RWANDA'S HUNTED: Inside the plots to kill Rwanda’s dissidents

RWANDA'S HUNTED: Inside the plots to kill Rwanda’s dissidents

Yes I know of these traitors more than you do because no sane man, woman or child would call Karegeya "mpiganaji uhuru". It's a ridiculous statement borne out of either naivete or genocidaire mentality or in your case both. I will not sit back and let people like you mar the good name of Pres Kagame out of hatred. You and your friends always come here with supposed "facts" from genocidaire sources that try to muddy Pres Kagame's great leadership. Rwanda has made massive strides since Kagame won the elections. It's a shining beacon in an otherwise dark neck of the woods. It is a testament to his prowess at the helm. You ask how many airports does Rwanda have? What has the number of airports got to do with anything? How many does Tanzania have? The issue is not about numbers but services and the quality. Don't let your spite over Pres Kagame direct your thinking. It makes a mockery of your intellect. JF is for free thinkers and not copycats who paste garbage from like-minded sources to support their claims.

It'd be like your icon Hassan Ngeze referring to Kangura or Himmler quoting Mein Kempf. Let's not waste space copying and pasting ----. It's totally gay. Kubalini tu kuwa Rais Kagame ni nondo ya reli, hamumuwezi. It gives you grief that he has stomped on your FDLR buddies nestled in the forests of eastern DRC. Pres Kagame is a man of strong convictions and unwavering moral compass. Unlike your rapist, pilaging, terrorizing genocidaire little friends hiding in the jungle, his (Kagame's) is the focused leadership for the upliftment of all people in his country. One day you will thank him for the great leadership he has shown to his people. He won democratic elections overwhelmingly and leads by example. Africa needs disciplinarians like he to defeat abject poverty and spearhead a nurturing environment conducive for prosperity to thrive. So I pay no heed nor do I make haste to dignify these cheap false accusations leveled against the good President Kagame for I know better. I continue to pray that we in Tanzania get a leader of Kagame's cloth so that our country "sleeping giant" awakes and fully utilizes her God-given human and natural resources. And everybody say "Ameeeen"!

Yes karegeya alikua ni mpigania "uhuru" wenu,alipigana kutokea uganda,lakini akaja kugundua walichokipagania kagame anakibana!yeye na wapiganaji wengine wakaanza kumkumbusha,likawa kosa,kikawapata kilichowapata kutoka kwenye mkono wa chuma uliojaa damu wa kagame! Halafu Kumbe mnajua mpaka FDLR Walipo huko congo na mnashindwa kuwasambaratisha licha ya kuivamia congo na kuweka kambi mkishirikiana na uganda for years mpaka mkaishia kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe ndani ya ardhi ya congo-hilo ni tatizo,ndio mana jk akaliona na kumshauri "mzee",hao jamaa hamuwawezi bora mkae mezani muyazungumze tu maana kijeshi mmeshindwa kuwasambaratisha,bado wanawanyima raha(kama kagame anavyodai),mngekua na ubavu na jeshi imara watu wanaoishi maporini wasingewanyima usingizi,mngefanya kile wabongo walichowafanya M23 in few days tu kazi ikawa imekwisha,wamerejea nyumbani Tanzania! Hebu tupeni sisi hiyo kazi basi muone kama mtakosa usingizi tena,mwambie na M7 atukabidhi sisi wale LRA wake wanaomtesa for years aone tutakachowafanya!
 
Ndugu Mzalendohalisi,

Hakuna ushahidi wa uhusika wa Rais Kagame au serikali ya Rwanda katika mauaji ya Karegeya Afrika ya Kusini. Tatizo ni kuwa yeye Karegeya na Nyamwasa walishatamka wazi kuwa wao ni maadui wanaotaka kumpindua Rais halali aliyechagulia kwa boksi la kura na zaidi ya asilimia tisini (90) ya watu wake. Unajua kuna mwanahabari mmoja anaitwa Mwenda Uganda aliongea vizuri sana kwa kusema Karegeya alikuwa ana uhusiano na wake za watu. Inawezekana kabisa aliuawa na watu wasiokuwa na uhusiano na serikali lakini wakijua kuwa Rwanda ndiyo ingebebeshwa zigo la lawama. Inasemekana Karegeya alitumia sumu kumuua muimbaji aitwaye Matata I think kwa wivu wa mapenzi. Theories ni nyingi na hatutajua ukweli wa mambo kirahisi. Lakini si vema kumshutumu mtu kwa mauaji pasipo ushahidi. Natumai utakuwa umepata mwanga kidogo.

N a vipi zile kosa kosa za nyamwasa au nae anakula wake za watu ndio mana wanamkosa kosa kumuua,hahahaaaaaa!huyo ni Kagame zaidi ya umjuavyo kijana!
 
Mkuu punguza munkari, haya mambo hayataki msuli. Ni hivi, hakuna ushahidi wa kumhusisha Kagame na majaribio ya kuwaua wakina Nyamwasa (sio Rwamasa). Alichosema Kagame ni sawa tu kwa kuwa hao akina Kayumba ni self-confessed traitors. Alichomaanisha Kagame ni kuwa dhamira yake haiudhunishwi na kifo cha mtu aliyetaka kumuua yeye kama kiongozi halali wa nchi. C'est la vie! Adhabu ya uhaini ni kifo. Ujue Kagame sio mnafiki. Rather he is a battle hardened general who says what he thinks. Hamumunyi au kurembesha maneno. Hizo porojo za maofisa wa ubalozi kuhusika ni utoto. Mbona katika wale watuhumiwa wa kumuua Kayumba kuna wa-Tanzania 3. Je, ina maana Tanzania tulihusika kutaka kumuua Kayumba?

masahihisho kidogo
"Mbona katika wale watuhumiwa wa kumuua Kayumba kuna wa-Tanzania 3"

Hapo kwenye red naomba pasomeke kuna wanyarwanda wa 3 waliokutikana wakitumia mikoba(ppt)ya kibongo! msituingize kwenye mauaji yenu ya ovyo hayo through Escadron de la mort ,sisi ni watu wa amani tunaamini katika mazungumzo sio mauaji!
 
Kwi kwi kwi I knew you'd bring this up. Asante kwa kuleta "ushahidi" kutoka "Ugandans At Heart". I hope you know who these people are. The directive clearly shows that the man is being paid for services rendered. What's the big deal? Nchi yenye utawala wa haki inafanya mambo yake katika misingi ya ki-maadili. Nikuulize, ile tenda ya kununua mashangingi ya serikali 700 ilitangazwa lini? te he he

ilitakiwa ukanushe au utetee kwanza hoja za msingi hizo hapo chini nimeziquote ili kukurahisishia mambo naona hukuzi quote kwa bahati mbaya ama kwa sababu za kifundi,nimekusaidia,zijibu then ndio uanzishe uzi wa ununuzi wa mashangingi 700 ya serikali,mbona rahisi tu kuanzisha uzi hapa,y unang'ang'ania kuchanganya mambo,jibu hoja acha ujanja ujanja,jibu hizi hoja kwanza

Cheki anavyolipwa kupitia akaunti ya usalama wa taifa, na fedha kwenda kwenye akaunti yake binafsi uingereza.

1. the independent linatoka moja kila baada ya miezi miwili! Haiingii kichwani why Rwanda would pay $200,000 for "adverts".
2. Tenda iliyochagua gazeti la independent kutangaza matangazo ya Rwanda iko wapi? jibu: hakuna. there is no way the independent ilishinda tenda ya kutangaza matangazo haya ikayapiku magazeti yaliyobobea.
3. Hivi ni wapi umeona serikali ya nchi moja inalipa gazeti litangaze matangazo yake ya serikali kwenye gazeti la nchi nyingine? matangazo ya serikali ni tenda, nafasi za kazi, taarifa muhimu kwa taifa etc, au Uganda ni sehemu ya Rwanda?
4. Akaunti iliyotumika ni akaunti ya usalama wa taifa kwa hivyo haikaguliwi na mkaguzi mkuu wa serikali Rwanda, this is odd, its the same account used to pay for weapons and stuff like that....
 
Ni Udhaifu wa Kufikiria wa Kupindukia kudhani MTU anatekushauri Kujenga MARIDHIANO ETI ukamuita LIAR,HATER sijui Majina Gani!
USA vrs USSR walizungumza,NORTH KOREA vrs SOUTH KOREA, ISRAEL vrs PALESTINE,UGANDA vrs LRA, COALITION FORCES&AFGHAN GOVT vrs TAKIBAN List ni Endless wanazungumza Itakuwa Hicho KI RWANDA Acheni Kiburi na Supremacy Mmesifiwa Mmevimba Bichwa ku
 
You call yourself after some olive skinned American bimbo yet you talk of respect, te he he. Hypocrisy is your m.o. Genocidaire mna mambo sana.

Umeona haikutosha nilipokudharau na kutokukujibu baada ya kukuona unataka kuleta arguments za kitoto kuhusu "N" WORD kwa kuleta habari ya Nigger na Nigga now umeona uje kiivi sio?
 
kim kardashian is actually armenian! get your facts straight! ooh wait, i forgot, tutsi-extremists don't do facts....

