Sababu ya kusema neno ‘Hellow’ kwenye simu kabla ya maongezi

kwahiyo before ya kupata hiyo access ya mawasiliano ,hao watu wengine alikuwa anawasalimiaje,
hapa ndipo tunapojua kuwa bongo ni kisiwa cha fix sana(

Hellow is a form of greeting used by a hyper-active person in The Netherlands.

pia unaweza search na kujua maana yake na siyo hiyo wewe unayojaribu kusema
Safi sana
 
Baada ya mke kupokea, Bell aliamua kumuita kwanza kwa Jina lake huyo mke kwa jina la Hellow ili mke aweze kumsikiliza kwa uzuri.

Mke wa Bell alikuwa akijulikana kwa jina la Mabel Margeret Hellow.
Hiyo ndio sababu ambayo watu wengi wakitaka kuongea na simu huanza kwa kusema Hellow
Sawa kwahiyo tunamuenzi mke wa mvumbuzi wa chombo
 
Habari zenu wakuu humu ndani natumai nyie ni wazima wa afya kabisa.

Leo nitashare nanyi hiki
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini ukiwa unaongea na simu iwe umepiga au kupigiwa, kabla ya maongezi Neno la kwanza kuongea ni Hellow?

Leo nakujuza sababu, wengine watasema Neno hilo humaanisha Habari (Hello). Hapana si hivyo neno hellow lilianza kutumiwa na Mgunduzi wa Simu Alexandra Grahim Bell.
Bell alikuwa na Mapenzi ya dhati sana yaani alikuwa amependa kweli kweli (kama ninavyo penda mimi🤣), hivyo hadi kilifikia kipindi mpenzi wake akamkimbia. Baada ya Bell kuunda simu alifanikiwa kumpigia mkewake huyo aliye mkimbia.

Baada ya mke kupokea, Bell aliamua kumuita kwanza kwa Jina lake huyo mke kwa jina la Hellow ili mke aweze kumsikiliza kwa uzuri.

Mke wa Bell alikuwa akijulikana kwa jina la Mabel Margeret Hellow.
Hiyo ndio sababu ambayo watu wengi wakitaka kuongea na simu huanza kwa kusema Hellow.

Umetuingiza chaka

Why do we answer the phone with hello? When the telephone was invented, Alexander Graham Bell wanted people to use the word ahoy as a greeting. Supposedly his rival Thomas Edison suggested hello, while Bell stubbornly clung to ahoy, and well—you know which one stuck around.

The dictionary says it was Thomas Edison who put hello into common usage. He urged the people who used his phone to say "hello" when answering. His rival, Alexander Graham Bell, thought the better word was "ahoy."

Hello is first recorded in the early 1800s, but was originally used to attract attention or express surprise (“Well, hello! What do we have here?”). But the true breakthrough for this now-common word was when it was employed in the service of brand-new technology: the telephone.

Hello might be derived from an older spelling variant, hullo, which the American Merriam-Webster dictionary describes as a "chiefly British variant of hello", and which was originally used as an exclamation to call attention, an expression of surprise, or a greeting.
 
Kumbe kuna stori mbili
 
Kwani lazima kila wanachoanzisha wazungu na sisi tufuatize kwani hatuwezi kubuni vyetu
 
Umetuingiza chaka

Why do we answer the phone with hello? When the telephone was invented, Alexander Graham Bell wanted people to use the word ahoy as a greeting. Supposedly his rival Thomas Edison suggested hello, while Bell stubbornly clung to ahoy, and well—you know which one stuck around.

The dictionary says it was Thomas Edison who put hello into common usage. He urged the people who used his phone to say "hello" when answering. His rival, Alexander Graham Bell, thought the better word was "ahoy."

Hello is first recorded in the early 1800s, but was originally used to attract attention or express surprise (“Well, hello! What do we have here?”). But the true breakthrough for this now-common word was when it was employed in the service of brand-new technology: the telephone.

Hello might be derived from an older spelling variant, hullo, which the American Merriam-Webster dictionary describes as a "chiefly British variant of hello", and which was originally used as an exclamation to call attention, an expression of surprise, or a greeting.
Hao walio andika hicho ni kama mimi tu.
Why uwaamini wao kuliko mimi au kwa vile wao ni Wazungu?

Asante kwa taarifa
 
Kwahiyo aliunda simu mbili, simu moja akampelekea huyo mpenzi wake aliyemkimbia na nyingine ndo akatumia kumpigia ama simu zilikuwepo tu?
Baada ya Hellow kupata access ya mawasiliano Ndio Bell alivyo mpigia alianza kwa kumuita Hellow.
Upande Mwingine
Kumuita mtu Jina lake kabla ya kuanza mazungumzo husaidia kutoa umakini kwa msikilizaji.
Hivyo ndio maana Bell alianza kwa kuita Jina la mchumba.

Kwa mfano wewe kiboboso ukiongea na tigonyeupe utaanza kwa kumuita Jina tigonyeupe lengo akusikilize kwa makini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom