Another piece of baseless hearsay propaganda. Pres Kagame is a straight talker, he does not hide behind fancy rhetoric. Had he ordered to eliminate Kayumba or Karegeya, he would have said so openly. Besides, they're traitors bent on overthrowing a popular democratically elected government in Kigali. jMali mtaongea sana na kujaza headlines and front pages of genocidaire-sponsored news print mpaka mtachoka. Nimesoma This Day today nikasikitishwa sana na upuuzi ule. Gazeti kumuandika kwa uzushi mkuu wa nchi jirani bila hata kupata upande wa pili wa habari ni ukosefu wa weledi. Ndugu yangu waambie jamaa zako wa FDLR waache propaganda za kitoto.
Unfortunately, i don't spend sleepless nights following up on your comments. I gotta a life.
umepatia haswaaa, hawa jamaa badala ya kujibu article wanamshambulia aliyeileta. Nimeleta article toka gazeti la canada, nashangaa wanaanza ku-guess kabila langu...exactly proving what the article says about them!
Mbona una fula hivyo kama cobla? tafuta info na wewe za kusupport maneno yako
MURUTONGORE, MKAMASIMBA, COMMACHE NA KOROFU. Penye ukweli lazima tuseme, mauaji ya watutsi waliosigana mtizamo na PK na ambao wameikimbia Rwanda yanafanywa na mbwa wa PK wanaojiita intelligence agents. Jambo la muhimu kufaham nikwamba hauwezi kuendelea kuua wapinzani wako ukidhani unajijengea mazingira salama ya kutawala milele huko ni kujidangaganya. Utawala wa pk hauwezi kudumu, sisi tunona unakaribia kuanguka. Kwa vile ninyi ni wabishi endeleeni kubisha wenye akili zetu tunaona. PK ana maadui wengi wa ndani na nje ya nchi yake sasa mtu kama huyo kweli atadumu????PK ana positives zake lkn anakoelekea anaharibu mazuri aliyoyafanya. Tunasema kalewa sifa
...but you seem to be sleepless and you follow the comments....real you got NO life....POLE SANA EEEHUnfortunately, i don't spend sleepless nights following up on your comments. I gotta a life.
"Right to defend his country from a threat..." PaKa was once a threat to the country of Rwanda when he and RPA invaded it from Uganda by the assistance of his brother Mu7....so if you think he is being "threatened" then he is just eating the fruits of his labour....anapata malipo yake. You revisit your history, Zaire (now DRC) was calm before the tutsi violence to destabilize it in their effort to create "Bahima Empire". Tutsi from all over great lakes region joined forces to take over uganda, they were successful; then they did the same to rwanda; then DRC....your dreams are to do the same in TZ and Kenya. Hapa Ngara tunajua sana hii mipango yenu miovu na msidhani kama WaTanzania ni wajinga..tunawaangalia tu mlianzishe alafu muone moto wake!...alafu @ commanche, usiseme "Tanzania TUNA matatizo.." wewe sio MTanzania!Fugwe kuita wanadamu wenzi wako ni kukosa heshima. Hata kama hukubaliani na kundi fulani la watu si ustaarabu kuwadhihaki na kuwafananisha na wanyama. Mimi hao ndugu zako wa FDLR siwakubali kutokana na misimamo yao lakini kamwe siwezi kuwaita mbwa au nyoka au chatu ingawa wengi wao wanaishi mwituni. Kumbuka being a genocidaire is a state of mind irrespective of physical manifestation or worldly presence. Wapo hapa JF genocidaire ambao ama kwa makusudi au kutoelewa au ushabiki wa ki-swahili wanaamua kumtusi Rais Kagame kila leo. Hizo hit squads mnazoziongelea ziko wapi? Hivi kuna nchi isiyokuwa na Directorate of Military Intelligence (or its' equivalent)? Je, ni dhambi kwa nchi kuwa makini hasa hasa ukiangalia historia ya nchi hiyo? Je, kuna ubaya kwa uongozi halali kulinda mipaka yake from real threats? Anachokosea Kagame ni kipi hasa? Kila tatizo mnammsingizia Rais Kagame? DRC has been having problems even before Kagame was born lakini leo mko busy mnashutumu eti ndio chanzo cha instability in Eastern DRC.
I ask you, when was the DRC ever stable?? Tanzania tuna matatizo kibao ila siku hizi watu wako busy kumshupalia Kagame. Kagame this, Kagame that? Sisi waelewa tunajua this is just a smoke-screen on a larger scheme of things. Tunajua kuna elements zina maslahi na waasi wa FDLR. Wengine wanaojiita watumishi wa Mungu wamekubali wazi wazi kuwahifadhi viongozi wa FDLR. In my humble opinion, Pres Kagame has every right to defend his country from threats real or perceived (yes I've said it) because history is not on Tutsis' or moderate Hutus' side. It's better to pre-empt than wait to be wiped out. Dr Condi Rice once said if you wait for a smoking gun you will get a mushroom cloud. And he is doing this by nation-building, economic empowerment and strong defense. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa anahusika na mauaji ya aina yeyote. Hata kama kuna agents ndani ya utawala wa Kagame unaowashughulikia wasaliti na wanaotaka kuiangusha serikali, so what? I ask again, what country would brook dissidence? Ili mradi tu kuwafurahisha majirani au international community? Where were you when a million Tutsis and some Hutus were butchered senselessly in 94? Where was your holier-than-thou conscience to avert that genocide? Today you have the audacity to point fingers at Kagame from the confines and comfort of your FDLR, RNC - backing ivory towers. Yet you expect any sane man or woman to vouch for you, yeah right!
..na yale maamuzi ya kumtukana Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete unaona yalikuwa sio ya kijinga?...lakini kwa sababu tabia zenu ni dharau na kujiona nyie ndio watu zaidi ya wengine, basi kila ujinga anaoufana PaKa kwako ni werevu!...Dude it's "fura" and not fula, it's also not "cobla" but cobra. Anyway back to the lecture at hand; msituletee propaganda na kuzifanya facts. Rais Kagame ni kiongozi makini sana, hawezi kuchukua maamuzi ya kijinga kama mnavyofikiri.
"Right to defend his country from a threat..." PaKa was once a threat to the country of Rwanda when he and RPA invaded it from Uganda by the assistance of his brother Mu7....so if you think he is being "threatened" then he is just eating the fruits of his labour....anapata malipo yake. You revisit your history, Zaire (now DRC) was calm before the tutsi violence to destabilize it in their effort to create "Bahima Empire". Tutsi from all over great lakes region joined forces to take over uganda, they were successful; then they did the same to rwanda; then DRC....your dreams are to do the same in TZ and Kenya. Hapa Ngara tunajua sana hii mipango yenu miovu na msidhani kama WaTanzania ni wajinga..tunawaangalia tu mlianzishe alafu muone moto wake!...alafu @ commanche, usiseme "Tanzania TUNA matatizo.." wewe sio MTanzania!
Every colonized African country was unstable during colonial period, not only the DRC!.....huo utabaki ukweli kuwa nyie watutsi ndio mnaoleta vurugu eneo la maziwa makuu. Tunaishi na nyie tunawajua vizuri!...mimi nawaelewa vizuri sana kwa sababu tunaishi na nyie miaka mingi tu. Kwa arguments zako bado nashindwa kuamini kama kweli ni MTanzania halisi; vinginevyo utakuwa mtutsi. Mimi sina chuki na watutsi kama binadamu, ila tabia zao ndio nazichukia kama vile ninavyochukia muuaji mwingine hata kama angekuwa ni ndugu yangu wa damu....so I hate tabia za extremist tutsi but not a tutsi as a person..Irankunda kiongozi wangu naona unaongozwa na hisia zaidi ya hoja. Ukweli ni kuwa DRC has never been stable tokea enzi za m-Beligiji. This nonsense about the so called "Bahima Empire" is just wishful thinking among enemies of Rwanda and Tutsi-hating people the world-over. Hivi nikuulize, how can a people comprising less than 15 percent of the population create an empire in the midst of a multi-ethnic region? For anyone to believe in this hullabaloo is just absurd. Two, the RPA was a liberation force that emancipated a persecuted people from the bowls of a demonic devil worshiping regime in Habyarimana's and his band of criminal cliques and French-backed military. Tatu, mimi ni m-Tanzania.
