Sababu ya kusema neno ‘Hellow’ kwenye simu kabla ya maongezi

Hiyo mirangi ktk maandishi waachie watoto wa kike watu wengine umuri umeenda zinatusumbua macho.
Mimi hulitumia kwa nadra sana, sijazoea
 
Hiyo mirangi ktk maandishi waachie watoto wa kike watu wengine umuri umeenda zinatusumbua macho.
Mimi hulitumia kwa nadra sana, sijazoea
Sawa mkuu kwa Niaba ya watoto wa kike ngoja niziache.
Asante
 
Baada ya Hellow kupata access ya mawasiliano Ndio Bell alivyo mpigia alianza kwa kumuita Hellow.
Upande Mwingine
Kumuita mtu Jina lake kabla ya kuanza mazungumzo husaidia kutoa umakini kwa msikilizaji.
Hivyo ndio maana Bell alianza kwa kuita Jina la mchumba.

Kwa mfano wewe kiboboso ukiongea na tigonyeupe utaanza kwa kumuita Jina tigonyeupe lengo akusikilize kwa makini.
Mkuu hiyo tigo nyeupe ni jina la mtu ama ni tigo kama tigo?
 
Sio kweli huo ni uzushi wa internet mkwe wa Bell aliitwa MABEL GARDINER HUBBARD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom