kimugina
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,142
- 577
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya wanaume kununua sex yaani kumchukua mwanamke na kufanyanae ngono kwa kumpatia ujira?
Kuepeka Usumbufu wa kugandana,na penzi la kununua halina Stress
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya wanaume kununua sex yaani kumchukua mwanamke na kufanyanae ngono kwa kumpatia ujira?
For Promotional Use Only.
sababu ni nyingi ad nashindwa nianze na ipi,kwa uchache ni;udomo zege,genye mshindo zlzolundikana,kutaka kujua kwenye kibuyu kuna nini,kuchoshwa uzee wa mapgo ya mke/beibei....,...
tuulizwe sisi wanunua sugu sio wewe
kwanza ni kutotaka kusumbuana yaani jambo la 20 minute unisumbue mwaka huo ujinga sifanyi
pili sikupendi kutoka moyoni alafu uwe una nisumbua gharama kila siku nikipiga hesabu ningekua nishanunua kiwanja chanika bora nikatoa buku 5 nimalize mabo
tatu mapozi ya mademu kukataa kutoa gemu wakati watu tuna hamu mara nitakuja mara nimepata dharaura mara kaja mara moja kwa wiki au wiki 2 siwezi kuvumilia nyege wakati hela ninazo
nne sio kila anaegonga machangu hana demu kuna watu wameoa
halafu kumbe ninunurie ingekuwa ninunulie ningejiuliza mara 2Bei maelewano hadi buku unaweza pata nasababu mojawapo ni kukwepa usumbufu mara ninunurie hiki mara mama anaumwa nahitaji hela n.k ndomana hii biashara yakuuza mwiili imedumu muda mrefu na itaenderea mpaka kieleweke
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kwa staili hii we hata ukiachiwa K kila siku lazima uende kwa wale madada...,
muwage mnatumia kinga aisee
ukimpa mwanume kila anap[otaka hawezi kwenda hata kidogo ila akiwa na kiu alafu wewe unaleta mapozi lazima akafanye biashara haramu
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya wanaume kununua sex yaani kumchukua mwanamke na kufanyanae ngono kwa kumpatia ujira?
mwe yaani ukipita yale maeneo ya sinza corner bar wamejazanaje........,
Pesa inanunua kila kitu .....
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya wanaume kununua sex yaani kumchukua mwanamke na kufanyanae ngono kwa kumpatia ujira?