..na yale maamuzi ya kumtukana Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete unaona yalikuwa sio ya kijinga?...lakini kwa sababu tabia zenu ni dharau na kujiona nyie ndio watu zaidi ya wengine, basi kila ujinga anaoufana PaKa kwako ni werevu!...
...ok nishakuelewa!....sasa hivi sioni ajabu kwanini huoni kama PaKa alitoa maneno ya kashfa (ambayo sisi WaTanzania tunaona ni matusi) kwa Mh Jakaya Mrisho Kikwete na hata kusababisha maelewano mabaya kati ya rwanda na Tanzania. Kama unakumbuka vizuri Mh Kikwete in one of his speeches alimjibu PaKa; na juzi wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Muungano, Mh Kikwete aliwaambia wanyarwanda kupitia muwakilishi wao wakati wa sherehe hizo kuwa "hatuna ugonvi".....if your brain works properly you can read between the lines hiyo statement ya Mh Rais. Maana yake ni kuwa kuna au kulikuwa na kutokuelewana kati ya nchi hizi mbili!....kwanini hakuambiwa Mu7, Kenyata, Mama Joyce Banda nk?Wapi Rais Kagame kamtukana Rais Kikwete? Hivi wewe mtu anayehifadhi ama kwa kujua au kutokujua wahasimu wako anapokushauri eti uongee na wauaji hao utamchekea?
"Right to defend his country from a threat..." PaKa was once a threat to the country of Rwanda when he and RPA invaded it from Uganda by the assistance of his brother Mu7....so if you think he is being "threatened" then he is just eating the fruits of his labour....anapata malipo yake. You revisit your history, Zaire (now DRC) was calm before the tutsi violence to destabilize it in their effort to create "Bahima Empire". Tutsi from all over great lakes region joined forces to take over uganda, they were successful; then they did the same to rwanda; then DRC....your dreams are to do the same in TZ and Kenya. Hapa Ngara tunajua sana hii mipango yenu miovu na msidhani kama WaTanzania ni wajinga..tunawaangalia tu mlianzishe alafu muone moto wake!...alafu @ commanche, usiseme "Tanzania TUNA matatizo.." wewe sio MTanzania!
Tatizo huyu bwana jMali akiibua hoja hamjibu zaidi ya kumshambulia binafsi.....mngemfahamu hata risasi ingeshapenya kifuani kwake.....
Every colonized African country was unstable during colonial period, not only the DRC!.....huo utabaki ukweli kuwa nyie watutsi ndio mnaoleta vurugu eneo la maziwa makuu. Tunaishi na nyie tunawajua vizuri!...mimi nawaelewa vizuri sana kwa sababu tunaishi na nyie miaka mingi tu. Kwa arguments zako bado nashindwa kuamini kama kweli ni MTanzania halisi; vinginevyo utakuwa mtutsi. Mimi sina chuki na watutsi kama binadamu, ila tabia zao ndio nazichukia kama vile ninavyochukia muuaji mwingine hata kama angekuwa ni ndugu yangu wa damu....so I hate tabia za extremist tutsi but not a tutsi as a person..
...ok nishakuelewa!....sasa hivi sioni ajabu kwanini huoni kama PaKa alitoa maneno ya kashfa (ambayo sisi WaTanzania tunaona ni matusi) kwa Mh Jakaya Mrisho Kikwete na hata kusababisha maelewano mabaya kati ya rwanda na Tanzania. Kama unakumbuka vizuri Mh Kikwete in one of his speeches alimjibu PaKa; na juzi wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Muungano, Mh Kikwete aliwaambia wanyarwanda kupitia muwakilishi wao wakati wa sherehe hizo kuwa "hatuna ugonvi".....if your brain works properly you can read between the lines hiyo statement ya Mh Rais. Maana yake ni kuwa kuna au kulikuwa na kutokuelewana kati ya nchi hizi mbili!....kwanini hakuambiwa Mu7, Kenyata, Mama Joyce Banda nk?