Sababu mia za kuwazuia chadema wasiwashirikishe cuf kwenye baraza kivuli

Kama kuna siku nilimwona Hamad Rashid kuwa ameishiwa na point ni siku ile ya mdahalo.
1.Alisema kuwa CUF ilipoteza watu 47, lakini CHADEMA haikuwasaidia, JE CCM iliwasaidia katika hilo?
2.Akajigamba kuwa yeye ni mwanasiasa mkongwe, tatizo halikuwa kuwepo kwenye siasa kwa muda mrefu au mfupi, tatizo lilikuwa kujibu hoja

CHADEMA iwe makini na CUF, hata kama wakaamua kushirikiana, wasije wakatoa siri zao kwa CUF. Ni chama ambacho kiko kwa ajili ya kudai haki au kuwasaidia wapemba basi. Hata Lipumba japo uwezo anao, anaburuzwa tu na wapemba. Wao wako tayari kuipata Pemba hata wakiikosa Tanzania

CHADEMA wanao toa siri ni wenyewe, si tumewaona wakina ZITTO wakimwaga mambo hadharani. Siku zote mie huwa nasema CHADEMA sio chama makini, ni watu waliojaa UDINI, UKABILA NA UBAGUZI HALI YA JUU. NA ISITOSHE UFUSKA KWA VIONGOZI NDIO USISEME AISEE !
 
23. Chadema ni chama cha kikabila na kirefu chake ni chaggas development manifesto
24. Chadema ni wabaguzi wa wenzao kwa kugawiana vyeo kwa kufuata ukanda na ukoo
25. Chadema ni chama cha udini ndio maana wakati wa uchaguzi mahubiri yalikuwa yanafanyikia kanisani, na ushahidi ninao siku ambayo mie mwenyewe nilikuwa kanisani
26.chadema viongozi wake si waadilifu mbele ya mungu na si wasafi kwani dr. Slaa amepora mke wa mtu na ana zini nae na mbowe anaendesha club ya usiku ambayo uzinifu na uchafu wa ngono unafanyika nje nje ili mradi yeye anapata hela. Huu ni ufuasi wa shetani
wewe upeo huna inaonekana hata elimu yako umechakachua acha kumzungumzia kamanda wetu slaa tuseme ya huyo jamaa yenu na kuingia hotelini usiku na vimada wake au watoto wke wa nje tuwataje?m*kamba alimtia mimba mtoto wa shule kipindi yupo kigoma akiwa mwalimu cdm wamemchafua acha siasa za maji machafu jiulize kwa nini mtu flani anapenda kumshukuru mke wake kila mda je anampoza kwa maovu ayafanyayo kwa kutoka nje
 
27.Kwa sababu chadema haina mpango wa serikali ya umoja wa kitaifa wanataka waje kuongoza nchi kama CCM!
28. Kwa sababu chadema wana uroho wa madaraka na hawakutarajia ushindi
29. Kwa sababu chadema kina nguvu mno kiasi cha kuweza kushinda hoja zote za chama tawala
30. Kwa sababu kelele za kipindi kile za kutaka muafaka wa CUF na CCM zanzibar chadema walitoa maelekezo ule muafaka uwe vipi! na hivyo cuf wameenda kinyume na chadema!!!!
31. kwa sababu chaguzi zote zijazo chadema itashinda tenza zaidi, na umoja ule wa vyama vya upinzani uliokuwa ukihubiriwa ulikuwa ni fake
32. kwa sababu chadema kushirikiana na ccm kigoma hakukuwa na lengo kama la cuf zanzibar
33. kwa sababu linaloendelea sasa hivi bungeni kati ya cuf na chadema lina lengo la kujenga taifa na linasaidia wananchi wa kawaida!!

guys do you take time to think??

Chadema walishirikiana na ccm Kigoma kutokana na kulingana idadi ya madiwani. Hakukuwa na chama kilichokuwa na idadi ya kutosha kuunda na kuendesha halmashauri ya manispaa ya kigoma ujiji. Makubaliano yalifikiwa kwa mazungumzo ya wazi kila mtanzania aliweza kufahamu kilichokuwemo ndani ya makubaliano yale ya kuendesha halmashauri ya manispaa ya kigoma ujiji.

Tofauti kabisa na ushirika wa cuf na ccm kisiwani zanzibar, walifanya mazungumzo kimya kimya na hakuna ajuaye kilichozungumzwa na kukubalika kama maridhiano zaidi ya maalim seif na amani karume. Kwa muktadha huu huwezi kufananisha shirikiano hizi mbili, ni vitu viko mbali kama usiku na giza, na hili jambo liko wazi na unalitambua vizuri sana isipokuwa unaamua kupindisha tu makusudi katika kuendeleza ile spirit yako against chadema.
 
mwe! Kumbe hata humu jf kuna mambumbu kama huyu kibenya!? Obama sio mwislamu, obama ni mkristo na mke wake anaitwa michele. Ushauri wa bure, kama huelewi kitu jifunze angalau kutumia google search, itakusaida kupata taarifa nyingi kwa usahihi. Kuliko kukurupuka, matokeo yake unakuja kujitia aibu kwamba wewe saa 7 usiku. Yaani hamna unalorifahamu.
Swali: Augustino ramadhani jaji mkuu ni dini gani?
wewe ndo mbumbumbu ballack ni nani na obama ni nani kwa hoja takushinda kwani baba yake ballack ni muislamu nenda google sachi na baba yake ballack si anaitwa obama? na mimi nimesema obama ni muislamu sijasema ballack wewe umekurupuka
 
50. kwa sababu makubaliano ya CCM na CUF kuhusu serekali ya mseto yalikua kinyume na katiba coz vyama vya siasa havipaswi kuwa chanzo cha mabadiliko ya katiba hasa kwenye swala la uundaji wa serikali
 
hapo mdau umepatia...katiba haibadilishwi na vyama...wametutengenezea NCHI ndani ya NCHI (WANA BENDERA,WIMBO WA TAIFA,MIPAKA YA INCHI,RAISI NA MAKAMU......
50. kwa sababu makubaliano ya CCM na CUF kuhusu serekali ya mseto yalikua kinyume na katiba coz vyama vya siasa havipaswi kuwa chanzo cha mabadiliko ya katiba hasa kwenye swala la uundaji wa serikali
 
23. CHADEMA ni Chama Cha Kikabila na kirefu chake ni CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO
24. CHADEMA ni wabaguzi wa wenzao kwa kugawiana vyeo kwa kufuata ukanda na ukoo
25. CHADEMA ni Chama cha udini ndio maana wakati wa uchaguzi mahubiri yalikuwa yanafanyikia kanisani, na ushahidi ninao siku ambayo mie mwenyewe nilikuwa kanisani
26.CHADEMA viongozi wake si waadilifu mbele ya Mungu na si wasafi kwani Dr. Slaa amepora mke wa mtu na ana zini nae na Mbowe anaendesha club ya usiku ambayo uzinifu na uchafu wa ngono unafanyika nje nje ili mradi yeye anapata hela. HUU NI UFUASI WA SHETANI

- Tueleze mke wa Lipumba ni nani
-Nani anasababisha Babu seya na Amatus Liyumba kuwa jela leo.
-Kabla ya kuokotwa na mkapa Hamad rashid alikuwa anafanya nini
-RA, EL, AKinana wanafanya biashara gani halali
If at all CHADEMA ni cha Wachagga kama cells za ubongo wako zinavyo vibrate na CUF si cha wapemba na cha kiislam
Arfi Mbunge wa Mpanda ni mchagga na Mwislamu? Mnyika wa ubungo si msukuma ila Mchaga? Wenje si Mkurya bali mchagga? how about mbunge wa Iringa, Mbeya Mjini, Bukombe, hata vicent Nyerere kwa akili zako si mzanaki bali ni Mchaga!!
 
Kipi bora Taifa au chama? maanake naona wengi mmejaa kutetea itikadi za vyama vyenu kuliko Taifa.
 
23. CHADEMA ni Chama Cha Kikabila na kirefu chake ni CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO
24. CHADEMA ni wabaguzi wa wenzao kwa kugawiana vyeo kwa kufuata ukanda na ukoo
25. CHADEMA ni Chama cha udini ndio maana wakati wa uchaguzi mahubiri yalikuwa yanafanyikia kanisani, na ushahidi ninao siku ambayo mie mwenyewe nilikuwa kanisani
26.CHADEMA viongozi wake si waadilifu mbele ya Mungu na si wasafi kwani Dr. Slaa amepora mke wa mtu na ana zini nae na Mbowe anaendesha club ya usiku ambayo uzinifu na uchafu wa ngono unafanyika nje nje ili mradi yeye anapata hela. HUU NI UFUASI WA SHETANI

Watu wengine humu JF haziwatoshi kabisa, hapa tunaangalia sababu za kwa nini CUF wasiingizwe kwenye kambi ya Upinzania! Wewe unakurupuka unaleta za kuleta eti huyu anamiliki hiki, huyu hajaoa, huyu hivi....... wee mbona una akili za kisisiem sisiem waliosema mwaka 2000 kwamba Lipumba hajaoa asichaguliwe!!!!
 
CHADEMA wanao toa siri ni wenyewe, si tumewaona wakina ZITTO wakimwaga mambo hadharani. Siku zote mie huwa nasema CHADEMA sio chama makini, ni watu waliojaa UDINI, UKABILA NA UBAGUZI HALI YA JUU. NA ISITOSHE UFUSKA KWA VIONGOZI NDIO USISEME AISEE !

