1. So kama inner circle (akazu) iliongozwa na mke wa habyarimana, na ndio hao unadai walitungua ndege, are you saying mke wa habyarimana alichukia watutsi kiasi cha kumtungua mumewe? Hivi hii inaingia akilini kweli?
The real story behind tulishaijadili hapa:https://www.jamiiforums.com/interna...and-will-continue-to-kill-if-not-stopped.html
2. Speech ya ingabire unayodai ina uchochezi ni hii hapa chini kila mtanzania anaweza kujionea mwenyewe: Which part of Victoire Ingabire's speech is evidence of divisionism? « Analysis « The Proxy Lake
3. Kuhusu genocide numbers, kila siku mnashindwa kuthibitisha kivipi watutsi 800-1mil waliuawa. Unasema eti census iliyofanya na UN kwa ufadhili wa US na Canada ilikuwa flawed, okay, mbona haikuwahi kuwa disputed then mpaka pale mnapotaka kufanya genocide iwe ya watutsi? for 3 years mbona RPA hawakusema chochote (they were also a political party no?). These are the facts:
Cc: JustDoItNow rushasha KIM KARDASH irankunda
- census of 1991 gives total number of Tutsis at 596,387 which is 8.4% of the entire population of Rwanda
- survivor group "Ibuka" counts 300,000 survivors. This number is agreed by the kagame's gov.
- Lakini la muhimu kabisa ni watutsi wenyewe waliofiwa. Ibuka hao hao walitafuta nyumba hadi nyumba watutsi wangapi wamepotea wakapata less than 500,000 verified genocide victims, hao marehemu wengine 600,000 to 1mil unadhani ni nani? Halafu hapo hapo wahutu wamekatazwa kusema kuwa na wao walichinjwa hivyo ingabire kuhoji "when will our dead be mourned" anawekwa jela miaka 8! wakati simple logic inaonyesha kuwa majority ya victims wa 94 ni wahutu! Hilo hata ufanyeje halibadilishiki, it doesn't matter how many times you prepare those festivities year after year, the number of Hutu "remembering" will always be greater than the number of tutsis.
- Lakini ili tumalize mgogoro, kwa nini wewe hauna methodology yoyote ile inayothibitisha kuwa watutsi ndio waliokufa, hata alternative census figures pia huna, why?
jMali tatizo lako you are very selective when it comes to giving your sources to support your arguments. Wengine tunaandika nondoz hapa wewe unachukua na ku-google na wikipedia halafu unatutuhumu eti tumetoa huko, unateleza kijana. Koba katoa nondoz za sensa hapa lakini unajifanya kama hujaona. Nilikwambia muda mrefu sana kuwa sensa kabla ya 1994 zilikuwa za kupikwa kwa kuwa watawala wa ki-hutu wa mrengo mkali hawakutaka namba sahihi ya tutsi ijulikane kwa sababu zao za kizandiki na kibaguzi. Soma alicho-post Koba uone na kuelewa. Sensa kufadhiliwa na kusimamiwa na UN, US, Canada haileti tofauti yeyote. Mbona UN under a Canadian three-star general walikuwepo wakati watu milioni moja wanauawa kikatili all over Rwanda and they did nothing. so who fcuking cares about the UN, US, or Canadians? Usibabaikie wazungu kiasi hicho kijana. Wao ni watu kama wewe wenye mapungufu kama mwanadamu yeyote.
Victoire Ingabire is a terrorist and divisionist. Hakujua kuwa serikali ya Rwanda imejipanga vizuri na ina habari zake zote. She came with her typical European patronizing towards Africans and thought she could railroad people into submission. Watu wakamkataa na siasa zake dhalimu za kibaguzi na kimauaji.