Sababu gani MBA ya Mzumbe inaitwa maharage ya Mbeya?

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,545
1,719
Nimesikia watu kadhaa wakiita MBA ya Mzumbe University Maharage ya Mbeya wana JF hii maana yake ni nini?
 
Sio kweli!! Mzumbe 'is tha one of tha most respected university in tz.


Teh Teh Teh!
MBA ya Mzumbe inamajiana mengi, wengine tumezoea kuisikia ikiitwa Voda Fasta, yaani ndani ya miezi sita hadi saba unakua na cheti tena mitihani yenyewe unapewa a list of questions (almost 20 or so ) from which UE will be picked out of those questions, Shame on you Mzumbe, hata employers wameshaistukia long ago, yani mtu kamaliza MBA lakini hana analolijua, kama mtoto wa first year, Kuna rafiki yangu anasema akimaliza tu pale anatafuta MBA chuo kingine asome kwani katoka kapa!
 
Kwa 7bu hakuna ufuatiliaji wa karibu katika usimamizi wa assignments, maks za test na mitihani zinatolewa kirahisi sana sometyms hata kwa 'kubagein' na lecturer, some courses za MBA lecturers wake ni Masters Holders, Katika suala zima la research au dissertation ambazo ni requirements za kukamilisha hizo MBA na masters nyingine, most of the time hazipiti kama hujamhonga supervisor wako. Utarudishiwa drafts zaweza hata kufika kumi mpaka utakapotoa kitu kidogo ndo zinapita. Speaking From Experience.
 
Maharage ya Mbeya yana sifa ya kuiva haraka, utamu na wingi wa vitamini. Kwa hiyo kama MBA za Mzumbe zinaitwa Maharage ya Mbeya kwa sababu hiyo sina tatizo ila kuzibeza eti kwa kuwa wanafunzi wanafuzu haraka na wanakuwa hawajapikika vizuri siwezi kukubali. Kigezo pekee cha ubora wa MBA ni labour market yaani kukidhi mahitaji ya waajiri. Tatizo kama kuna lecturers wanatoa marks au maswali kwa wanafunzim kabla ya mtihani ni tatizo binafsi na wala siyo mwongozo wa Chuo Kikuu Mzumbe, na tatizohili linapingwa kwenye nyanja zote za akademia.

Vilevile matatizo ya mwajiri aliyekataa kupa kazi graduate wa Mzumbe nayo ni personal weakness ya huyo candidate ambayo hayana uhusiano na chuo. Unahitaji kuwa kipofu kabisa na mbumbumbu ilim kubeza uwezo wa Mzumbe University katika fani za biashara, uhasibu, HR, Uchumi na katika nchi hii kwani kuna tafiti zilikwisha fanywa na taasisi kama ESAURP kuonyesha ubora wa wahitimu wa Mzumbe katika siko la ajira. Ukiangalia demand tu ya wanaotaka kusoma Mzumbe Universitykwenye campus ya Dar es Salaam itakushawishi tu kuona kuwa hiyo ni hot cake.
 
Maharage ya Mbeya yana sifa ya kuiva haraka, utamu na wingi wa vitamini. Kwa hiyo kama MBA za Mzumbe zinaitwa Maharage ya Mbeya kwa sababu hiyo sina tatizo ila kuzibeza eti kwa kuwa wanafunzi wanafuzu haraka na wanakuwa hawajapikika vizuri siwezi kukubali. Kigezo pekee cha ubora wa MBA ni labour market yaani kukidhi mahitaji ya waajiri. Tatizo kama kuna lecturers wanatoa marks au maswali kwa wanafunzim kabla ya mtihani ni tatizo binafsi na wala siyo mwongozo wa Chuo Kikuu Mzumbe, na tatizohili linapingwa kwenye nyanja zote za akademia.Vilevile matatizo ya mwajiri aliyekataa kupa kazi graduate wa Mzumbe nayo ni personal weakness ya huyo candidate ambayo hayana uhusiano na chuo. Unahitaji kuwa kipofu kabisa na mbumbumbu ilim kubeza uwezo wa Mzumbe University katika fani za biashara, uhasibu, HR, Uchumi na katika nchi hii kwani kuna tafiti zilikwisha fanywa na taasisi kama ESAURP kuonyesha ubora wa wahitimu wa Mzumbe katika siko la ajira. Ukiangalia demand tu ya wanaotaka kusoma Mzumbe Universitykwenye campus ya Dar es Salaam itakushawishi tu kuona kuwa hiyo ni hot cake.
we nae cjui hata umetokea wapi,kuna chuo kinatoa wanafunzi ambao hawajui lolote kama mzumbe hapa tz?unakuta m2 ana masterz lakin hana tofauti na 1st year student...peleka huu ujinga wako huko huko mzumbe na co hapa kwa jukwaa la great thinkers.
 
we nae cjui hata umetokea wapi,kuna chuo kinatoa wanafunzi ambao hawajui lolote kama mzumbe hapa tz?unakuta m2 ana masterz lakin hana tofauti na 1st year student...peleka huu ujinga wako huko huko mzumbe na co hapa kwa jukwaa la great thinkers.
Senator nina wasiwasi kama wewe umesoma elimu ya chuo kikuu. Kwa kuwa unalink tatizo binafsi la performance ya individual na chuo siyo sawa. Je ni sahihi tuidharau UDSM kwa sababu ya perormance mbovu ya JK ambaye ni mhitimu wa chuo hicho wa mwaka 1975? Au tukidharau UDSM kwa usimamizi mbovu wa Kivuitu aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Kenya kwenye matokeo ya mwaka 2008. Kivuitu ni mhitimu wa UDSM pia!
 
