RWANDA'S HUNTED: Inside the plots to kill Rwanda’s dissidents

Kim K you need prayer my dear. You are too naive. Ungesoma posts zangu ungeona dhahiri kuwa mimi ni staunch supporter wa Rais Kagame against all those (hutu, tutsi, twa, mixed and other detractors) who wish him ill. Suala si u-hutu au u-tutsi wa adui wa Kagame. I keep telling people that the situation in Rwanda is more complex than the supposed tutsi vs hutu divide. Genocidaires come in all shapes and backgrounds. But then again I dont think you understand what I am talking about. I mean you call Karegeya mpiganaji wa uhuru, ha ha ha. Are you privy to the evils he, Kayumba and their band of hardline tutsi have done and were plotting to do in Rwanda? Trust me had it not been for Pres Kagame Rwanda would have been a bloodbath. His is the voice of reason and moderation that has kept that country together. I read comments from people here supporting Kayumba and Karegeya and I shake my head in utter disappointment. Hamuwajui hawa watu.

Hapo ndipo unaponiacha hoi,kwanini unaamini ni wewe tu ndio mwenye uhalali na uwezo wa kuwajua kina Kayumba na Karegeya kuliko wengine?jeuri hii unaitoa wapi hasa?wewe "mtanzania" umewajuaje hao wanyarwanda kiasi cha kuona watanzania wenzio haiwezekani na wala hata wafanyeje hawawezi kuwajua kina Nyamwasa na karegeya kama wewe?acha kujipenda kupita kiasi bwana mdogo,kwa hili la kuona ni wewe tu ndio mwenye uhalali wa kuwajua wanyarwanda nadhani wewe ndio unahitaji maombi ya haraka!
 
ushahidi wa hizi personal jet za kagame nimeuweka UMESHINDWA kuupinga, unaanzisha hoja nyingine tofauti unayodhani unaweza kunishinda.poa tu no problem..

"RwandAir has been loss-making for a number of years. Detailed accounts do not appear to have been published, with only a few public announcements from senior management or the government giving details of the scale of the operation"

source:RwandAir - Wikipedia, the free encyclopedia

Haya umeona ee? It seems your national airline ina exist only kwa ajili ya kuringishia wabongo na waburundi, tehe tehe...And guess who is paying for this..The rwandan tax payers. Mnalipia misifa ili mseme "look at us we have an airline, and TZ does not..." A big fat glossy loss making company. ahahaha.

Granted, ni jambo la kawaida kuendesha kampuni kwa loss, lakini si kawaida kuendesha kampuni bila kutoa taarifa kwa bunge juu ya mapato na projections za kampuni ya umma, i guess like that report i gave you said, akaunti zote zinasimamiwa na kagame personally kama kawaida, na hawajibiki kwa yoyote hata bunge!

..Haya tuhesabu viwanja basi. Nyie mnavyo vingapi na sisi tunavyo vingapi? ndege ngapi zinakuja Rwanda na ngapi zinakuja TZ....haya twende..

Hahahaaaaaaaaaaa kaka basi inatosha kwa leo,utaua.Huyu jama sio size yako kabisa,ni kama unamuonea tu,huyu tuachie sisi sasa,wewe shiriki kwa njia ya kusoma tu,maana kila anapokupeleka akidhani atapata pa kutokea unampa details za kufa mtu,nimependa ulivyomuuliza swali la viwanja vya ndege wanavyo vingapi na wanapata wastani wa ndege ngapi kwa siku,kagame atawaua hawa watu kwa misifa ya kijinga!
 
Lakini mzee hebu tusaidie na hili,inakuwaje mtoto au watoto wa rais wa nchi yenye "amani na usalama" wanasindikizwa na walinzi kama rais mwenyewe?mbona watoto wa rais wetu hawatembei wala kusindikizwa na walinzi,y watoto wa rais wa rwanda nchi yenye wanalindwa,huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali?

