huruma kweli kweli! kwa hiyo huyo celeb Mel-B naye ni interahamwe au mhutu? kwa nini awasingizie kuwa wanakaa New york?
1. Assuming kuwa Mel-B wa spice girls naye ni interahamwe/mhutu/FDLR, because i quoted her saying: " "I know his son and daughter becausethey live in New York and they're adorable people. They invited us out there.", Hebu ona hii hapa chini ni akaunti ya ange kagame HERSELF! Sasa hebu angalia location...AIBU EE?
"Ange Kagame at Ange Kagame Schenectady, New York (Albany, New York Area)"
source: http://www.linkedin.com/in/angekagamex
Nasubiria kwa hamu nisikie utasema nini...
2. Hebu nipe nchi moja tu ambayo ilikuwa inapinga serikali ya Habyarimana, au tamko lolote toka nchi yoyote ile kuiponda serikali ya Habyarimana etc, ili tuthibitishe kuwa ufaransa ndio ilikuwa nchi pekee iliyo-msupport Habyarimana. Ukishindwa basi kubali tu kuwa Habyarimana had no problem with ANY COUNTRY. sio kama kagame ambaye sasa ana matatizo na SA, Tanzania, France, DRC etc.
Who cares what Mel B has to say? I repeat what is so strange about Pres Kagame owning a house in America. Mbona watu wengi tu wa modest means wana nyumba America. Ulitaka Ange akiwa America aje kuishi nyumbani kwako? I dont understand your obsession with these kids. For your information I follow Ange on twitter and I know more about her than you think. Both she and her brother are youngsters who just happen to have a President for a father, big deal. Ulitaka waishi maisha gani?
Nitajie nchi moja tu ya magharibi iliyoipinga NP South Africa? Unachoongea hakina mantiki. Eti kama hakuna sanctions and break in ties basi its not a pariah state. Wewe mpaka wazungu waweke vikwazo ndio unachukulia kama litmus test, aibu.