Charles Ignatio
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 133
- 52
Hisia za kimangumashi hizi
Ile ni protection bag mzeeNahisi kuna list ya wateule wake, password za akaunt za binafsi, list ya prea bargain vitu ka hivyo yaan
Mwana FA nae kitengo dunia hii BhanaTiss wote ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
usikute hauna ata demuMke wangu ni TISS tangu akiwa na umri wa miaka 18 na kila siku nàmkumbatia kitandani na tuna watoto watatu
Kwani sifa ya kuwa TISS ni ipi?Hii sasa hatari
Mwana FA huyu huyu ambaye uwezo shule alikuwa kama sie tu
Asante kwa kuniwasilishia wazo hiloWanalala sana tu hao raia.
Wapiganaji ambao hawalali ni jwtz na polisi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikutoe shaka tu, hao ni watu wa kawaida na wanalala fofofo.
( Speaking from experience, kuna sehemu nimefanya nao kazi mwaka mzima )
Wanaume wa shoka?!unamaanisha wenye maguvu..kama hivyo hauko sahihi..sidhani kama inahitajika nguvu bali akili nyingi.Kuna raia hawajui umuhimu wa hawa watu, kila siku taarifa nyingi zinamwaga kwenye ofisi kuu na kisha zinaanza kuchambuliwa moja baada ya nyingine..
Hawa raia wasione nchi imetulia na amani ndani yake kuna wanaume wa shoka wapo kazini masaa 24..
Sent using Jamii Forumsbile app
HahahaaaaWanalala sana tu hao raia.
Wapiganaji ambao hawalali ni jwtz na polisi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaHii sasa hatari
Mwana FA huyu huyu ambaye uwezo shule alikuwa kama sie tu
Alikuwa na uwezo mgodo mnoHii sasa hatari
Mwana FA huyu huyu ambaye uwezo shule alikuwa kama sie tu
Unataka kusema mtoa post yeye bado hajakua?Dah mkuu! Suala la uwelewa tu hapo. Kwani ukisikia taasisi inafanyakazi saa 24 kama vile airport na sehemu zingine ni kwamba staff walewale ndio wanakua hapo kazini 24/7?
Unanikumbisha mtoto wangu alipokua na miaka mitano au sita akisikia fulani anajenga yeye alikua anaelewa huyo mtu ndio anabeba na kupanga tofali, ila sasa kakua na kawa na akili za kikubwa anajiongeza
Sababu kubwa Ni Ulevi, jamaa wanabwiya Kvant Kama vile hawana akili nzuriKulikuwa na maneno nikiyasikia kwa muda mrefu kwamba TISS huwa hawalali akaja Rais Magufuli kuyapigilia msumari kuwa kweli TISS hawalali wakati akizindua ujenzi wa makao makuu ya TISS Zanzibar.
Sasa kuna maswali au ningependa kujuzwa ni kwa nini TISS hawalali? Kwa nini wasipeane shift Ili wawe wanalala sababu kulala ni jambo la kibaolojia muhimu mno kama kula n.k halina mbadala.
😂😂😂😂😂😂😂😂Kulikuwa na maneno nikiyasikia kwa muda mrefu kwamba TISS huwa hawalali akaja Rais Magufuli kuyapigilia msumari kuwa kweli TISS hawalali wakati akizindua ujenzi wa makao makuu ya TISS Zanzibar.
Sasa kuna maswali au ningependa kujuzwa ni kwa nini TISS hawalali? Kwa nini wasipeane shift Ili wawe wanalala sababu kulala ni jambo la kibaolojia muhimu mno kama kula n.k halina mbadala.
Sasa ndo umeongea nini?kutokulala ina maana ya kwamba, kwenye duties zao kuna kuwa na shift yaani hupokezana kwa muda fulani..
Ila kuna wale special agents sasa ambao hupewa mission fulani, let us say kama kuna mfanyabiashara yeyote ambapo serikali inahisi anajihusisha na mtandao mbaya wowote basi atakuwa assigned katika mission ambao 24/7 atakuwa akifuatilia mienendo yake pasipo yeye kugundulika yaani hapa anakuwa kwenye sight ya agent masaa 24/7 mfano mlengwa akisafiri yeye pia atasafiri, akiwa kwake basi yeye atangoja nje ya geti lake kuangalia ni wageni wa aina gani wanaingia na kutoka na kutoa taarifa...
Hawa ndio huwa na kazi nzito haswa.
Sent using Jamii Forums mobile app