RWANDA'S HUNTED: Inside the plots to kill Rwanda’s dissidents

wanaweza kuwa ni watanzania wa aina yako,sam ruhuza,peter serukamba na wengine wengi ambao tunaishi nao kwa mashaka!mtanzania wa kweli na mauaji ya karegeya wapi na wapi,alituhusu nini sisi karegeya hasa!na vipi nyamwasa nae ni mla wake za watu ndio mana wanataka kumuua?

Sikujua kwamba kuna madaraja ya u-Tanzania. Hakuna anayefurahia kufa kwa Karegeya. To me his passing was similar to that of Osama, "sheikh" Ilunga, Hitler, Saddam, Mussolini, Himmler, Hess, Pinochet and other despotic s.o.b's who have ruined this world based on hate. Kama Nyamwasa ni mla wake za watu mimi sijui. Ila madhambi yake aliyoyafanya Rwanda yanajulikana. He was sentenced by an independent judiciary to 24 years in absentia for the evils he's done, this I know. Who knows what other bad things he's done. He can run and hide, but not for long.
 
Kudos mkuu. Tuko pamoja. One thing I know for sure, is that majority of Tanzanians don't give a hoot about these revisionists. The microcosm of this is if you look at this thread you will notice that the active members on the Anti-Kagame camp is les than 5. JF ina members in hundreds of thousands. Now ask yourself why is it that jMali and a couple of other haters kama rushasha aka "My mother is Tutsi" ndio wanashadidia these threads! Its because the majority of Tanzanians love Kagame because ni mwanaume. Hakugombea uraisi kuuza sura. Anataka kuikwamua nchi yetu kutoka katika ombwe la umaskini. Tuombe mungu tu but in 10yrs to came nchi yetu itakuwa mbali.
Eeeh!...majority of Tanzanians love kagame because ni mwanaume....use your brain to think and not your legs. Who are you to speak for Tanzanians? Mtanzania anayempenda PaKa wenu hayupo hata mmoja; labda hao akina Commanche wanaojipachika uTanzania. PaKa hurled insults to our President and so Tanzanians, and you expect Tanzanians to "love" him. MNATIA HURUMA SANA!..kwa taarifa yako hata watoto wa nursery schools hate your PaKa.
 
wanaweza kuwa ni watanzania wa aina yako,sam ruhuza,peter serukamba na wengine wengi ambao tunaishi nao kwa mashaka!mtanzania wa kweli na mauaji ya karegeya wapi na wapi,alituhusu nini sisi karegeya hasa!na vipi nyamwasa nae ni mla wake za watu ndio mana wanataka kumuua?
Seems ant Tutsi sasa mnataka kuihamishia local,nyie haters league yenu ya kuelewa mambo ni ndogo sana,no need to debate hateful people endeleeni tuu
 
Eeeh!...majority of Tanzanians love kagame because ni mwanaume....use your brain to think and not your legs. Who are you to speak for Tanzanians? Mtanzania anayempenda PaKa wenu hayupo hata mmoja; labda hao akina Commanche wanaojipachika uTanzania. PaKa hurled insults to our President and so Tanzanians, and you expect Tanzanians to "love" him. MNATIA HURUMA SANA!..kwa taarifa yako hata watoto wa nursery schools hate your PaKa.

Ni kweli kabisa. Hakuna mtanzania yeyote anayempenda kagame hata siku moja. huyo commanche tuna wasiwasi naye. Hatukujengwa kwenye misingi ya kikabila kama nyie. watch out!
 
Ni Udhaifu wa Kufikiria wa Kupindukia kudhani MTU anatekushauri Kujenga MARIDHIANO ETI ukamuita LIAR,HATER sijui Majina Gani!
USA vrs USSR walizungumza,NORTH KOREA vrs SOUTH KOREA, ISRAEL vrs PALESTINE,UGANDA vrs LRA, COALITION FORCES&AFGHAN GOVT vrs TAKIBAN List ni Endless wanazungumza Itakuwa Hicho KI RWANDA Acheni Kiburi na Supremacy Mmesifiwa Mmevimba Bichwa ku

CCM vs Chadema!!! Lol
 
Eeeh!...majority of Tanzanians love kagame because ni mwanaume....use your brain to think and not your legs. Who are you to speak for Tanzanians? Mtanzania anayempenda PaKa wenu hayupo hata mmoja; labda hao akina Commanche wanaojipachika uTanzania. PaKa hurled insults to our President and so Tanzanians, and you expect Tanzanians to "love" him. MNATIA HURUMA SANA!..kwa taarifa yako hata watoto wa nursery schools hate your PaKa.

Naona umeshafanya poll ya watanzania wote!! Hebu iweke hapa basi tuijadili. Nyoko wawe yarakuvumye sha. Wowe komeza.
 
Mi nimemuignore na hizi argument zake,Great Thinker hawa argue about avatar or user name,kuna mtu anajiita kifilio humu ndani sasa ukianza kupoteza muda wako kuanza kuhoji kwanini anajiita ivyo itakucost muda wa kujenga hoja,yeye ndio anataka iwe hivyo ili apate pa kutokea,wa hivyo ukishamgundua unampotezea then unambana kwenye hoja ili azijibu mjadala uendelee kuwa healthy,anajidai mmarekani but hawajui wamarekani,kiufupi kwa kumsaidia tu mimi naitwa Hakim kardashiangwe!hilo ndio jina langu halisi,haya twende kazi sasa

Great Thinker anajiita Kim Kardashian! We are finished!
 
