Simba Mangu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 350
- 71
Kasema ofisa mmoja katika Wizara ya Fedha ya Rwanda ndiye aliyezomoka na kutangaza mabadiliko hayo kwa mdomo. Waziri wa Fedha Rwanda alipoulizwa na mwenzake wa Tanzania, alishituka, na akaahidi kulipatia ufumbuzi. Tzeba kasema ndani ya dakika 30 jibu likawa limepatikana kuwa agizo la ofisa wa Rwanda halikuwa halali.
Muhimu: Nadhani Rwanda wanajua bila Tanzania hawana maisha. Huo ndiyo ukweli. Rais Kagame asituvuruge uhusiano wa nchi hizi mbili.
Manyerere wewe ndio unavuruga watu kwa hadithi zako alfu ulela ulela msimsingizie kagame toeni boriti kwenye jicho lenu ndipo mtaona kibanzi cha kagame