Tecno yangu iliponichoka ikaanza vituko:-Kipindi cha nyuma ulikuwa huniambii kitu kuhusu tecno.
Kuna siku nikasema ngoja nijaribu Samsung. Mpaka Leo siwezi kuja kurudia kutumia tecno hata bure.
Na sio kwamba Samsung nazo tumia zinapishana sana bei na tecno.
Samsung ni simu ya kazi ,hata utumie vip mashine haichemki wala kukwamq kwama kama hizo tecno