Naona umeshafanya poll ya watanzania wote!! Hebu iweke hapa basi tuijadili. Nyoko wawe yarakuvumye sha. Wowe komeza.
Nakuonea huruma. Unachojua ni matusi tu; ila sikushangai ndio kawaida yenu. I chose to ignore you.
 
Du, hawa jamaa kwa ukabila! hapo ushachanganya kinyarwanda. ehehehhe! we are not equal mzee. Sisi hapa tuna makabila kibao. Yaani kama unataka kudharaurika TZ anza kuwaclasify watu kutokana na makabila yao.
 
Nakuonea huruma. Unachojua ni matusi tu; ila sikushangai ndio kawaida yenu. I chose to ignore you.

Alafu cha kushangaza nasikia watusi walishapoteza lugha yao. Hii wanayoongea sasa hivi ni lugha ya wahutu. Du! kazi kweli kweli
 
Great Thinker anajiita Kim Kardashian! We are finished!
Hujui kusoma,wala jf hakuna mtu anaejiita kim kardashian!mwanao mwanao akusomee vizuri ! by the way great thinker sio jina ni jinsi ya kujenga hoja kwenye mijadala,u can use any name,u can call urself mpuuzi au ----- but just a name,kuanza kujaduli avatar na user names ni dalili za kushikwa pabaya na kuishiwa hoja,wabongo ujumbe wetu kwenu nyie tutsi ni ule ule,kaeni na ndugu zenu wahutu meza moja,bila hivyo utawala wenu rwanda utaendelea kuwa wa mashaka,mtalazimika kutumia gharama nyingi sana kujilinda na wahutu
 
Kwani CCM na CHADEMA ni maadui? kweli wewe pipa...kwa akili yako finyu basi DEMOCRATS na REPUBLICAN ni maadui pia......//

Mkuu msaidie maana ya adui.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Alafu cha kushangaza nasikia watusi walishapoteza lugha yao. Hii wanayoongea sasa hivi ni lugha ya wahutu. Du! kazi kweli kweli
Wewe nimegundua ni bogus tuu and not worthy debating anything
 
Alafu cha kushangaza nasikia watusi walishapoteza lugha yao. Hii wanayoongea sasa hivi ni lugha ya wahutu. Du! kazi kweli kweli

uko sahihi sana mkuu, kinyarwanda actually ni kihutu, mila za kinyarwanda ni za kihutu etc, watutsi walivyokuja walimezwa culturally.
 
Hahaha...kicks of a dying horse. BTW dunia yote inayomchukia Kagame, iko hapa kigali sasa sijui watamchukiaje halafu waje kufanya mkutano mkubwa kama huu. Raisi kidume Mkapa yuko hapa anatoa nondo zilizoenda shule sio kama jamaa wa mipasho
 
Hebu soma huu mtiririko uone jinsi chuki zako zinavyokufanya uwe chizi! Hoja ni nini na wewe unasema nini? watu tunadiscuss history, culture, language...wewe unaleta sijui mkutano..., mkapa...:nimekataa

uko sahihi sana mkuu, kinyarwanda actually ni kihutu, mila za kinyarwanda ni za kihutu etc, watutsi walivyokuja walimezwa culturally.

Hahaha...kicks of a dying horse. BTW dunia yote inayomchukia Kagame, iko hapa kigali sasa sijui watamchukiaje halafu waje kufanya mkutano mkubwa kama huu. Raisi kidume Mkapa yuko hapa anatoa nondo zilizoenda shule sio kama jamaa wa mipasho
 
Mauaji ya Habyarimana: Rwanda yaionya Ufaransa

Rais wa Rwanda ,Paul Kagame ameonya kuhusu makabiliano na Ufaransa kufuatia tangazo la wachunguzi wa Ufaransa kwamba watafungua upya uchunguzi kuhusu mauaji ya aliyekuwa rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana.

Kutunguliwa kwa ndege yake iliokuwa na wafanyikazi wa Ufaransa mwaka 1994 ilizua mauaji ya kimbari ambapo mamia ya maelfu waliuawa ,hususan watu wa kabila la Tutsi .

Uchunguzi huo umeanzishwa upya ili kupata ushahidi kutoka kwa jenerali aliyetoroka Rwanda Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye anasema kuwa rais Kagame alihusika .

Mwaka 2006,Rwanda ilikata uhusiano wake na Ufaransa kwa miaka mitatu baada ya jaji kumtaka rais Kagame kujibu mashtaka.

NOTE:HVI KWA NINI KAGAME ANAZUIA HII???

Mkuu analizuia hili kwa sababu yeye ndie akietoa amri ndege ya rais habyarimana itunguliwe. Unadhani kwa nini anang'ang'ania madaraka? Ana kesi nyingi za mauaji ya wahutu anazotakiwa kujibu.
 
Mkuu usijichoshe. Hawa authors 1. Geoffrey York na Judi Rever ni baadhi ya waandishi wa habari ambao wanajulikana kwa articles zao ambazo ni biased. Wewe wa google tu utaona articles zao zote ni about portraying our President and Country in a negative way. So, just read it with a pinch of salt.
Wajidanganya, time will remain the most best attorney, Robert nesta aliimba, "you can fool some people sometimes, but you can't fool all the people all the time"
 
Back
Top Bottom