eti dhahabu imejaa keenye container 90% huyo kakoko hewa ana jua density ya dhahabu??Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.
sasa je ikibainika hao wawekezaji ni wadanganyifu ni hatua gani za kimkataba serikali itazichikua?? nasubiri kwa hamu. isije kuwa kama drama za sukari