Sababu gani MBA ya Mzumbe inaitwa maharage ya Mbeya?

Kama wewe ndio product ya UDSM ndio unathibitisha jinsi chuo hicho mnachodesa kila kukicha kilivyo......Hakuna chuo kibovu nchi hii kama UDMS ila watu wanakipenda coz ni cha zamani ila ufundishaji taka taka tupu kwani now a days wanafunzi wanaotoka pale vichwa maji kupindukia.Kazi yao kuibia mitihani na kuiba mitihani kila kukicha mwanzo mwisho. Uwizi mtupu.
kichaa wewe sio bure...!
 
Kweli Senetor ni mchanga katika Academics, ESAMI ni Eastern and Southern Management Institute kilichopo Arusha pale Njiro Kinatoa MBA katika fani mbali mbali. Na hivi karibuni wameanza program ya Doctor of Business Administration.
co mchanga,unataka kunambia kina umri gani hcho chuo?
 
co mchanga,unaweza kunambia kina umri gani hcho chuo?
 
HII yote imetokana na sera mbovu za CCM, mambo yote UDSM bwana maana unakaangwa mpaka uiveeeee

we nae cjui hata umetokea wapi,kuna chuo kinatoa wanafunzi ambao hawajui lolote kama mzumbe hapa tz?unakuta m2 ana masterz lakin hana tofauti na 1st year student...peleka huu ujinga wako huko huko mzumbe na co hapa kwa jukwaa la great thinkers.
 
tanzania kuna chuo kinaitwa esami mkuu?
<br><br><br>Kweli Senetor ni mchanga katika Academics, ESAMI ni Eastern and Southern Management Institute kilichopo Arusha pale Njiro Kinatoa MBA katika fani mbali mbali. Na hivi karibuni wameanza program ya Doctor of Business Administration.
 
co mchanga,unataka kunambia kina umri gani hcho chuo?
Naona bado unakasumba ya umri wa vyuo na ndo maana ukisikia Mzumbe huna uhakika kama inaweza kutoa elimu bora eti kwa kuwa ni kichanga. Historia ya ESAMI ni matokeo ya jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977. Kama sekta nyingine za reli, bandari, usafiri wa anga nk East Africa Management Training Institute kilikuwa ni chuo kwa ajili ya watumishi wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Baada ya Jumuia kusambaraika Chuo kilikosa mmiliki na kukosa mwelekeo wa kutoa mafunzo bora hadi 1982. Na hatimaye wafadhili kutoka Ujeruman Magharibi na Netherlands walikukubali kufadhili uanzishwaji wake mpya kwa masharti ya kupanuka kijiografia. Ndipo kilipo kuwa zaidi na kuhusisha Southern na Eastern. Baada ya hapo Chuo kilianza kutoa mafunzo ya muda mfupi katika fani mbali mbali. Miaka ya tisini post graduate programme ya MBA katika fani tofauti ilianzishwa pia. Miaka ya 207 masters nyingine ya MSc katika International Trade Law sambamba na Doctorate ya Business Administration zimeanzishwaPrograme za ESAM pia ni mwaka mmoja na miezi sita na hutolewa nchi zote za kusini mwa Afrika. Kasumba ya kitanzania ni muda pia wa kusoma. Hii ni program ya miezi 18 pia. Tatizo wabongo hawawezi kusoma kozi za pale kwa kuwa ni gharama sana na hiyo ndo sababu bwana Senator hukijua chuo hiki.
 
haya bwana,nimekuelewa mkuu,naona ndo umeamua kukifanyia promo hcho chuo chako?
 
To cut the long story short....Katika hizi MBA programs hapa nchini ipi ni top MBA program hapa bongo? Na vigezo gani vimetumika kuifagilia?
 
Bahati nzuri nimefundisha UDSM, Mzumbe na Esami na hata kusimamia dissertation za wanafunzi wao. Nikisoma hapa huwa nashangaa saana. Elimu yetu imeoza kwakweli, UDSM hivi karibuni wanafunzi wake sijui wanatoka wapi baadhi yao. Wapo wazuri na wengine mtu unajiuliza km wanajua hata kusoma. Mzumbe zile MBA zao ni tatizo, walikurupuka. Wengi wa wanafunzi hakuna kitu maandishi ni sifuri. Kwasababu ya privacy tu ningemwaga sample za kazi wanafunzi. Kule ESAMI bora liende maana wengi wanavipato na wanahitaji vyeti. Quality inakuwa compromised saana.
 
At least umetoa analysis yako na nimekuelewa. Unaposema elimu yetu imeoza, which may be the case, kwa mtazamo wako tatizo liko wapi? walimu? Wanafunzi ama nini?
 
