Mshindo
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 478
- 186
Hii kipande ninai-archive just in case. Nitakua nawaonesha hawa watu wanapopiga kelele,maana wana mikelele halafu wapo wengi,na hawapendi kukubali FACTS. It must be hurting inside ku-support timu ambayo one in every three wins is contentious. Hawataki tu kukubali.
Mike Riley, kiongozi wa marefa ligi kuu uingereza- alikuwa refa kipindi cha nyuma kidogo, aliyempa rooney penati ya kudive 2004 Man u ikiwapiga arsenal 2-0. Arsenal siku hiyo wakapoteza rekodi yao ya kutofungwa katika game 49. Mwaka 97/98-2004 amechezesha game za Man u 23, katika kipindi hicho amewapa utd penalty 12, ila 3 tu against them, ametoa kadi nyekundu 5 kwa wapinzani, at old trafford ametoa penat 10 katika game 14. Huyu ndo anaamua nani achezeshe game ipi kwa sasa
Ref wa jana Clattenburg hakuwa amechezesha game 38 za Man u katika michuano yoyote. Game yake ya mwisho kabla ya jana alitoa kadi nyekundu kwa evans na man u walilala 6-1 dhidi ya city. Aliporudi akatoa faida kwa Man u
Mike Jones alimpa Demba Ba penalty old trafford, mechi aliyochezesha man u after that akawapa Man u penat 2 dhid ya Stoke.
Asilimia 18 ya penalt alizotoa Howard webb maishani mwake, ameipa Man U.
Unamkumbuka Mark Halsey (aliyechezeshalast match Liverpool vs Manure)- aliwapa WBA penat walipodraw na Man u 1-1 at old trafford. (May 2005). Ilikuwa game yake ya 5 kuchezesha Man u hiyo season. Hakugusa mechi ya Man u mwaka mzima baada ya hapo. Alipozigusa 11 zilizofuata zote Man u alishinda, mojawapo ni ile ya Anfield ya mwisho, with 3 controversial decisions kwenda kwa Man U.
Michael Oliver took charge of Man u 2-1 loss at wolves feb 2011. Dec 2011 ndo akaja kugusa tena mechi ya Man u, mechi zote mbili Man u akshinda, akiwanyoma fulham penat kwenye mojawapo. Wiki chache zilizopita wakawapa penat ya kichekesho Man U baada ya welbeck kujirusha vs Wigan, unakumbuka?
Martin Atkinson ndo alishika mechi aliyopoteza Man u dhidi ya chelsea 2011. Akakaa mwaka mzima bila kupewa game ya Man u. Zaidi, akaadhibiwa kwa maamuzi yake ya siku hiyo. Hakugusa mechi yoyote ya ligi kuu kwa mwezi mzima, akapewa mechi tatu za ligi za chini msimu huo.
Man u alilala 3-1 kwa liverpool msimu wa 2010-11, refa akiwa Phil Dowd. Fergie akamuwakia kwa nini hakumtoa Carragher na Red. Game iliyofuata ya Man u (the very next game), Dowd akaishika, Man u wakapewa penat wakadraw 1-1dhidi ya Blackburn wakapata League title ya 19.
Chris Foy alichezesha mechi ya man utd ikilala 1-0 dhidi ya arsenal msimu uliopita. Mwaka mzima, Foy hajagusa mechi yoyote ya Man U. Game 2 za man u zilizofuata, alizochezesha, dhidi crystal palace, carling cup akawapa Man u penalty. Dhidi ya city, FA cup, akawapa penalty na red akala Kompany mapema tu.
Mike Jones, akachezesha Man u na Newcastle, ilikuwa draw ya 1-1, alimpa demba ba penat. Jones hakupewa mechi yoyote tena kwenye level yoyote kwa mwezi mzima. Game ya united aliyopewa baada ya hapo, Man u waliipiga. Stoke 2-0, penati 2 laini kwa Man U
Na Man U si alipigwa 3-2 na spurs? Si unajua Chris foy ndo alichezesha, si unajua hakuwapa penati? Hatachezesha game weekend ijayo, atachezesha mechi ya League 2 kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 4.
Mike Jones amefanywaje sasa maana hakutoa penalty ya wazi kwa Suarez dhidi ya norwich. Ye anachezesha game ya WBa vs QPR.
Na Howard Webb je?? Yeye alitoa kadi nyekundu kwa Jordi Gomez, ambayo imetenguliwa na FA, anashika game ya Newcastle na Man U, utampenda!! Kosa linamgharimu Foy lakini si hawa wengine, why???!!
Kusoma hujui, hata picha nayo huitambui?