kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,834
- 913
wamelazimika kufungua baada ya bidhaa kupanda ghafla km vile mafuta (fuel) na vyakula,nimewasiliana na m2 ambaye yuko rwanda akasema endapo ingeendelea siku mbili mafuta ya magari yangepanada mara mbili na pengine pangetokea upungufu mkubwa sana wa bidhaa mbalimbali ha kigali