Wapi umeona watoto wa Rais Kikwete hawana ulinzi? Unaota wewe.
 
mmmmm! mmmmm! taratibu,mbona povu jingi,punguza munkari,ndio dawa inaingia ukisikia maumivu,ndio unapona hivyo,vumilia.Hebu twende taratibu kwanza,sasa umekubaliana na jamaa kwamba hao watoto wa kagame hawaishi kigali bali wanaishi NY au bado unaendelea na msimamo wako kwamba wanaishi kigali,achana na mambo ya kuwafollow on twitter,tumalize hili kwanza,wanaishi kigali ama NY?

Kigali
 
Hahahaaaaaaaaaaa kaka basi inatosha kwa leo,utaua.Huyu jama sio size yako kabisa,ni kama unamuonea tu,huyu tuachie sisi sasa,wewe shiriki kwa njia ya kusoma tu,maana kila anapokupeleka akidhani atapata pa kutokea unampa details za kufa mtu,nimependa ulivyomuuliza swali la viwanja vya ndege wanavyo vingapi na wanapata wastani wa ndege ngapi kwa siku,kagame atawaua hawa watu kwa misifa ya kijinga!

AAAhahahahhahaahaa! Du huyu commanche anaushabiki wa kijiweni. Kagame kashawafanya kama mazombi.
Mtanzania gani huna uzalendo. Alafu data hana. huyu atakuwa anawadanganya manzese kwenye vijiwe vya kahawa. Akiongea sentensi 2 za kiswahili anaweka na vimaneno vyake vya kiingereza/kifaransa basi wanamuona bonge la msomi..........LOL
 
Hapo ndipo unaponiacha hoi,kwanini unaamini ni wewe tu ndio mwenye uhalali na uwezo wa kuwajua kina Kayumba na Karegeya kuliko wengine?jeuri hii unaitoa wapi hasa?wewe "mtanzania" umewajuaje hao wanyarwanda kiasi cha kuona watanzania wenzio haiwezekani na wala hata wafanyeje hawawezi kuwajua kina Nyamwasa na karegeya kama wewe?acha kujipenda kupita kiasi bwana mdogo,kwa hili la kuona ni wewe tu ndio mwenye uhalali wa kuwajua wanyarwanda nadhani wewe ndio unahitaji maombi ya haraka!

Yes I know of these traitors more than you do because no sane man, woman or child would call Karegeya "mpiganaji uhuru". It's a ridiculous statement borne out of either naivete or genocidaire mentality or in your case both. I will not sit back and let people like you mar the good name of Pres Kagame out of hatred. You and your friends always come here with supposed "facts" from genocidaire sources that try to muddy Pres Kagame's great leadership. Rwanda has made massive strides since Kagame won the elections. It's a shining beacon in an otherwise dark neck of the woods. It is a testament to his prowess at the helm. You ask how many airports does Rwanda have? What has the number of airports got to do with anything? How many does Tanzania have? The issue is not about numbers but services and the quality. Don't let your spite over Pres Kagame direct your thinking. It makes a mockery of your intellect. JF is for free thinkers and not copycats who paste garbage from like-minded sources to support their claims.

It'd be like your icon Hassan Ngeze referring to Kangura or Himmler quoting Mein Kempf. Let's not waste space copying and pasting ----. It's totally gay. Kubalini tu kuwa Rais Kagame ni nondo ya reli, hamumuwezi. It gives you grief that he has stomped on your FDLR buddies nestled in the forests of eastern DRC. Pres Kagame is a man of strong convictions and unwavering moral compass. Unlike your rapist, pilaging, terrorizing genocidaire little friends hiding in the jungle, his (Kagame's) is the focused leadership for the upliftment of all people in his country. One day you will thank him for the great leadership he has shown to his people. He won democratic elections overwhelmingly and leads by example. Africa needs disciplinarians like he to defeat abject poverty and spearhead a nurturing environment conducive for prosperity to thrive. So I pay no heed nor do I make haste to dignify these cheap false accusations leveled against the good President Kagame for I know better. I continue to pray that we in Tanzania get a leader of Kagame's cloth so that our country "sleeping giant" awakes and fully utilizes her God-given human and natural resources. And everybody say "Ameeeen"!
 
