Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

Boflo najua hii post haitoki kwenye kichwa chako. Huu upuuzi umeandikwa na Alex kassuwi kwenye blog ya vijimambo ( http://lukemusicfactory.blogspot.com/2012/11/sababu-5-ccm-kushinda-uchaguzi-2015.html ).

Next time ukileta utumbo from another source you have to specify kabla hatuja ku disqualify .

Kwani nimesema nimetoa kichwani kwangu...?
Chini ya picha huoni nimeweka source
 
CHERISTIAN CHURCH MOVEMENT (CCM) Ni chama safi kabisa kwa sababu na KIKWETE hajawahi kutokea mfano wake kwa mamba makubwa alioyafanya na anayondelea kuyafanya, mfano;
1. 2005 sembe 250. 2012 sembe 1000.
2. 2005 nauli DAR-MLANDIZI 600. 2012 Nauli 1900.
 
Kwa mawazo yako mepesi mepesi, wadhania Tz ni kisiwa kilichojitenga na dunia hii, yanayotendeka huko Watz hawayajui wa kuyasikia. Bakia na akili yako ya Mgando kama Nape na Wasira. Lakini sisi hatudanganyiki.
 
Ni fikra za kijinga kabisa, kwani zimejaa nadharia zaidi bila matendo.
 
Wale ni wapigania haki kama kina malcom X,Martin luther ila kwa sababu ni waislamu ndo mnawaita magaidi.Upo hapo lema amesharudisha pesa za M4C alizotia kapuni.Chezea mmachame weye wafuata upepo mtakula kwa kushabikia.
Mvaa matineti na gobazi bado unapromot UAMSHO chini ya gaidi Farida na pondwa
 
Nape kakupa bei gani wewe? CCM na vyama vyote vya upinzani ni wahuni tu,hakuna mwenye uchungu na nchi hii miongoni mwenu.
 
Wewe kama sio form 4 basi form 3.Hivi unajua mfumuko wa bei hasa kwa vyakula kwa dunia ulikuaje.Mnaambiwa mwende shule mnakimbilia kushabikia chadomo.Na ndo chakula chao manake wanajua wenye akili hawawezi kukichagua.Eti nauli unataka ibaki ile ile hujui bei ya mafuta kwa pipa moja ni sh ngapi halafu add na inflation kama hujanielewa mfumuko wa bei wa nchi yako.
CHERISTIAN CHURCH MOVEMENT (CCM) Ni chama safi kabisa kwa sababu na KIKWETE hajawahi kutokea mfano wake kwa mamba makubwa alioyafanya na anayondelea kuyafanya, mfano;
1. 2005 sembe 250. 2012 sembe 1000.
2. 2005 nauli DAR-MLANDIZI 600. 2012 Nauli 1900.
 
Napendekeza Ianzishwe subforum ya JF DUSTBIN ili watu kama huyu muanzisha uzi awe anapeleka kule!!!!!!!!!!!
 
Ndugu zangu ni vizuri kuambiana mambo ya msingi haswa linapokuja swala la hatma ya Taifa letu.
Tanzania ni nchi ya kipekee duniani na watu wake ni wa kipekee pia, utu wetu , utanzania wetu huwezi pata sehemu nyingine. Watanzania ni watu wenye upendo, amani na mshikamano huwezi linganisha na nchi yoyote ile. Tumekuwa tukiishi siku zote kwa amani, kupendana na kushirikiana kabla na hata baada ya kuasisiwa taifa letu. Lakini baada ya kuingia siasa za upinzani nchini mwetu , kumekuwa na fikra zenye kuhatarisha amani yetu. Hatukatai upinzani, ndio maana kumekuwa na vyama vingi vya siasa nchini Tanzania. lakini kamwe hatutaruhusu amani yetu kupotea na siasa za kutubagua. Hadi hapa, Amani na maendeleo yaliyopoTanzania yametokana na uongozi wa chama cha mapinduzi. Kuanzia kwa wazee wetu waasisi, na viongozi wetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa siasa safi na uongozi makini, Sina budi kuzitaja sababu 5 kwa nini chama cha mapinduzi kitashinda uchaguzi wa 2015.

Moja; CCM imeweza kulinda na kudumisha Uhuru wa Nchi yetu na raia wake.
Muhimu kwa watanzania wote kukumbuka kwamba chama cha mapinduzi hakina udini wala ukabila kwa misingi hiyo kimeweza kudumisha amani na umoja wa nchi yetu.

Mbili; CCM imekuwa ya kwanza katika ushirikishwaji wa watanzania wote walio nje ya nchi katika kutoa mchango wao ili kuleta tija na maendeleo ya taifa letu.

