Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

Hapana hawajamquote vibaya nilimsikia jana kwenye taarifa ya habari tena akisema kwa msisitizo kuwa ni 90% Gold, nilibaki nikishangaa
Kimsingi atasababisha taharuki, lakini mwisho wa siku hatachukuliwa hatua yoyote kwa kuwa ni "chaguo" na huenda homeboy. Huyu DG ni bashite mwingine. Inawezekana kweli wazungu wakawa wabatuibia, lakini sio kijinga kiasi hicho. Asilimia 90 ya container la dhahabu alitie kwenye Meli???
 
Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.
Wewe ndiye hujui hesabu, hiyo 90% ni level of confidence siyo asilimia ya madini yaliyomo.
 
Back
Top Bottom