MUKAMASIMBA NA MURUTONGORE NJOONI MUMUOKOE JAMAA YENU HUKU KASHIKWA PABAYA. ehehehhhe!
 
Lakini kwa nini hawa wapinzani wa Kagame wanauwawa South Afrika kama Kagame ni mtu mzuri?

Ikiwa mtu safi kwa nini sasa uue watu??
 
Wapambe wake wakikujibu utaona waamisha swali wanakuletea kitu tofauti na ulichouliza kwa kuandika mambo meeeeengi.
Ukiwabana sana wanakwambia wewe ni mhutu unatusaliti. Yaani wamekuwa kama mazombi kwa kuogopa nao PAKA hasiwaue.
 
MUKAMASIMBA NA MURUTONGORE NJOONI MUMUOKOE JAMAA YENU HUKU KASHIKWA PABAYA. ehehehhhe!

Te he he majibu rahisi rahisi kwa watu wenye fikra nyepesi kama wewe. Sihitaji msaada, mimi ndio nimewashika pabaya, single handedly taking you out; one by one I started to subtract ha ha ha. I've been putting it down. Kinda like the 110th IR in Bastogne or more recent and closer to home; the rapid RPF advance to liberate Rwanda or the ouster of Iddi Amin by the TPDF kwi kwi kwi, upo hapo kaka.
 
Lakini kwa nini hawa wapinzani wa Kagame wanauwawa South Afrika kama Kagame ni mtu mzuri?

Ikiwa mtu safi kwa nini sasa uue watu??

Ndugu Mzalendohalisi,

Hakuna ushahidi wa uhusika wa Rais Kagame au serikali ya Rwanda katika mauaji ya Karegeya Afrika ya Kusini. Tatizo ni kuwa yeye Karegeya na Nyamwasa walishatamka wazi kuwa wao ni maadui wanaotaka kumpindua Rais halali aliyechagulia kwa boksi la kura na zaidi ya asilimia tisini (90) ya watu wake. Unajua kuna mwanahabari mmoja anaitwa Mwenda Uganda aliongea vizuri sana kwa kusema Karegeya alikuwa ana uhusiano na wake za watu. Inawezekana kabisa aliuawa na watu wasiokuwa na uhusiano na serikali lakini wakijua kuwa Rwanda ndiyo ingebebeshwa zigo la lawama. Inasemekana Karegeya alitumia sumu kumuua muimbaji aitwaye Matata I think kwa wivu wa mapenzi. Theories ni nyingi na hatutajua ukweli wa mambo kirahisi. Lakini si vema kumshutumu mtu kwa mauaji pasipo ushahidi. Natumai utakuwa umepata mwanga kidogo.
 
Te he he majibu rahisi rahisi kwa watu wenye fikra nyepesi kama wewe. Sihitaji msaada, mimi ndio nimewashika pabaya, single handedly taking you out; one by one I started to subtract ha ha ha. I've been putting it down. Kinda like the 110th IR in Bastogne or more recent and closer to home; the rapid RPF advance to liberate Rwanda or the ouster of Iddi Amin by the TPDF kwi kwi kwi, upo hapo kaka.