Nilitaka mwakani nijiunge ESAMI kwa hiyo MBA lakini umenikata maini. Ngoja nijisomee tu kwenye vitabu, alimradi sihitaji MBA ya ajira.
 
Uingereza Masters zao zote ni mwaka 1 tena 98% ya masters zao ni mwaka mmoja je, hizo za mzumbe za miaka miwili mnaita voda fasta mara maharage ya mbeya....Je hizo za UK mtaziitaje sasa? Hli jungu limepigwa na UDMS humu kwasababu now inakosa wanafunzi kutokana na ukiritimba wao...
Hao UD kwa Ukiritimba ni nambari One,they are second to none!! Ukiritimba kila sehemu yaani hata kama ukitaka kujilipia mwenyewe,Its pathetic!!!
 
At least umetoa analysis yako na nimekuelewa. Unaposema elimu yetu imeoza, which may be the case, kwa mtazamo wako tatizo liko wapi? walimu? Wanafunzi ama nini?
Nchi imeoza kwa sababu waliopewa dhamana ya kusimamia vitu vyetu na wao wamekuwa wa hovyo aidha kwa kutokujua na wengine makusudi kabisa. Walimu wengi hawana uwezo wa kutengeneza wanafunzi bora. Na wanafunzi wanaopelekwa sasa hivi hata haijulikani km wana elimu hata ya form 4, hawajiwezi kabisa. Lakini kubwa zaidi hakuna investment ya kutosha kwenye mfumo wa elimu. Hakuna vitabu vinavyoendana na wakati, wanafunzi wanarundikana kwa mwalimu mmoja, mtandao yaani net hakuna vyuoni. Leo hii ukimpa mtu swali anayesoma masters akafanye tafiti anakopi kwenye net tena answer.com hataki kusoma kabisa. Hapo ndio amemaliza. Tatizo ni kubwa saana.
 
we nae cjui hata umetokea wapi,kuna chuo kinatoa wanafunzi ambao hawajui lolote kama mzumbe hapa tz?unakuta m2 ana masterz lakin hana tofauti na 1st year student...peleka huu ujinga wako huko huko mzumbe na co hapa kwa jukwaa la great thinkers.
jamaa kajitahidi kuweka bayani kwa standards zake...... sasa usimtusi, weka data/facts kaka usiwe ****. pia, key criteria ya competence ya chuo ni ipi tunayo base????? isije tukawa tunabishana kama wanywa kahawa.
 
Kelele zote hizi ni wivu wa kijinga wa udsm na vyuo vingine vyote vilivyokataa kuwapokea watu wenye advance diploma kuchukua masters wkt mzumbe wanawapokea na wanafanya vyema saaana upuuzi wa kuthamini sana degree kuliko advnc dplm ndo umeviponza kukosa wasomi mathalani mtu mwenye advnc dip anatofauti gani na degree kama upo kazini wa adv dip ana pafomu vyema kuliko mwenye digree jamani ni vyeti tu hivyo nashukuru kuwa adv dip imefutwa rasmi ila wenzetu uk na kwingineko bado ipo na inakimbiza mbaya udsm wanaongoza kwa kutoa vilaza mzumbe wanatoa vichwa na waajiri wanakubali kwenye sheria ni mfano mzuri kazini tuna wa mzumbe na wa udsm perormance ya wa udsm ni kichekesho hakuna anachofanya isingekuwa chupi yake wangeshamfukuzilia mbali!!!
 
unaumwa wewe!
 
Nchi imeoza kwa sababu waliopewa dhamana ya kusimamia vitu vyetu na wao wamekuwa wa hovyo aidha kwa kutokujua na wengine makusudi kabisa. Walimu wengi hawana uwezo wa kutengeneza wanafunzi bora. Na wanafunzi wanaopelekwa sasa hivi hata haijulikani km wana elimu hata ya form 4, hawajiwezi kabisa. Lakini kubwa zaidi hakuna investment ya kutosha kwenye mfumo wa elimu. Hakuna vitabu vinavyoendana na wakati, wanafunzi wanarundikana kwa mwalimu mmoja, mtandao yaani net hakuna vyuoni. Leo hii ukimpa mtu swali anayesoma masters akafanye tafiti anakopi kwenye net tena answer.com hataki kusoma kabisa. Hapo ndio amemaliza. Tatizo ni kubwa saana.

Mkuu sasa mimi nshindwa kuelewa kitu kimoja. Inakuwaje chuo kikuu kinaadmit mtu ambaye hajiwezi academically? Pili inakuwaje huyo mwanafunzi asiyejiweza anagraduate?
 
Back
Top Bottom