Uingereza Masters zao zote ni mwaka 1 tena 98% ya masters zao ni mwaka mmoja je, hizo za mzumbe za miaka miwili mnaita voda fasta mara maharage ya mbeya....Je hizo za UK mtaziitaje sasa? Hli jungu limepigwa na UDMS humu kwasababu now inakosa wanafunzi kutokana na ukiritimba wao...
 
Uingereza Masters zao zote ni mwaka 1 tena 98% ya masters zao ni mwaka mmoja je, hizo za mzumbe za miaka miwili mnaita voda fasta mara maharage ya mbeya....Je hizo za UK mtaziitaje sasa? Hli jungu limepigwa na UDMS humu kwasababu now inakosa wanafunzi kutokana na ukiritimba wao...
Kuuuumbeee ndivyo!!..Naanza kuelewa somo sasa. Asante kwa kunifunua na kuniweka wazi mkuu. Nimegonga senkyu, bai ze wei.
 
Sio kweli!! Mzumbe 'is tha one of tha most respected university in tz.

Acha kudanganya watu wewe kima! ukisema hivyo UDSM na SUA tuiweke wapi? Chuo hakipo hata ktk ramani ya Africa! wewe vipi bana? acha ushabiki wa kingese ngese! Yaani unasifia hata jambo usilolijua, unakurupuka tu! K wewe!
 
Acha kudanganya watu wewe kima! ukisema hivyo UDSM na SUA tuiweke wapi? Chuo hakipo hata ktk ramani ya Africa! wewe vipi bana? acha ushabiki wa kingese ngese! Yaani unasifia hata jambo usilolijua, unakurupuka tu! K wewe!
bro,mjadala wa vyuo ulishaga fungwa sku nying,na ni obvious tz kuna vyuo viwili,udsm na sua!wala hata ucpgzane kelele na m2 yeyote..
 
Uingereza Masters zao zote ni mwaka 1 tena 98% ya masters zao ni mwaka mmoja je, hizo za mzumbe za miaka miwili mnaita voda fasta mara maharage ya mbeya....Je hizo za UK mtaziitaje sasa? Hli jungu limepigwa na UDMS humu kwasababu now inakosa wanafunzi kutokana na ukiritimba wao...

Mzumbe hakuna walimu wenye sifa (PhD) holders! chuo kizima PhD holders ni 23 tu sasa hicho chuo (University) au College tu! Unapozungumza vitu uwe na facts sio unakurupuka tu! kenge wewe! Pia utambue kuwa mzumbe walimu wao wengi ni TA na masters holder! Sasa uliona wapi shule ya kilaza kumfundisha kilaza mwenzake? then mtu hata akiwa na GPA ya 5.0 kutoka kwa kilaza mwenzake utasema huyo ana sifa? wewe wa wapi bana? au ndo wale wale bora liende? tuliza kitenesi hicho bana usiwe mkurupukaji tu kuongea vitu usivyovijua! a.k.a strong convicing points!
 
Sijasoma Mzumbe Univ. kwa hiyo siwezi kujua nini kinaendelea pale. Wenye nyeti hebu mtujuze kwa mapana na marefu
 
Kuna watu wapuuz mno,vyuo vyote vya umma vimeanzishwa kwa mujibu wa sheria na kwa malengo maalum,2napoongelea upand wa accountancy mu inamchango mkubwa kwa hii nch,je hamjuh kuwa cpa holder wa kwanza tz altoka mzumbe tena mwanamke?je hamjuh kuwa ndo chuo pekee chenye exception kwny acca?mbona ma t_o wanazd kung'ang'ania baf ya mzumbe?udsm,sua vyote n bora ila tuczalau na vngne,kama mzumbe haina cfa kwann UN wanatoa fedha kwa pamoja kna sweden kugharamia baadh ya course?achen matusi yasiyo na msingi,tunataka hoja hapa.kuna mtu hapa katoa hoja ya phd holder,hiv itakuwaje kama chuo ktakuwa na ma_phd 800 na wanafunz 120000?mzumbe kuna degree zna wanafunz kumi na kitu mfano uchum upand wa pd,kwa hal hii ma phd weng wa nn?jarbu kuangalia ratio la malectr kwa wanafunz ,ulalamish kuhusu mba za mzumbe umatokana na uelewa finyu,soko la ajira lilikuwa linahtaj wahtmu weng kwa haraka,vyuo vng vkazubaa,ndo sasa hv vyuo vng km iaa wana campus dar,kwa ulmengu wa leo,muda wa kusoma mba umepungua sana,
 
Back
Top Bottom