au TPDF walivyowafanya M23, kwi kwi kwi back to you!🙂
 
Ndugu Mzalendohalisi,

Hakuna ushahidi wa uhusika wa Rais Kagame au serikali ya Rwanda katika mauaji ya Karegeya Afrika ya Kusini. Tatizo ni kuwa yeye Karegeya na Nyamwasa walishatamka wazi kuwa wao ni maadui wanaotaka kumpindua Rais halali aliyechagulia kwa boksi la kura na zaidi ya asilimia tisini (90) ya watu wake. Unajua kuna mwanahabari mmoja anaitwa Mwenda Uganda aliongea vizuri sana kwa kusema Karegeya alikuwa ana uhusiano na wake za watu. Inawezekana kabisa aliuawa na watu wasiokuwa na uhusiano na serikali lakini wakijua kuwa Rwanda ndiyo ingebebeshwa zigo la lawama. Inasemekana Karegeya alitumia sumu kumuua muimbaji aitwaye Matata I think kwa wivu wa mapenzi. Theories ni nyingi na hatutajua ukweli wa mambo kirahisi. Lakini si vema kumshutumu mtu kwa mauaji pasipo ushahidi. Natumai utakuwa umepata mwanga kidogo.
Andrew Mwenda (The Independent: You get the truth We Pay the Price) ni mpiga rangi wa PaKa; so don't try to refer him as reliable journalist!....kuna ushahidi wa wazi kabisa kuwa ni serikali ya kigali inayotekeleza mauaji ya wahasimu wake huko South Africa. Ni kwanini "afisa ubalozi" wa rwanda nchini South Africa alikutwa na ipad (kama sikosei) ya Kayumba Rwamasa (kama sijakosea jina)? Hao maafisa ubalozi wa rwanda ndio waliovamia nyumbani kwa huyo jamaa bahati nzuri hawakumkuta ndio wakaiba hivyo walivyoiba na kukutwa na baadhi ya vitu. Sasa how comes you say hakuna ushahidi wa moja kwa moja? Na statement ya PaKa alipouliwa Karegeya uliisikia? Go and lie to your fellow uninformed tutsis but not the Tanzanians...
 
Huyo Mwenda ni mshauri wa kagame katika masuala ya media, na vile vile ni sehemu ya mtandao wa ujasusi unaoendesha shughuli za kuteka mahasimu wa Rwanda nchini Uganda. It was actually karegeya himself that recruited him and introduced him to kagame. "Waandishi" dizaini hii hata hapa bongo wapo.

Cheki anavyolipwa na akaunti ya usalama wa taifa ya Rwanda na fedha kwenda kwenye akaunti yake binafsi uingereza.

Kabla hujaanza blah blah zako haya ni mambo muhimu kukumbuka:

1. the independent linatoka moja kila baada ya miezi miwili! Haiingii kichwani why Rwanda would pay $200,000 for "adverts".
2. Tenda iliyochagua gazeti la independent kutangaza matangazo ya Rwanda iko wapi? jibu: hakuna. there is no way the independent ilishinda tenda ya kutangaza matangazo haya ikayapiku magazeti yaliyobobea.
3. Hivi ni wapi umeona serikali ya nchi moja inalipa gazeti litangaze matangazo yake ya serikali kwenye gazeti la nchi nyingine? matangazo ya serikali ni tenda, nafasi za kazi, taarifa muhimu kwa taifa etc, au Uganda ni sehemu ya Rwanda?
4. Akaunti iliyotumika ni akaunti ya usalama wa taifa kwa hivyo haikaguliwi na mkaguzi mkuu wa serikali Rwanda, this is odd, its the same account used to pay for weapons and stuff like that....

mwenda.png

source: Andrew Mwenda is on Kagame's payroll and unethical journalist | Ugandans-At-Heart

cc: MzalendoHalisi JustDoItNow
 
Andrew Mwenda (The Independent: You get the truth We Pay the Price) ni mpiga rangi wa PaKa; so don't try to refer him as reliable journalist!....kuna ushahidi wa wazi kabisa kuwa ni serikali ya kigali inayotekeleza mauaji ya wahasimu wake huko South Africa. Ni kwanini "afisa ubalozi" wa rwanda nchini South Africa alikutwa na ipad (kama sikosei) ya Kayumba Rwamasa (kama sijakosea jina)? Hao maafisa ubalozi wa rwanda ndio waliovamia nyumbani kwa huyo jamaa bahati nzuri hawakumkuta ndio wakaiba hivyo walivyoiba na kukutwa na baadhi ya vitu. Sasa how comes you say hakuna ushahidi wa moja kwa moja? Na statement ya PaKa alipouliwa Karegeya uliisikia? Go and lie to your fellow uninformed tutsis but not the Tanzanians...

