Sababu 5 kwamba nyumba yako ipo katika hatari ya kuungua kwa moto wa short ya umeme

Hii ni elimu yenye hadhi ya nyota 5 kabisaa tunaipata buree bila ada tena kwa mda mfupi wakati akieileta hapa imemgharimu hera nyingi za ada na mda wa miaka mingi kuimaster mtu akiniambia natumia mitandao sipati faida huwa namsikitikia sana.. Jf siwadai kitu wala sujuti kuifahamu.
 
Asante mkuu, nimejifunza kitu, nina main switch ya line 7, line moja nimeitoa nje kwaajili ya mabanda ya uani yako 7???
Sio mbaya kama waya uliotoa umeme kweny mita ni mkubwa pia uliotoa umeme kweny mainswich kuleta kweny hayo mabanda ya nje unafaa kubeba mzigo huo.. Pia fundi aliefanya hiyo wayaring kama alizikaza waya kweny maungio au connection zake nk.. Kama alivosema jamaa kama nmekosea naweza sahihishwa staki niwalishe matangopori hapa
 
Back
Top Bottom