Kagame ni wa kumpuuza na kuendelea na maisha yetu, kwani kuna shida gani kututukana kwani tunapungukiwa na kitu. Tuimarishe uchumi wetu tuendelee na maisha watatufata tu wenyewe na kupiga magoti. Tukijifanya vidume huku wanajua udhaifu wetu tutaumbuka bure. issue ya kongo kuna wazee wa dunia pale wapo kimya wanamirija yao.