Sababu ya wanaume kupenda makalio makubwa

mbona para zipo? Au kafanya editing nini?

Yes Tutor B, amepiga polish. Kumbe ni mtu anafaa kushauriwa. Ali post direct from Kata kumbe JF tunashauriana na watu wana noa skills zao hapa si tu za kutoa hoja ila pia za kuzipresent.
 
halafu nyie wenye makalio makubwa mna tabia mbovu kweli!!

mnakuta mnavaa vinguo fulani hivi ambavyo vinaruhusu vibrations za hizo ta;ko!

mi huwa najihisi kama malaria inapanda, endapo ntakutana na wenye mibambataa yao!

endeleeni tu kuongezeka!
 
Mmmhh kuna makabila yanatoa mahari kulingana na ukubwa wa makalio ya mwanaume???
 
Unapoipiga kwa style ya chuma mboga, makalio makubwa hucheza mno na hata kutoa sauti fulani.....vitendo hivyo ni chachu kwangu kuhamasika zaidi na kujikuta napiga mabao mengi....hii ni proof ya kwamba najisikia okay kuwa na demu huyo....I like makalio siyo siri!

Hii mbona umeisahau kwenye sifa za unayemtafuta kule?
 
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia dawa za Kichina licha ya kuelezwa kuwa zina madhara.

Ukijaribu kuzungumza nao, wengi wanasema wanatafuta soko kwa wanaume wakware. Wanaosema hivyo ukiwafuatilia ni wale ambao wamekaa kibiashara zaidi. Yaani wapo sokoni kuwinda wanaume.

Lakini sasa inafika wakati kila mmoja anajiuliza, ni kipi kinachowavutia wanaume wengi kwa wanawake waliofungashia ambacho hakipo kwa wanawake wembamba? Tunataka kusema wanawake wenye ‘mizigo' wana soko kubwa kuliko wembamba?

Sitaki kwenda huko kwa leo kwa kuwa kuna makabila ambayo mwanaume mwenye kalio kubwa na mahari yake inakuwa kubwa kuliko mwenye nalo dogo.

Ninachotaka kukiweka wazi hapa ni sababu za baadhi ya wanaume kupenda kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanawake waliojazia. Hizi nimezipata baada ya kuongea na baadhi ya wanaume. Kusaka umaarufu/sifa Katika hili inadaiwa baadhi ya wanaume wanapokuwa na wapenzi wao waliojazia hujihisi wako juu kwa wenzao.

Ndiyo maana unaweza kumsikia mwanaume akijisifia ‘niko na mzigo wangu hapa, si mmecheki kifaa'. Maneno hayo yanaashiria kuwa baadhi ya wanaume wanapokuwa na wanawake waliojazia, wanaona fahari kusifiwa na wanaume wenzao. Yaani hilo tu mioyo yao inafarijika.

Kile kitendo cha kila wanakopita kuacha gumzo wengi wanakifurahia. Hofu ya kukimbizwa mchakamchaka Wanawake wenye ‘mizigo' wanatajwa kudatisha wanaume sana kimahaba lakini baadhi yao wanadaiwa kuwa dhaifu kwenye uwanja wa kujidai.

Iko hivi, baadhi ya wanawake wembamba wanadaiwa kujifanya ni watundu sana. Wanatumia muda mwingi kukukuruka kitandani ili waonekane wanayajua mambo. Baadhi ya wanaume hawapendi hivyo na wanahofia kukimbizwa mchakamchaka faragha na ndiyo maana wanaona ni bora kujichukulia mizigo.

Ila ni ukweli kwamba kuna mademu wengine waliojazia ambao ni noma. Urahisi wa kupata stimu Wanawake wanene wana joto sana, miili yao inadaiwa kuwa kichocheo kikubwa sana cha kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume. Ndiyo maana wapo wanaume wengine bila hata kufanya mapenzi hujikuta wakiridhika na ile kutalii tu miili ya wapenzi wao wanene. Ni wepesi wa kutosheka Inaelezwa kuwa, idadi kubwa ya wanawake wembamba mpaka kuwaridhisha inahitaji kazi ya ziada. Hii ni kwa sababu baadhi yao wana sarakasi nyingi na hawakubali kuonekana ni watupu.

Hata hivyo, baadhi ya wanawake wanene wanatajwa kuridhika haraka na siyo watu wenye makuu kwenye ulingo kiasi kwamba ni wachache sana wanaoweza kuonesha umwaba ulingoni.

Men appreciate detailed shapes sio Mataaako tu, personally I am not into big Mataaako thing but I love shapely (formed) ladies and the stuff they wear.
The chick in a picture fall into a category I love looking at, that makes my day.
 
Hapa patam ila wengi wapo na wenyw makalio makubwa km fashion "kuuzia sura uswaz" ila kitandan WEMBAMBA mpango mzma...
 
Makalio makubwa ni ajili ya kuyashika na kuyachezea.suala la match mwembamba ni kiboko yake.

Kwa hiyo unakuwa nao kwa pair,mwenye makalio makubwa kwa ajili ya kumchezea na mwembamba kwa ajili ya match!
We kiboko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom