Sababu za mwanaume kununua sex.

Sababu za mwanaume kununua sex.

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya wanaume kununua sex yaani kumchukua mwanamke na kufanyanae ngono kwa kumpatia ujira?
 
sababu ni nyingi ad nashindwa nianze na ipi,kwa uchache ni;udomo zege,genye mshindo zlzolundikana,kutaka kujua kwenye kibuyu kuna nini,kuchoshwa uzee wa mapgo ya mke/beibei....,...
 
Uwepo wa hao wanawake inaweza kuwa sababu

Hata wanawake pia hununua sex!Mwanamme anayelipwa na mwanamke ili ampe ngono huitwa "jigolo"!

Labda ungeuliza sasa swali jipya "Kwa nn jinsia zote 2 ununua sex"?
 
Naomba nihitimishe "sababu ni ukosefu wa true luv"..
 
hiyo ni sawa na wewe kujiuliza kama unapitaga njia moja tuuuu maishani mwako kote unapotoka nyumbani na unaporudi.
 
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya wanaume kununua sex yaani kumchukua mwanamke na kufanyanae ngono kwa kumpatia ujira?

popo anatoa huduma murua ambayo kamwe hutajutia maishani mwako , kama unabisha basi jaribu siku moja uone radha murua utayopata. popo hoyeee.....:majani7:😛eace::msela:
 
He! Kumbe huwa mnanunua? Vipi bei inakuwa fixed au kunakuwa na bargaining?? Naona mie ninayetoa papuchi yangu bure napata hasara!
 
Kupunguza gharama,mf. Bia(henken) 5*4000=20,000, taxi ya kumrudisha nyumbani 10,000,honey simu haina vocha 2000, kuna mchango wa harusi ya shangazi yake na kaka wa makumbusho 50,000, leo siko vizuri"stress" nk nk, lakini ukitoa 20,000 ya gest na ujira usozidi elfu 10, kondom za bure umemaliza shida zako!!
 
Hata wanawake pia hununua sex!Mwanamme anayelipwa na mwanamke ili ampe ngono huitwa "jigolo"!

Labda ungeuliza sasa swali jipya "Kwa nn jinsia zote 2 ununua sex"?

Jigolo? Aisee huu msamiati mpya kwangu, ni kinyakyusa au kiswahili?
 
km vp npm niwe wa kwanza kukuunga!

mkuu geezle naona unatumbukia kwenye andaki ama korongo jina lewenye eti binti.com kwa sisi watu tehama tunaamini .com ni masuala ya biashara hence iyo pochi yake anauza sana aishi unyevu.
 
Sex workers na wanunuzi wapo toka miaka YA BC hata kabla ya ROMAN empire so usitoke povu mkuu
 
Back
Top Bottom