Tatu; CCM imehakikisha kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia. Nchini Tanzania kuna demokrasia ya kutosha na hata kupitiliza. Mwananchi yoyote anao uhuru wa kuishi, kuabudu na kufanya maamuzi apendayo ili mradi sheria za nchi zinazingatiwa.

Nne; CCM haina ubaguzi, kila mtu anayo nafasi. Chama cha mapinduzi siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba Serikali na vyombo vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wanawake na wanaume bila kujali rangi, kabila, Dini, au hali ya mtu.

Tano; CCM iko mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano mwema na Vyama vyote vya Siasa vya Nchi nyingine vyenye itikadi kama ya CCM ambavyo kweli vinapinga Ukoloni, Ukoloni Mamboleo, Ubeberu na Ubaguzi wa aina yoyote.

View attachment 70958
Source: Vijimambo

Naongeza mengine:

1. CCM imeshindwa kabisa kutuambia mmiliki wa Kagoda Agriculture Company Ltd
2. CCM imeshindwa kutueleza mahali zilikopelekwa pesa zetu kupitia Meremeta, Deep Green na dada zao
3. CCM ikitaka tuiunge mkono ituambie kwa hakika nani mmiliki halisi wa Richmond, Dowans na Symbion yao
4. CCM imeshindwa kutokomeza rushwa nchini kwa kuwa tu wahusika wakubwa wa hizi rushwa hasa kubwa ni hao hao viongozi wao.

CCM KUWENI WAKWELI NCHI IMEWASHINDA NA SASA ACHIENI TU WATANZANIA WENGINE WENYE FIKRA TOFAUTI WATULETEE MABADILIKO KWENYE NCHI YETU.

TUMEWACHOKA!! TUMEWACHOKA!!! TUMEWACHOKA!!!! TUNATAKA MABADILIKO. NA KWA SASA HATA MFANYEJE NI AZIMA MUONDOKE TU.

WASWAHILI WANASEMA "LA KUVUNDA HALINA UBANI".
 
Ndugu zangu ni vizuri kuambiana mambo ya msingi haswa linapokuja swala la hatma ya Taifa letu.
Tanzania ni nchi ya kipekee duniani na watu wake ni wa kipekee pia, utu wetu , utanzania wetu huwezi pata sehemu nyingine. Watanzania ni watu wenye upendo, amani na mshikamano huwezi linganisha na nchi yoyote ile. Tumekuwa tukiishi siku zote kwa amani, kupendana na kushirikiana kabla na hata baada ya kuasisiwa taifa letu. Lakini baada ya kuingia siasa za upinzani nchini mwetu , kumekuwa na fikra zenye kuhatarisha amani yetu. Hatukatai upinzani, ndio maana kumekuwa na vyama vingi vya siasa nchini Tanzania. lakini kamwe hatutaruhusu amani yetu kupotea na siasa za kutubagua. Hadi hapa, Amani na maendeleo yaliyopoTanzania yametokana na uongozi wa chama cha mapinduzi. Kuanzia kwa wazee wetu waasisi, na viongozi wetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa siasa safi na uongozi makini, Sina budi kuzitaja sababu 5 kwa nini chama cha mapinduzi kitashinda uchaguzi wa 2015.

Moja; CCM imeweza kulinda na kudumisha Uhuru wa Nchi yetu na raia wake.
Muhimu kwa watanzania wote kukumbuka kwamba chama cha mapinduzi hakina udini wala ukabila kwa misingi hiyo kimeweza kudumisha amani na umoja wa nchi yetu.

Mbili; CCM imekuwa ya kwanza katika ushirikishwaji wa watanzania wote walio nje ya nchi katika kutoa mchango wao ili kuleta tija na maendeleo ya taifa letu.

Tatu; CCM imehakikisha kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia. Nchini Tanzania kuna demokrasia ya kutosha na hata kupitiliza. Mwananchi yoyote anao uhuru wa kuishi, kuabudu na kufanya maamuzi apendayo ili mradi sheria za nchi zinazingatiwa.

Nne; CCM haina ubaguzi, kila mtu anayo nafasi. Chama cha mapinduzi siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba Serikali na vyombo vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wanawake na wanaume bila kujali rangi, kabila, Dini, au hali ya mtu.

Tano; CCM iko mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano mwema na Vyama vyote vya Siasa vya Nchi nyingine vyenye itikadi kama ya CCM ambavyo kweli vinapinga Ukoloni, Ukoloni Mamboleo, Ubeberu na Ubaguzi wa aina yoyote.