Mi nimemuignore na hizi argument zake,Great Thinker hawa argue about avatar or user name,kuna mtu anajiita kifilio humu ndani sasa ukianza kupoteza muda wako kuanza kuhoji kwanini anajiita ivyo itakucost muda wa kujenga hoja,yeye ndio anataka iwe hivyo ili apate pa kutokea,wa hivyo ukishamgundua unampotezea then unambana kwenye hoja ili azijibu mjadala uendelee kuwa healthy,anajidai mmarekani but hawajui wamarekani,kiufupi kwa kumsaidia tu mimi naitwa Hakim kardashiangwe!hilo ndio jina langu halisi,haya twende kazi sasa
 
Nigga please! the girl was born in Los Angeles, CA. She's a U.S citizen. Oops! I forgot genocidaire always fabricate "facts"..kwi kwi kwi

Hiki ndicho unachokitaka,kutuondoa kwenye mada cuz umeshikwa pabaya,kijana unawajua wamarekani kuliko unavyojijua mwenyewe!tatizo kubwa sana,ndio mana nikakwambia unapenda sana umarekani nahisi unatamani ungezaliwa marekani kuliko ngara,uganda ama kigali
 
Kudos mkuu. Tuko pamoja. One thing I know for sure, is that majority of Tanzanians don't give a hoot about these revisionists. The microcosm of this is if you look at this thread you will notice that the active members on the Anti-Kagame camp is les than 5. JF ina members in hundreds of thousands. Now ask yourself why is it that jMali and a couple of other haters kama rushasha aka "My mother is Tutsi" ndio wanashadidia these threads! Its because the majority of Tanzanians love Kagame because ni mwanaume. Hakugombea uraisi kuuza sura. Anataka kuikwamua nchi yetu kutoka katika ombwe la umaskini. Tuombe mungu tu but in 10yrs to came nchi yetu itakuwa mbali.

Bado atakua rais yeye tu,si mwenzenu mmoja huko nyuma katuambia hagombei tena?au atagombea baada ya "kuombwa" na wananchi!
 
Yes karegeya alikua ni mpigania "uhuru" wenu,alipigana kutokea uganda,lakini akaja kugundua walichokipagania kagame anakibana!yeye na wapiganaji wengine wakaanza kumkumbusha,likawa kosa,kikawapata kilichowapata kutoka kwenye mkono wa chuma uliojaa damu wa kagame! Halafu Kumbe mnajua mpaka FDLR Walipo huko congo na mnashindwa kuwasambaratisha licha ya kuivamia congo na kuweka kambi mkishirikiana na uganda for years mpaka mkaishia kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe ndani ya ardhi ya congo-hilo ni tatizo,ndio mana jk akaliona na kumshauri "mzee",hao jamaa hamuwawezi bora mkae mezani muyazungumze tu maana kijeshi mmeshindwa kuwasambaratisha,bado wanawanyima raha(kama kagame anavyodai),mngekua na ubavu na jeshi imara watu wanaoishi maporini wasingewanyima usingizi,mngefanya kile wabongo walichowafanya M23 in few days tu kazi ikawa imekwisha,wamerejea nyumbani Tanzania! Hebu tupeni sisi hiyo kazi basi muone kama mtakosa usingizi tena,mwambie na M7 atukabidhi sisi wale LRA wake wanaomtesa for years aone tutakachowafanya!

Hebu nitajie one battle Karegeya fought in? For your information Karegeya was an armchair Colonel. He never fought in the liberation of Rwanda. Kama hujui usiropoke.
 
masahihisho kidogo

Hapo kwenye red naomba pasomeke kuna wanyarwanda wa 3 waliokutikana wakitumia mikoba(ppt)ya kibongo! msituingize kwenye mauaji yenu ya ovyo hayo through Escadron de la mort ,sisi ni watu wa amani tunaamini katika mazungumzo sio mauaji!

Mahakama na serikali ya South Africa inasema ni wa-Tanzania watatu, sasa wewe una ushahidi kuwa ni wanyarwanda na si kutoka Tanzania? Leta ushahidi.
 
Hebu nitajie one battle Karegeya fought in? For your information Karegeya was an armchair Colonel. He never fought in the liberation of Rwanda. Kama hujui usiropoke.

Hata mpishi aliekua anawapikia wanajeshi nae anaehesabika alipigana,ndio mana likaitwa jeshi,labda kama hufahamu unadhani mwanajeshi ni yule anayeshika mtutu na kwenda mstari wa mbele tu!
 
Hiki ndicho unachokitaka,kutuondoa kwenye mada cuz umeshikwa pabaya,kijana unawajua wamarekani kuliko unavyojijua mwenyewe!tatizo kubwa sana,ndio mana nikakwambia unapenda sana umarekani nahisi unatamani ungezaliwa marekani kuliko ngara,uganda ama kigali

"Natamani"?? te he he..ignorance is bliss indeed... coming from an extremist flat-nosed genocidaire calling yourself after some white airhead, you are not being very realistic...haya jipe moyo.
 
