is a male escort or social companion who is supported by a woman in a continuing relationship,[1] often living in her residence or having to be present at her beck and call. The gigolo is expected to provide companionship, to serve as a consistent escort with good manners and social skills, and often, to serve as a dancing partner as required by the woman in exchange for the support (which is contrary to typical norms). Many gifts such as expensive clothing and an automobile to drive may be lavished upon him. The relationship may include sexual services as well, when he also would be referred to as, "a kept man".[2]

The term, gigolo, usually implies a man who adopts a lifestyle consisting of a number of such relationships serially, rather than having other means of support.[3][4]

The word, gigolo, may be traced to a first use as a neologism during the 1920s as a back formation from a French word, gigolette, a woman hired as a dancing partner.[5]
 
​Baadhi ya nchi duniani hata Wanawake wananunua pia.
 
ukimpa mwanume kila anap[otaka hawezi kwenda hata kidogo ila akiwa na kiu alafu wewe unaleta mapozi lazima akafanye biashara haramu
Sawa kabisa bhana eti demu ni wako lakini itabidi uvizie siku yuko off ndio upate sasa soo linakuwa kubwa kama una mke siku yuko off ndio siku waif nae anaratiba zake na wewe lini mtaonana? unabakia mtu wa kuliwa mpunga tu mara dia kodi ya nyumba mara ada mdogo wangu karudishwa mara shangazi kaja anataka nimtoe na hapo hujaigonga una wiki tatu sasa tabu yooote ya nini na vitu poa vimejaa ndio mana midada mingi iko juu ya mawe kwa mambo ya ujuaji
 
Ndio maana nasisitiza muwe mnatumia kinga jamani,

na kukupa K kila unapotaka ni haiwezekani,niko katika MP( Menstruation period) na we unataka

si utaenda tu huko,au mkeo katoka kujifungua hapo haruhusiw Ku do for sometime.
kwani una bread mwezi mzima ukinipa siku 27 toa nne za ku bread ndani ya mwezi kuna tatizo
 
Back
Top Bottom