Saa 4 Asubuhi Yu maji je tutafika Safari yetu ya Maendeleo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
SAM_3276.jpg


Ama kweli pombe sio maji ya kunywa.
 
Unajuaje kama jamaa ni mgonjwa??\
Na hapa ni canteen ya hospital?

Acha wendawazimu wewe mganga wa kienyeji!!

attachment.php
 
mmmmh kuna pombe zinauzwa kwenye meza za CocaCola kweli?/ jamani huyu ni muuza chips labda kachoka kidogo tu isiwe nongwa ila ni kweli wapo watu wanapata kinywaji ial huyu siye jamani
 
Tuache kukariri mambo ndugu zangu. Mie nafanya kazi kwenye kampuni fulani huwa kuna kipindi naingia usiku natoka saa 12 asubuhi kwa hiyo mchan kutwa ni muda wa mapumziko..... kwa nini mtu asijiachie hata kama ni saa moja asubuhi poa tu mbona wanaofanya kazi mchana wanpotoka ofcn wanapitiliza straight bar?, jambo la muhimu ajue kutimiza wajibu wake. labda mwenzio alikuwa night shift kaamua kujipongeza
Acheni kukariri mambo jamani

Thanks
 
mbona hakuna alama za bia au kilevi chochote hapo, huyo amewaza alivyowaacha nyumbani na atavyowakuta jioni akiwa hana kitu basi usingizi ukachukua mkondo wake
 
Back
Top Bottom