Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,615
- 3,744
Kwani polis hayo maeneo yote uliyoyataja hawapo?polis ndio ndio wana majukumu mazitoHapa sasa ndio tunakuja katika mgawanyiko wa majikumu, hili ndio huwapa uzito wana usalama..
Hivyo vyombo vingine utawakuta majukumu yao mengi wanayafanya ndani ya kambi zao tofouti na wana usalama ambapo kila sehemu wapo na mbali zaidi hata kwenye vyombo tajwa hapo juu wamo pia..
Mfano askari magereza atakuwa concetrated na eneo la kambi yao lakni wanausalama utawakuta sokoni, kwenye kumbi za starehe, kwenye vyombo vya usafiri, maofisini kwenye apartments nk..
Hili ndio huwapa uzito wana usalama tofouti na hao wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app