mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,001
Mzumbe ni takataka tupu, yaani kuna wafanyakazi wenzangu 3 wanasoma Masters Mzumbe kila siku tuko nao ofisini utadhani wanasoma open university, cha kushangaza wakienda tu chuo wiki moja wanarudi na kuonesha matokea ya mitihani yao wakiwa wamepata A kibao!! Na mwingine alienda siku 3 tu akarudi na kusema kamaliza Dissertation, kituko ukimuuliza tittle ya Dissertation yake haijui.