View attachment 70958
Source: Vijimambo

Kabla sijatoa mchango wangu katika uzi huu, na kwa kuheshimu uhuru wa mleta thread hii wa kutoa mawazo yake, naomba kwa uhuru huo huo, na kwa kuzingatia weledi bila kuingiza ushabiki wa chama, utusaidie kutupa maana kwa upana wake na kwa muktadha (context) ulivyoyatumia maneno yafuatayo:
  1. Udini
  2. Ukabila
  3. Amani
  4. Umoja
  5. Maendeleo
  6. Demokrasia
  7. Uhuru
  8. Ubaguzi
Kwa maneno mengine, nini maana ya dhana hizi? Nini viashiria vya kuwepo au kutokuwepo kwake? Je, viashiria hivyo (vya kuwepo au kutowepo kwake) vipo Tanzania? Majibu ya maswali haya yatasaidia kuibua majadala mpana na wenye manufaa zaidi usio na ushabili wa kichama, kabla hujatoa hitimisho kama ccm wanafaa kushinda 2015, au hawafai. Nitarudi baadaye kama mtoa hoja atajibu hayo maswali
 
hahaha elizabeth dominic , nawachemsha tu wana jf, i hate politics, sina chama, na sikuwahi kupiga kura
toka nizaliwe, btw how was diwali?? Juzi nilidhani nchi imevamiwa, baruti zilipopigwa usiku,jirani zangu wengi ni baniani

mbona hueleweki sasa
umekuja kujaribu watu uone reactions zao au umekuja kuleta hoja na kuchelea majadiliano?

Mara unasimama mara una kaa
vipi...
 
Mwanzo nilijua unasema watashinda kwa kuwa sehemu kubwa ya umasikini wa watanzania ndiyo mtaji wao na wakiwa ni wagumu kubadilika, inshort i can say you are not serious at all, na kama upo serious basi wewe nchi hii sio mwenyeji
 
Ndugu zangu ni vizuri kuambiana mambo ya msingi haswa linapokuja swala la hatma ya Taifa letu.
Tanzania ni nchi ya kipekee duniani na watu wake ni wa kipekee pia, utu wetu , utanzania wetu huwezi pata sehemu nyingine. Watanzania ni watu wenye upendo, amani na mshikamano huwezi linganisha na nchi yoyote ile. Tumekuwa tukiishi siku zote kwa amani, kupendana na kushirikiana kabla na hata baada ya kuasisiwa taifa letu. Lakini baada ya kuingia siasa za upinzani nchini mwetu , kumekuwa na fikra zenye kuhatarisha amani yetu. Hatukatai upinzani, ndio maana kumekuwa na vyama vingi vya siasa nchini Tanzania. lakini kamwe hatutaruhusu amani yetu kupotea na siasa za kutubagua. Hadi hapa, Amani na maendeleo yaliyopoTanzania yametokana na uongozi wa chama cha mapinduzi. Kuanzia kwa wazee wetu waasisi, na viongozi wetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa siasa safi na uongozi makini, Sina budi kuzitaja sababu 5 kwa nini chama cha mapinduzi kitashinda uchaguzi wa 2015.

Moja; CCM imeweza kulinda na kudumisha Uhuru wa Nchi yetu na raia wake.
Muhimu kwa watanzania wote kukumbuka kwamba chama cha mapinduzi hakina udini wala ukabila kwa misingi hiyo kimeweza kudumisha amani na umoja wa nchi yetu.

Mbili; CCM imekuwa ya kwanza katika ushirikishwaji wa watanzania wote walio nje ya nchi katika kutoa mchango wao ili kuleta tija na maendeleo ya taifa letu.

Tatu; CCM imehakikisha kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia. Nchini Tanzania kuna demokrasia ya kutosha na hata kupitiliza. Mwananchi yoyote anao uhuru wa kuishi, kuabudu na kufanya maamuzi apendayo ili mradi sheria za nchi zinazingatiwa.

Nne; CCM haina ubaguzi, kila mtu anayo nafasi. Chama cha mapinduzi siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba Serikali na vyombo vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wanawake na wanaume bila kujali rangi, kabila, Dini, au hali ya mtu.

Tano; CCM iko mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano mwema na Vyama vyote vya Siasa vya Nchi nyingine vyenye itikadi kama ya CCM ambavyo kweli vinapinga Ukoloni, Ukoloni Mamboleo, Ubeberu na Ubaguzi wa aina yoyote.

View attachment 70958
Source: Vijimambo

Sikupata shida sana nilipoangalia mwenye thread na nikagundua kuwa anaitwa BOFLO. Mawazo yanalingana kabisa na jina lake.
 
Wale ni wapigania haki kama kina malcom X,Martin luther ila kwa sababu ni waislamu ndo mnawaita magaidi.Upo hapo lema amesharudisha pesa za M4C alizotia kapuni.Chezea mmachame weye wafuata upepo mtakula kwa kushabikia.
Ngoja nikanywe gahawa na kuchoma nyumba za ibada nitarudi baadaye
 
Back
Top Bottom