Tatizo kubwa ninaloliona kwa mashabiki na wanachama karibia wote wa CCM ni kua hawataki kukubali ukweli kuhusu mapungufu ya chama chao pamoja na serikali..kwani hayo yote uliyoyaelezea ndio machache kati ya matatizo mliyokua nayo na ndio yanayofanya chama chenu kushuka umaarufu kila kukicha..kwakua vyama vya upinzani makini hasa CDM vinayajua hayo na vinajua ni jinsi gani wanaweza kuyatumia mapungufu yenu kujipatia umaarufu....