Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 436
- 934
Pigia mstariAu ni ulimbukeni wa kupata Hela ukubwani
Wstakwambia ni Picha ya HDJe ni kitu Gani mtu mwenye simu ya Google pixel,Samsung,iphone ya milioni mbili anapata ambacho Mimi mwenye Tecno,Infinix ya laki mbili siwezi kupata
Nimesema niliiuza kwa sababu inakula moto sio kupata moto yote kwa yote naona hujajibu swali languSamsung ipate moto kwa kaz hiyohyo na Tecno isipate?
Kama unashinda Facebook, TikTok na Instagram uwez jua matumiz ya Samsung
Samsung ni heavy duty mashine
Kipi Cha ziada unachokipata ikiwa na high qualityLow quality
Kumbe na wewe kama mimiHapo ndo nawashangaa kabsa
Mbona kama ni utetezi ambao hauna mashikoWstakwambia ni Picha ya HD
kanunue utaona utofautiKipi Cha ziada unachokipata ikiwa na high quality
Basi sawakanunue utaona utofauti
Unanunua simu ya milioni 10 halafu baada ya hapo Nini Cha ziada ambacho unapata huyu alienunua kwa laki mbili hapatiSimu mpaka kijijini imefika we unazani hata walitengeneza simu ya milioni 10 ni ngumu ile brand watu kununua.
Hivi V8 unazani passo au pro box.Unanunua simu ya milioni 10 halafu baada ya hapo Nini Cha ziada ambacho unapata huyu alienunua kwa laki mbili hapati
Sasa mkuu kama lengo inakuwa kuringishiaHivi V8 unazani passo au pro box.
Hukos sasa umeenda mbaliUtafikia wakati mtasema hamuoni tofauti kati ya maharage na nyama kwa sababu kote kuna protein ๐ค๐ค๐ค.
Inakula moto kwamaana ya chaji au?Nimesema niliiuza kwa sababu inakula moto sio kupata moto yote kwa yote naona hujajibu swali langu