Sababu 11 zilizofanya nipende wake za watu

Mambo yanabadilika kwa kasi sana. Kwanini utembee na mke wa MTU. Acha mawazo ya kijinga pumbavu wewe
 
siku utakapo fumaniwa na Kusokomezwa Chupa makalioni uje na thread pia hapa
 
Hawana gharama.

Mke wa mtu:
1. Hawezi kuomba kodi ya nyumba maana mume wake ndio analipa.

2. Hawezi kuomba umnunulie gari mume wake atahoji.

3. Hawezi kutaka umnunulie vitu vya garama sijui iphone 6+ au note 5.

4. Hakugandi kama luba,mara text, mara calls sijui ujinga gani.

5. Hawezi kukuuliza maswali ya kijinga jinga kama hivi kweli unanipenda.

6. Hawana usumbufu wa vibomu visivyo na maana.

7.Wanapatikanawanapohitajika na kama kabanwa anatoa reasonable excuses.

8. Hakuulizi utamuoa lini na malalamiko ya kijinga kijinga.

9. Hawana shida kushare mwanaume, yaani hakubani hata kama una mpenzi wako mwingine anakuruhusu uwe nae ili mradi atakapokuhitaji upatikane bila shida.

10. Ukiwa na shida ndogo ndogo anakusaidia kutatua.

11. Ukimpa mimba anamsingizia mume wake
Duh! hatareeeee!
 
hujaweka na ya 12. kwamba ukifumaniwa na mumewe lazima " utabikiriwa " kwa " kuzibuliwa kikamilifu " njia yako ya haja kubwa na unaweza hata ukatamani usiishi tena duniani. michezo hiyo wenzako tuna miaka hata 15 tumeshaiacha hasa kupitia kwa waliojifanya " magangwe " wa kutembea na wake za watu. kuna mshikaji wangu mmoja hadi sasa hivi kiuno chake kimepinda na hata akitembea napo pia anapinda na huwa hapati taabu sana katika kukata kona anapotembea kwani kwa jinsi " masela " walivyomtengua kiuno mwili wake tu pekee ni kona tosha.
Mbavu zangu mkuu
 
1.The choices we make will always have consequences.
2. Growing old is mandatory, but growing up is a blessing.
3. An idle mind is a devil's dwelling.
4. For evil to triumph, the good should do nothing.
5. Ujana ni mchujo tu, fainali ni uzeeni
 
Hawana gharama.

Mke wa mtu:
1. Hawezi kuomba kodi ya nyumba maana mume wake ndio analipa.

2. Hawezi kuomba umnunulie gari mume wake atahoji.

3. Hawezi kutaka umnunulie vitu vya garama sijui iphone 6+ au note 5.

4. Hakugandi kama luba,mara text, mara calls sijui ujinga gani.

5. Hawezi kukuuliza maswali ya kijinga jinga kama hivi kweli unanipenda.

6. Hawana usumbufu wa vibomu visivyo na maana.

7.Wanapatikanawanapohitajika na kama kabanwa anatoa reasonable excuses.

8. Hakuulizi utamuoa lini na malalamiko ya kijinga kijinga.

9. Hawana shida kushare mwanaume, yaani hakubani hata kama una mpenzi wako mwingine anakuruhusu uwe nae ili mradi atakapokuhitaji upatikane bila shida.

10. Ukiwa na shida ndogo ndogo anakusaidia kutatua.

11. Ukimpa mimba anamsingizia mume wake
Vijana mnatisha, ila sio siri mke wa mtu mtamu bana asikwambie mtu.

Unaenda kukutana na mke wa mtu huna hofu wala wasiwasi ya kuwa issued an invoice kabla, katikati au baada ya mechi.

Always kwenye high risks kuna faida kubwa, kwenye wake za watu kuna faida kubwa ingawa ni hatari.

Huniambii chochote kuhusu mke wa mtu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom