grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,807
Huo ni mtazamo wako tunauheshimu sana.kwangu mie mwanamke mnene akivua nikaona ile minyama uzembe hata hamu inapotea gafla,wembamba au saizi ya kati ndo mambo yote kwangu.
Huo ni mtazamo wako tunauheshimu sana.kwangu mie mwanamke mnene akivua nikaona ile minyama uzembe hata hamu inapotea gafla,wembamba au saizi ya kati ndo mambo yote kwangu.
Wanapendwa na nani? ndio swali la kujiulizaMbona wahind na wazungu hawana makalio na wanapendwaaaa tu
Umeitwa?Huku nimefuata nini?! Aarrrgggh!
Kwani wewe ulinunuliwa supermarket na wazazi wako?Jadilini maendeleo asubuhi tu munawaza ngono
Hapa ulimaanisha nini hasa?Sitaki kwenda huko kwa leo kwa kuwa kuna makabila ambayo mwanaume mwenye kalio kubwa na mahari yake inakuwa kubwa kuliko mwenye nalo dogo.