Sababu ya wanaume kupenda makalio makubwa

Unapoipiga kwa style ya chuma mboga, makalio makubwa hucheza mno na hata kutoa sauti fulani.....vitendo hivyo ni chachu kwangu kuhamasika zaidi na kujikuta napiga mabao mengi....hii ni proof ya kwamba najisikia okay kuwa na demu huyo....I like makalio siyo siri!
Haaaa!!!!!! wewe jaribu hata wembamba wako poa.
 
Inasemekana pia hata majamaa wenye migegedeo mikubwa wana wafikisha sana hawa dada zetu, ninao ushadi kwa watu kadhaa ambao wanayo na jinsi wanavyo kubalika na akinadada...!!!!!!!!
 
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia dawa za Kichina licha ya kuelezwa kuwa zina madhara.

Ukijaribu kuzungumza nao, wengi wanasema wanatafuta soko kwa wanaume wakware. Wanaosema hivyo ukiwafuatilia ni wale ambao wamekaa kibiashara zaidi. Yaani wapo sokoni kuwinda wanaume.

Lakini sasa inafika wakati kila mmoja anajiuliza, ni kipi kinachowavutia wanaume wengi kwa wanawake waliofungashia ambacho hakipo kwa wanawake wembamba? Tunataka kusema wanawake wenye ‘mizigo’ wana soko kubwa kuliko wembamba?

Sitaki kwenda huko kwa leo kwa kuwa kuna makabila ambayo mwanaume mwenye kalio kubwa na mahari yake inakuwa kubwa kuliko mwenye nalo dogo.

Ninachotaka kukiweka wazi hapa ni sababu za baadhi ya wanaume kupenda kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanawake waliojazia. Hizi nimezipata baada ya kuongea na baadhi ya wanaume. Kusaka umaarufu/sifa Katika hili inadaiwa baadhi ya wanaume wanapokuwa na wapenzi wao waliojazia hujihisi wako juu kwa wenzao.

Ndiyo maana unaweza kumsikia mwanaume akijisifia ‘niko na mzigo wangu hapa, si mmecheki kifaa’. Maneno hayo yanaashiria kuwa baadhi ya wanaume wanapokuwa na wanawake waliojazia, wanaona fahari kusifiwa na wanaume wenzao. Yaani hilo tu mioyo yao inafarijika.

Kile kitendo cha kila wanakopita kuacha gumzo wengi wanakifurahia. Hofu ya kukimbizwa mchakamchaka Wanawake wenye ‘mizigo’ wanatajwa kudatisha wanaume sana kimahaba lakini baadhi yao wanadaiwa kuwa dhaifu kwenye uwanja wa kujidai.

Iko hivi, baadhi ya wanawake wembamba wanadaiwa kujifanya ni watundu sana. Wanatumia muda mwingi kukukuruka kitandani ili waonekane wanayajua mambo. Baadhi ya wanaume hawapendi hivyo na wanahofia kukimbizwa mchakamchaka faragha na ndiyo maana wanaona ni bora kujichukulia mizigo.

Ila ni ukweli kwamba kuna mademu wengine waliojazia ambao ni noma. Urahisi wa kupata stimu Wanawake wanene wana joto sana, miili yao inadaiwa kuwa kichocheo kikubwa sana cha kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume. Ndiyo maana wapo wanaume wengine bila hata kufanya mapenzi hujikuta wakiridhika na ile kutalii tu miili ya wapenzi wao wanene. Ni wepesi wa kutosheka Inaelezwa kuwa, idadi kubwa ya wanawake wembamba mpaka kuwaridhisha inahitaji kazi ya ziada. Hii ni kwa sababu baadhi yao wana sarakasi nyingi na hawakubali kuonekana ni watupu.

Hata hivyo, baadhi ya wanawake wanene wanatajwa kuridhika haraka na siyo watu wenye makuu kwenye ulingo kiasi kwamba ni wachache sana wanaoweza kuonesha umwaba ulingoni.

Ni kweli.
 
too long, learn concise writing. Shule za kata ni janga la kitaifa. Who do you think will read all that without even paragraphs? Readership is earned! Ama kweli aliyesoma kabla ya shule za kata atoe sadaka/zaka.

mbona para zipo? Au kafanya editing nini?
 
Ni kweli kabisa mkuu..maini yanavutia sana ..lakini pia wanawake wene maini(mizigo) wanaridhika haraka sana
 
Kiukweli kila mtu na Upendeleo wake kwakuwa Mwenye makalio makubwa analadha yake na raha yake na mwembamba anaraha yake na starehe zake kwa hiyo full maaamuzi
 
Hehehe basi sawaa..NAINGIA DIET ONGEZA MWILI ,automatically ntaonGeza T.AKO
 
Hapo kwenye kuridhika haraka nakubaliana napo,ila kilia mtu na kupendelea kwake kuna saa unatamani big boots na kuna saa unatamani viportable ila kwa sisi ambao imani zetu zinaturuhusu kuoa zaidi ya mmoja hatuna shida nyumba ndogo unaoa kiportbale nyumba kubwa big boots,hupati msongo wa mawazo wala hustuki na utakaokutana nao mtaani.

Duh..... :doh: :doh: :doh:
 
kumbe hata maandiko yanasapoti: anzia kwenye dakika ya 6 hivi!

[video=youtube_share;bUdiWTtl_Yk]http://youtu.be/bUdiWTtl_Yk[/video]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom