Rwanda is safe and moving forward for better na itaendelea kuwa safe and prosperous Nation after Kagame, wachawi wachache kama wewe mnazidi kupungua everyday and soon you all with your hate,lies,doomsday ---- etc will be History,unajifanya neutral na kuitakia Rwanda mema lakini post zako zote ni self explanatory..fkcing bias and Tutsi hater so ushauri wako wa kifala peleka kwa machizi wenzako interahamwe and misinformed,tell them Nazi walisafishwa bila debate,negotiations or kukaa meza moja and Kigali will never make deals or negotiate with murderers...its either surrender or face a storm.Kitu kingine,kwa maoni yangu naona kagame ni kama aliover react kwenye ule ushauri wa kikwete.Folks njia pekee ya kuifanya Rwanda ipate usalama wa kudumu ni kukaa na wale mabwana na kutizama namna bora ya kusahau yaliyopita then kuleta umoja wa wanyarwanda wote,katika hali ilivyo rwanda na ninachokisoma hapa kutoka kwenu hakuna rwanda ya utawala wa mtutsi peke yake wala ya mhutu peke yake,ni lazima mtawale kwa pamoja ndio mtabaki na usalama wa kudumu acha huu usalama wenu alioushikilia kagame as kagame akiondoka nao umeondoka.Kukaa meza moja na waasi si dhambi wala si kitu kigeni,angola na unita walifanya,Sudan na Garang walifanya south africa na mandela halikadhalika na matokeo tuliyaona.FDLR mmeanza kupambana nayo toka lini na matokeo ni nini labda zaidi ya kila siku kutuonyesha bado wapo na bado ni tishio kwa kagame regime.As i said kukaa nao meza moja si dhambi,hao sio wa kwanza kuua.