Sababu gani MBA ya Mzumbe inaitwa maharage ya Mbeya?

Hahahahaaa, kwakuwa walininyima kazi, nikiwasema watajitetea kwa kuwa walininyima job, ila ki ukweli ni kwamba hamna kitu pale, hovyooooooo kabisa. Nadhan UDSM na SUA ni vyuo bora kabisa kwa hapa nchini


yaap ni kweli sua na udsm ni vyuo vizuri vina wataalam , napata mashaka kidogo cjui udsm kuna nini wataalamu wapo ila product zilizoko kazini from udsm kuna shina kidogo kwenye competence everyday ni maproud ya the best university mmmh kazi holaaa japo wapo wanaochapa kazi ila wengine mmmhh
 
Back
Top Bottom