Mahakama na serikali ya South Africa inasema ni wa-Tanzania watatu, sasa wewe una ushahidi kuwa ni wanyarwanda na si kutoka Tanzania? Leta ushahidi.

wanaweza kuwa ni watanzania wa aina yako,sam ruhuza,peter serukamba na wengine wengi ambao tunaishi nao kwa mashaka!mtanzania wa kweli na mauaji ya karegeya wapi na wapi,alituhusu nini sisi karegeya hasa!na vipi nyamwasa nae ni mla wake za watu ndio mana wanataka kumuua?
 
"Natamani"?? te he he..ignorance is bliss indeed....haya jipe moyo.

kwa hiyo umezaliwa marekani sio?haya bwana/bibi mmarekani mwafrika,kuzaliwa marekani big deal siku hizi eeh?yani watu wanavyoipenda hii nchi,i'm wondering aisee!
 
Hata mpishi aliekua anawapikia wanajeshi nae anaehesabika alipigana,ndio mana likaitwa jeshi,labda kama hufahamu unadhani mwanajeshi ni yule anayeshika mtutu na kwenda mstari wa mbele tu!

Wapishi wanakuwepo on the battle field. Nauliza tena, Karegeya alipigana battle ipi katika ukombozi ule? Usipindishe ki-swahili supuu
 
kwa hiyo umezaliwa marekani sio?haya bwana/bibi mmarekani mwafrika,kuzaliwa marekani big deal siku hizi eeh?yani watu wanavyoipenda hii nchi,i'm wondering aisee!

Where I was born, what nationality I hold is none of your business. Let's put focus on the topic at hand. This is not about America rather Rwanda and Tanzania and East Africa. Tuongelee ya hapa kwetu, ya Amerika is another ball game. U dig?
 
Bado atakua rais yeye tu,si mwenzenu mmoja huko nyuma katuambia hagombei tena?au atagombea baada ya "kuombwa" na wananchi!

What's wrong if it is the will of the people? Who are you to dictate what Rwandans want for their leader? Sisi tukomalie ya kwetu Tanzania. Ya wanyarwanda tuwaachie wao waamue. Mbona leo Uhuru katumia executive order to install County Commissioners -in essence undermining governors lakini huongelei? Kwanini kila kitu ni Kagame tu? What gives?
 
Mi nimemuignore na hizi argument zake,Great Thinker hawa argue about avatar or user name,kuna mtu anajiita kifilio humu ndani sasa ukianza kupoteza muda wako kuanza kuhoji kwanini anajiita ivyo itakucost muda wa kujenga hoja,yeye ndio anataka iwe hivyo ili apate pa kutokea,wa hivyo ukishamgundua unampotezea then unambana kwenye hoja ili azijibu mjadala uendelee kuwa healthy,anajidai mmarekani but hawajui wamarekani,kiufupi kwa kumsaidia tu mimi naitwa Hakim kardashiangwe!hilo ndio jina langu halisi,haya twende kazi sasa

Kwi kwi kwi ...girl you must be on some sick BC bud ...alright do ya thang kiddo
 
Kuropoka tu haitoshi kaka/dada angu,ur in the house of Great Thinker here not kule kwa watoto wa facebook ambako unaweza kuropoka tu ukaachwa uende,hapa utatakiwa utitirike na ushahidi kuthibitisha urichoropoka,weka ushahidi kama mwenzio alivyofanya kwa mfano kumnukuu Mel B kutoka kwenye vyanzo vinavyoeleweka na kuthibitisha kwamba vijana wanaishi NY!

I'm not on facebook for it is not my thing. Again, I do not care for Mel B, Mel C, Mel D or Mel-whatever. We are here to discuss important matters that affect the very sanctity of honoring and maintaining peace, stability and prosperity for the peoples of the great lakes region. When detractors like you start taking jabs at the most effective and efficient leader in the bloc, you must be dealt with. You can't expect those of us who know to just let you slide with your propaganda. At threat is the God-fearing civilization as we know it.

If we brook your line of thinking, we risk alienating everything that is moral and plunging our region into unimaginable chaos and subsequent untold misery amongst our people. I for one am not ready to let that happen. I will support any leader be it Kikwete, Uhuru, Museveni, Kagame, Kiir, Kabila, Nkurunziza against trouble-makers who wish to destabilize this beautiful region out of ethnic hatred. People who support the LRA, Al Qaeda and FDLR must be stopped for they put at risk the lives of hundreds of millions of peace-loving Great Lakers. If it means I perish, then I perish. Somebody pass me my Galil!
 
Back
Top Bottom