Mkuu punguza munkari, haya mambo hayataki msuli. Ni hivi, hakuna ushahidi wa kumhusisha Kagame na majaribio ya kuwaua wakina Nyamwasa (sio Rwamasa). Alichosema Kagame ni sawa tu kwa kuwa hao akina Kayumba ni self-confessed traitors. Alichomaanisha Kagame ni kuwa dhamira yake haiudhunishwi na kifo cha mtu aliyetaka kumuua yeye kama kiongozi halali wa nchi. C'est la vie! Adhabu ya uhaini ni kifo. Ujue Kagame sio mnafiki. Rather he is a battle hardened general who says what he thinks. Hamumunyi au kurembesha maneno. Hizo porojo za maofisa wa ubalozi kuhusika ni utoto. Mbona katika wale watuhumiwa wa kumuua Kayumba kuna wa-Tanzania 3. Je, ina maana Tanzania tulihusika kutaka kumuua Kayumba?
 
Huyo Mwenda ni mshauri wa kagame katika masuala ya media, na vile vile ni sehemu ya mtandao wa ujasusi unaoendesha shughuli za kuteka mahasimu wa Rwanda nchini Uganda. It was actually karegeya himself that recruited him and introduced him to kagame. "Waandishi" dizaini hii hata hapa bongo wapo.

Cheki anavyolipwa kupitia akaunti ya usalama wa taifa, na fedha kwenda kwenye akaunti yake binafsi uingereza.

mwenda.png

source: Andrew Mwenda is on Kagame's payroll and unethical journalist | Ugandans-At-Heart

cc: MzalendoHalisi JustDoItNow

Kwi kwi kwi I knew you'd bring this up. Asante kwa kuleta "ushahidi" kutoka "Ugandans At Heart". I hope you know who these people are. The directive clearly shows that the man is being paid for services rendered. What's the big deal? Nchi yenye utawala wa haki inafanya mambo yake katika misingi ya ki-maadili. Nikuulize, ile tenda ya kununua mashangingi ya serikali 700 ilitangazwa lini? te he he
 
Kagame may be good in transforming Rwanda society socially and economically but killings of opponents in Rwanda and South Africa has tainted his good image especially in neighboring countries!

Theory ya kutembea na wake za watu ni ngumu watu kikubali kirahisi! Kwa hiyo wote walikamatwa Rwanda na kuuwawa nao walitembea na wake za watu??
 
It is unfortunate that these killings are pegged to Kagame even in the absence of any concrete evidence. Kuhusu watu kuuawa ndani ya Rwanda, kwa kweli sio wote walihusishwa na kutembea na wake za watu. Kinachotokea ni ile dhana kuwa "my enemy is your enemy". Yaani inawezekana watu wana maadui wao wanaotumia mwanya wa chuki dhidi ya Kagame kufanya mauaji wakijua dhahiri ya kuwa atasingiziwa Kagame. Umesahau Habyarimana alivyo-stage mashambulizi ya uongo kuzunguka Kigali mwaka 1990 I think just to rally people against the tutsi. Watu kwa maelfu yao (watutsi na wahutu wastaarabu) walikamatwa na kuua. What is sad is that people's lives are lost at the end of the day. I am not condoning the loss of human life but I understand.
 
Mkuu punguza munkari, haya mambo hayataki msuli. Ni hivi, hakuna ushahidi wa kumhusisha Kagame na majaribio ya kuwaua wakina Nyamwasa (sio Rwamasa). Alichosema Kagame ni sawa tu kwa kuwa hao akina Kayumba ni self-confessed traitors. Alichomaanisha Kagame ni kuwa dhamira yake haiudhunishwi na kifo cha mtu aliyetaka kumuua yeye kama kiongozi halali wa nchi. C'est la vie! Adhabu ya uhaini ni kifo. Ujue Kagame sio mnafiki. Rather he is a battle hardened general who says what he thinks. Hamumunyi au kurembesha maneno. Hizo porojo za maofisa wa ubalozi kuhusika ni utoto. Mbona katika wale watuhumiwa wa kumuua Kayumba kuna wa-Tanzania 3. Je, ina maana Tanzania tulihusika kutaka kumuua Kayumba?
Arguing with you is idiocy!...hao watanzania watatu watakuwa wa aina yako....wale wakujipachika utanzania. Ama ni watutsi wenzenu wanaojiita waha na wahangaza!
 
Back
Top Bottom