Tueleze huo ufuska wao, utuambie ni Kiongozi gani wa CHADEMA alimtongoza Mama yako!!!!!!!!?? na utuambie kama alikubaliwa au la!!!
 
Tueleze huo ufuska wao, utuambie ni Kiongozi gani wa CHADEMA alimtongoza Mama yako!!!!!!!!?? na utuambie kama alikubaliwa au la!!!

Kama alikubaliwa atakuwa ni fuska tutakusifu kwa kusema ukweli la hakukubaliwa watakuwa siyo Fuska nawe tutakuona muongo kama viongozi wa CUF na tutakupuuza!
 
mhhh.....ziz iz denja nao! Mnatukaniana mama zenu tena! Lakini hata hivyo watu wdengine wanaboa! Acha watukanwee! Ila hala hala ujiti na kiji2h6
 
Chadema walishirikiana na ccm Kigoma kutokana na kulingana idadi ya madiwani. Hakukuwa na chama kilichokuwa na idadi ya kutosha kuunda na kuendesha halmashauri ya manispaa ya kigoma ujiji. Makubaliano yalifikiwa kwa mazungumzo ya wazi kila mtanzania aliweza kufahamu kilichokuwemo ndani ya makubaliano yale ya kuendesha halmashauri ya manispaa ya kigoma ujiji.

Tofauti kabisa na ushirika wa cuf na ccm kisiwani zanzibar, walifanya mazungumzo kimya kimya na hakuna ajuaye kilichozungumzwa na kukubalika kama maridhiano zaidi ya maalim seif na amani karume. Kwa muktadha huu huwezi kufananisha shirikiano hizi mbili, ni vitu viko mbali kama usiku na giza, na hili jambo liko wazi na unalitambua vizuri sana isipokuwa unaamua kupindisha tu makusudi katika kuendeleza ile spirit yako against chadema.

Hujazijibu point zingine yakhe!

niambie chadema walipata kura ngapi uko zenj, ina madiwani wangapi, na wanachama wangapi? mpaka mnaenda kumchukua mgombea urais sokoni!!!! what happened in kigoma is exactly as what happened in zanzibar excpet zenj was in global scale but in kigoma was in local scale!!!!
 
kabla hatujamhukumu tufanye uchunguzi cuf ina wabunge wakristo? nachofahamu mimi uislamu pia kaama dini zingine unampinga laden na makundi mengine ya kigaidi maana obama ni muislam na anongoza sera hizo vizuri ila kaudin cuf kapo

Kwa sababu anaitwa Barack Hussein Obama au??? Mbona mie nilimuona kala pini kubwa la utulivu church na family yake??

Kimsingi Obama ni Mkristo japo ana background ya Uislamu. Pitia hii BARACK OBAMA RELIGION - President Barack Obama On Religion
 
wewe ndo mbumbumbu ballack ni nani na obama ni nani kwa hoja takushinda kwani baba yake ballack ni muislamu nenda google sachi na baba yake ballack si anaitwa obama? Na mimi nimesema obama ni muislamu sijasema ballack wewe umekurupuka

tuache ujanja ujanja, hautusaidii kama taifa, rudia kuisoma upya comment yako, utajuwa kwamba ulikuwa unamzungumzia barrack obama, maana obama baba hana issue ya kumzungumzia, ni sawa na kikwete, unapoongelea kikwete kila mtu anaelewa kwamba unamzungumzia jakaya, sasa mkuu hapa ni jukwaa zuri tu la kujifunza kama kuna kitu ulikuwa hujui.
hitimisho: Ni bora yule ambaye hajuwi na anajuwa kama hajuwi huyu atajifunza atajuwa, kuliko yule ambaye hajuwi na hajuwi kama hajuwi. Mtakesha.
 
23. CHADEMA ni Chama Cha Kikabila na kirefu chake ni CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO
24. CHADEMA ni wabaguzi wa wenzao kwa kugawiana vyeo kwa kufuata ukanda na ukoo
25. CHADEMA ni Chama cha udini ndio maana wakati wa uchaguzi mahubiri yalikuwa yanafanyikia kanisani, na ushahidi ninao siku ambayo mie mwenyewe nilikuwa kanisani
26.CHADEMA viongozi wake si waadilifu mbele ya Mungu na si wasafi kwani Dr. Slaa amepora mke wa mtu na ana zini nae na Mbowe anaendesha club ya usiku ambayo uzinifu na uchafu wa ngono unafanyika nje nje ili mradi yeye anapata hela. HUU NI UFUASI WA SHETANI
SIMPLE MIND! ALWAYS DISCUSS PEOPLE. This is home of great thinkers we are discusing ideas not people. Huo ni umbea tu na kudhihirisha kuwa Tanzania tuna majuha wengi.
 
Back
Top Bottom