Saa 6 usiku inatumika

Zingatia ushauri huu, usijifanye unajua kupenda sana just relax.
Vipo vitu vya kutuumiza kichwa, ila mapenzi ni sehemu ambayo ilitakiwa iwe na furaha na faraja tu. Sasa kama na huko bado mambo tight,piga chini
 
Nakushangaa sana mtu sio mke wako unapata stress ya nini? Mtumie anafaa kwa matumizi acha kupanic boss
 
Unaongea na nani?

Na dada.

Haiwezekani. Utaongeaje na dada yako saa sita nataka screenshot.

Kisha unaanzisha uzi wa kujifanya we kidume huogopi kupigwa chini.

Hayo ni mambo ya beta male na simp. Begging for love? Siyo leo. Binti kama upo humu mtext huyu jamaa mwambie humtaki tena uone atakavyokuja kwenu usiku huu kwa magoti.
 
Mwanamke hata hujamtolea mahari na kwao hujulikani na ushaanza mpangia masharti?
Tafuta mwanamke utakaye elewana nae na anayeweza kukusikiliza katika kile unachomwambia.
 
Kwan umemvisha ata pete? Mpaka unastress kiasi icho bro! Kama n wako hakksha anakaa kushoto kwako . life is too short ,,lets enjoy for a while
 
Umri wake?
Hebu mpigie saa hivi Saa kumi alfajiri
 
Hii ndio point ya msingi ambayo kijana anatakiwa aelewe. Halafu hii tabia ya kutongoza videmu vyenye mambo mengi halafu watu wanalialia mi nashangaaga ujue.
 
Hii ndio point ya msingi ambayo kijana anatakiwa aelewe. Halafu hii tabia ya kutongoza videmu vyenye mambo mengi halafu watu wanalialia mi nashangaaga ujue.

Demu mwenye mambo mengi utamjua tu mapema yeye mda mwingi ni ubize na excuse muda hana ndio kama hivyo simu kutumika usiku sana, sasa mleta mada sijui hajiongezi leo kaambiwa alikuwa anaongea na dada vip kuhusu siku nyingine? Huyo dada wa kuongea nae daily tena night kali kwanini?
 
Ukiukua utaacha,mi nikipiga inatumika aku narudi ktk phone book wala si scroll sana nakutana na mwingine nacall ,na sirudii kumtafuta tena yule wa mwanzo hua nikipiga simu ni mara moja tu,

Asiponitafuta basi nami kauu mpka siku namkumbuka tena ndo nampigia, sijawahi kuwa na wivu wa mapenz maana mapenz nimejifunzia kwa ma mdogo wa hiari,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…