Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

Tanzania hakuna chama cha Upinzani ila bali ni vyama vya kidini wewe Christian Democratic Movement aka Chadomo.Chini ya katibu wa baraza la Maaskofu padri mla vya watu Slaa.Mkishika hii nchi ujue yesu karudi

Ratiba yenu ya kuchoma makanisa inaanza lini tena, naona mnajipanga upya.
 
Kama sababu ndio hizo si urudi tena darasani ukasome.
Hakuna sababu hata moja ya maana hapo.
  • Mwananchi yoyote ana uhuru wa kuishi............yule ulimboka uhuru alikuwa nao,yulemwandishi wa habari wa iringa alikuwa hana uhuru wa kuishi????, wale wafanya biashara wa madini wa mahenge ndugu mtu na tax driver hawakuwa na uhuru wa kuishi??? Wote hawa wanasadikika wameteswa au kuuwawa na watu waliokaribu na serikali.
  • KAma nchi ni ya demokrasia na inafuata sheria, mkuu wa polisi wa iringa nKamuhanda na kundi lake wangepelekwa mahakamani kwa kuangalia raia mwema anapigwa risasi wao wakiangalia.
  • Shishiem haina ubaguzi...................kwanini wanaoonga pesa nyingi ndio wanao pata nafasi za uongozi???????? Huoni kwamba kutoa pesa ni kununua madarasa na hivyo hii ni dalili nzuri ya ubaguzi wa mwenye nacho na asiye kuwa nacho????????
  • Katika elimu huoni kuwa watoto wa viongozi ndio wanaoongoza kupata elimu bora tena nje ya nchi na katika mashule yanaitwa mtakatifu???????????? huu sio ubaguzi?????????kwanini hawasomi shule za kata????
  • Kajivue gamba ili akili yako itulie
 
Off the topic:
Huyu ndiye yule Boflo ninayemjuwa? Umebadilisha ile avatar? why? Umeingia kwenye sihasa au maandalizi ya 2015...
 
Last edited by a moderator:
Tanzania hakuna chama cha Upinzani ila bali ni vyama vya kidini wewe Christian Democratic Movement aka Chadomo.Chini ya katibu wa baraza la Maaskofu padri mla vya watu Slaa.Mkishika hii nchi ujue yesu karudi
Una majini mangapi mpaka?
 
hii ni pumba mkuu,rudi jukwaa lako la mambo ya kikubwa.Tabora darasa la form3 lina mwanafunzi 1 kati ya 35waliosajiliwa
 
Utakuwa umeota ndoto mbaya sana usiku we Boflo!pole sana.
 
Boflo umevamia vitu vya watu..au umesahau?
 
Last edited by a moderator:
Eboo 5 tu? Zipo zaidi ya 500

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tanzania hakuna chama cha Upinzani ila bali ni vyama vya kidini wewe Christian Democratic Movement aka Chadomo.Chini ya katibu wa baraza la Maaskofu padri mla vya watu Slaa.Mkishika hii nchi ujue yesu karudi
Bahati nzuri sana mijitu mipuuzi, mijinga, mizandiki inayoudharirisha uislam kwa mawazo finyu kama hayo mpo wachache sana! na hakuna anaye dhurika na upumbavu wenu zaidi ya wazazi wenu tu.
 
Tanzania hakuna chama cha Upinzani ila bali ni vyama vya kidini wewe Christian Democratic Movement aka Chadomo.Chini ya katibu wa baraza la Maaskofu padri mla vya watu Slaa.Mkishika hii nchi ujue yesu karudi

Too cheap and prejudiced. When will JF cease to be invaded. Na uzi unahusu CCM hauusu imani za watu. Hata hupendi imani za watu fulani wakati mwingine kutumia lugha ya staha kunaweza kukusaidia na kukutambulisha. Nakushauri Jina la Yesu ni kubwa mno usipende kulitumia hovyohovyo namna hiyo. Ni jina hai na Takatifu maana mwenye hilo Jina Mtakatifu tangu milele. Mengine nakutakia siku njema. Endelea kuchangia but with RESERVATION
 
Moderators tunaomba hii thread ipelekwe chitchat, hapa kuna mtu anadhani ku upload picha za kingonongono kwenye jukwaa la picha ni sawa na Political Analyst.
 
Eboo 5 tu? Zipo zaidi ya 500

Chama
Gongo la mboto DSM
Ongezea na ile ya kuwalipia ticket za ndege Wazamiaji waliopo Marekani waje nyumbani kuja kusalimia na kurudi kuendelea na box oyee.
 
Ndugu zangu ni vizuri kuambiana mambo ya msingi haswa linapokuja swala la hatma ya Taifa letu.
Tanzania ni nchi ya kipekee duniani na watu wake ni wa kipekee pia, utu wetu , utanzania wetu huwezi pata sehemu nyingine. Watanzania ni watu wenye upendo, amani na mshikamano huwezi linganisha na nchi yoyote ile. Tumekuwa tukiishi siku zote kwa amani, kupendana na kushirikiana kabla na hata baada ya kuasisiwa taifa letu. Lakini baada ya kuingia siasa za upinzani nchini mwetu , kumekuwa na fikra zenye kuhatarisha amani yetu. Hatukatai upinzani, ndio maana kumekuwa na vyama vingi vya siasa nchini Tanzania. lakini kamwe hatutaruhusu amani yetu kupotea na siasa za kutubagua. Hadi hapa, Amani na maendeleo yaliyopoTanzania yametokana na uongozi wa chama cha mapinduzi. Kuanzia kwa wazee wetu waasisi, na viongozi wetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa siasa safi na uongozi makini, Sina budi kuzitaja sababu 5 kwa nini chama cha mapinduzi kitashinda uchaguzi wa 2015.

Moja; CCM imeweza kulinda na kudumisha Uhuru wa Nchi yetu na raia wake.
Muhimu kwa watanzania wote kukumbuka kwamba chama cha mapinduzi hakina udini wala ukabila kwa misingi hiyo kimeweza kudumisha amani na umoja wa nchi yetu.

Mbili; CCM imekuwa ya kwanza katika ushirikishwaji wa watanzania wote walio nje ya nchi katika kutoa mchango wao ili kuleta tija na maendeleo ya taifa letu.

Tatu; CCM imehakikisha kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia. Nchini Tanzania kuna demokrasia ya kutosha na hata kupitiliza. Mwananchi yoyote anao uhuru wa kuishi, kuabudu na kufanya maamuzi apendayo ili mradi sheria za nchi zinazingatiwa.

Nne; CCM haina ubaguzi, kila mtu anayo nafasi. Chama cha mapinduzi siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba Serikali na vyombo vyote vya umma vinatoa nafasi zilizo sawa kwa raia wote, wanawake na wanaume bila kujali rangi, kabila, Dini, au hali ya mtu.

Tano; CCM iko mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano mwema na Vyama vyote vya Siasa vya Nchi nyingine vyenye itikadi kama ya CCM ambavyo kweli vinapinga Ukoloni, Ukoloni Mamboleo, Ubeberu na Ubaguzi wa aina yoyote.

View attachment 70958

Ccm will never loose control.
 
Tanzania hakuna chama cha Upinzani ila bali ni vyama vya kidini wewe Christian Democratic Movement aka Chadomo.Chini ya katibu wa baraza la Maaskofu padri mla vya watu Slaa.Mkishika hii nchi ujue yesu karudi
Hakuna chama cha upinzani ...then unasema kuna vyama vya Kidini....

Vyama vingine vya siasa Tanzania ni

 
Boflo najua hii post haitoki kwenye kichwa chako. Huu upuuzi umeandikwa na Alex kassuwi kwenye blog ya vijimambo ( http://lukemusicfactory.blogspot.com/2012/11/sababu-5-ccm-kushinda-uchaguzi-2015.html ).

Next time ukileta utumbo from another source you have to specify kabla hatuja ku disqualify .
 
Amani we *****??? Au ile ya kuchoma makanisa,kuwanyima watu elimu,matibabu na haki yao kwa ujumla kama katiba inavyosema....nyambaffff wezi wakubwa
 
Back
Top Bottom