Chifu kamaliza
Member
- Nov 17, 2011
- 32
- 5
katika utafiti niliofanya nimegundua kuwa ccm ni chama imara na chenye nguvu nchini kuliko vyama vyote vya siasa nchini.
1.ni chama chenye wana chama wengi na hai kuliko vyama vyote vya siasa
2.ni chama chenye kuwajali wananchi wote.
3.ni chama chenye viongozi imara na weledi wa mambo kama raisi kikwete.
4.ni chama ambacho kimelitoa taifa hili mbali.
5.ni chama ambacho wananchi watamani kiendelee kuwaongoza.
6. pia ni chama ambacho kimekuwa na mahusiano mazuri na nchi za nje.
haya ni mambo machache katika utafiti niliyo ufanya kwahiyo naomba mkubaliane nami kuwa ccm ni chama watanzania walio wengi.
:heh: ccm oyeee kubali usikubali :heh: ccm oyeeeeeeeeee