Kusema kweli refa aliharibu mpira wa jana. Ile game ingekuwa one of the greatest matches in the premiership. Marefa wengi huwa wanaharibu box office matches. Wapo wanaosema kwenye mechi kubwa wanafanya kazi under pressure. Pia zipo conspiracy theories nyingi tuu za marefa kufanya vibaya.
Kwa mfano mechi ya Everton na Liverpool. Wakati Suarez alivyomchezea rafu Distin, hakustahili kupewa kadi nyekundu? Kulikuwa na intention moja tuu ya Suraez ambayo ni kufanya damage. Lakini alipewa kadi ya njano tuu. Hapa unaweza kusema refa ana double standards. Then, goli la Suarez lilipokataliwa eti alikuwa offside, wakati wala hakuwa offside. Wengine wanaweza kusema it was a sweet justice done to Suruez for not being sent off, lakini ulikuwa ni uamuzi mbaya wa refa which cost Liverpool three points.
Sasa tuje mechi ya Chelsea v Man Utd. Kabla ya mechi watu walikuwa wanatania kuwa it was great decision Ferguson kumchezesha Mark Clattenberg badala ya Howward Webb. Lakini kusema ukweli ile ilikuwa ni mechi kubwa sana kwa Clattenberg. Kwa wataalamu wa body language, ukiangalia replay kwa makini, utaona kuwa wakati refa anampa Torres yellow card ya pili kama vile alidhani anampa yellow card ya kwanza only to realise that tayari alishampa yellow. Lakini kumpa red Ivanovic red was a fair decision. No doubt he was the last man, na sheria inasema lazima apewe red.
Lakini refa alipompa red Torres kila mtu aliona something was not right. Everyone, including, the referee himself and Man Utd fans were surprised. Hivi karibuni marefa wamekuwa wakijaribu ku-stamp out diving. , It is pathetic that professional footballers have to dive to win themselves freekicks/penalties. Tuliona wiki hii kwa Gervinho, Neville, Suarez, Torres na Valencia. Hao ni wachezaji watano in three matches. Lakini marefa lazima wawe 100% certain kuwa mchezaji amedive.
Kwenye kesi ya Torres ilikuwa wazi kuwa Evans alimgusa, so it was appalling decision to send him off. This brought Chelsea to nine men, which then resulted in them conceding the winning goal (which was also offside yet not called) and losing three points. Hata hivyo Torres nae alianguka kilaini mno. Kama Sterling wa Liverpool alivyoguswa kwa numa jana na kuanguka kilaini. Chelsea wana nafasi ya ku-proof kesho kutwa kuwa it was the referee who cost them yesterday.
Kwa mara nyingine tena maamuzi ya marefa wanalalamikiwa kuipendelea Man Utd. Mechi ijayo Man Utd wanacheza na Arsenal na ukiangalia kelele nyingi zinatoka kwa watu wa Arsenal. Lakini goli la Arteta juzi, alikuwa kabisa offiside lakini likakubaliwa. So, it is a bit rich to start talking about referring decisions before a ball has been kicked. We know that Man Utd get favourable decisions but if Arsenal lose on Saturday it will be more to do with the fact that the team is simply not good enough.
Kitu ambacho kinafanya football the most loved game in the world, ni controversial decisions kama za jana. Kama kusingekuwa na controversial decisions jana wala usingeanzisha hii thread. Surely, you don't want another rugby.
Kitu ambacho nimkuwa schocked ni malalamiko kuwa Clattenburg is accused of racially abusing Mikel and calling another Chelsea player a 'Spanish twat."