Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
'waha' wenyewe Red tabara inawatoa jasho kila Mara mabomu ya hapa na pale hayaishi Mara yanarushwa mtaani,kwny airport,kwny vituo vya mabus [emoji16][emoji16] wako dhoofu bin Khali.
Bongo ndio inawakingia kifua serikali ya 'waha' Ila ikiacha kuwapa support,Red tabara wanachukua nchi asubuhi tu.Red tabara wakiwa serious wakafanya uvamizi mmoja wa nguvu saana na kwa kushtukiza wanachukua nchi
'waha' wenyewe Red tabara inawatoa jasho kila Mara mabomu ya hapa na pale hayaishi Mara yanarushwa mtaani,kwny airport,kwny vituo vya mabus ππ wako dhoofu bin Khali.
ππ Jiongeze mkuu,Ni kwa kina Pierre ndio tunapaongelea.Mimi Ni muha mad Na siijui hata red Tabata Ni Nini Na tangu nizaliwe kigoma Sijawahi kusikia BOM airport au mtaani Na ninaishi Ujiji ilipo airport
Red Tabara wahuni wa UrundiMimi Ni muha mad Na siijui hata red Tabata Ni Nini Na tangu nizaliwe kigoma Sijawahi kusikia BOM airport au mtaani Na ninaishi Ujiji ilipo airport
Mkuu, unamaanisha nini unapo sema "zana za anga za kivita" unamaanisha idadi ya Jet fighters na bombers au umahili wa integrated air defense systems za nchi husika.Zana za anga za kivita, ni nani anavyo vingi?
Mnasema vitu gani lakini?? Teknolojia hipi unayo zungumzia - mada hapa in kuhusu vita - sasa unataka kusema Rwanda hivi sasa wana uwezo mkubwa kiteknolojia wa kuunda silaha za kisasa au?Rwanda inawez kuw mbele zaidi Kiteknolojia zaid ya uganda na Tz kwahyo tunaweza kuipa win
Yan Uganda apigwe na Rwanda? Mbona mnajua kuchekesha Sana...Hivi Rwanda ana nini mnachokijua ambacho mi sikioni?Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Uganda alienda kupigana vita Somalia akawafurusha Al shabab ndo asumbuliwe na Rwanda?Vietnam Vs US siyo kipimo sahihi kwani hawakuwa wanapigana ana kwa ana, bali US ilikuwa inasafiri umbali mrefu sana kwende kupigana. Ni tofauti na kupigana kutoka Kigali kwenda kampala.
Ninavyojua, kagame amewekza sana kwenye jeshi nadhani kuliko Mseveni, kwa hiyo inawezekana Jeshi la Rwanda ni kubwa sana na lina vifaa sana kuliko Uganda. Rwanda imeneemekea sana na madini ya coltan kutoka Congo, na imekuwa inatumia karibu 40% ya faida hiyo kijeshi, na ile nyingine ndiyo inayojenga miundo mbinu.
rwanda nayo imeshapeleka majeshi yake Afrika ya Kati na Msumbiji ambako walirudi na ushindi. Kupiganana na vikundi vya uasi siyo sawa na kupigana na jeshi la nchi.Uganda alienda kupigana vita Somalia akawafurusha Al shabab ndo asumbuliwe na Rwanda?
Hakuna ushindi umepatikana msumbiji mpaka sasaiv na hakuna jeshi limerudi nyumbani...acha fix masterrwanda nayo imeshapeleka majeshi yake Afrika ya Kati na Msumbiji ambako walirudi na ushindi. Kupiganana na vikundi vya uasi siyo sawa na kupigana na jeshi la nchi.
Kwa hio siku hizi Somalia hakuna al-shabab sio?ππUganda alienda kupigana vita Somalia akawafurusha Al shabab ndo asumbuliwe na Rwanda?
Ni kweli hawajamaliza mapigano msumbiji ingawa wameshinda sana, sasa vipi kuhusu Afrika ya kati!Hakuna ushindi umepatikana msumbiji mpaka sasaiv na hakuna jeshi limerudi nyumbani...acha fix master
ππππ HiiiiiiiiiiiiiiiiiMnasema vitu gani lakini?? Teknolojia hipi unayo zungumzia - mada hapa in kuhusu vita - sasa unataka kusema Rwanda hivi sasa wana uwezo mkubwa kiteknolojia wa kuunda silaha za kisasa au?
Sijui kwa nini baadhi ya Watanzania wana tendency ya ku-inflate military capability za jeshi LA Rwanda - unafikiri M7 akisema enough is enough Rwanda patakalika - someni historia ya kweli kuhusu Kaguta - msimuone zungumza yake kwa vituo, ustaarabu na uvumilivu mkamchukulia poa, akihamuwa kufanya kweli hashindwi kitu yule - kumbukeni kwamba ma kamanda na wanajeshi wengi wa jeshi la Kagame wamepitia mikononi mwa M7 - sisemi kwamba M7 atake kumu-control Paul jinsi anavyo run Rwanda, lakini M7 deserves some respect from Kagame their differences notwithstanding akumbuke M7 kamtoa mbali sana.
Unazungumzia hii TPDF ambayo makamanda wengi Ni makada wa CCM wasio na weredi wowote? Poleni sana.Kwanza Kenya ktk majeshi yako very indiscipline kwa East Africa nadhani la kwanza Ni Jeshi la Burundi then linafuata La Kenya,hata wapewe vifaa gani pale Ni bure kabisa.
TPDF Ina mizizi mirefu tena Sana tu.
Asante Sana.Unazungumzia hii TPDF ambayo makamanda wengi Ni makada wa CCM wasio na weredi wowote? Poleni sana.
Mkuu maada zako kweli za kufikirika au ni ndoto za mchana baada kushiba ugali mkubwa na supu ya mkiaVikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Rwanda kwa Uganda ni Sisimizi ama vibwengo kama vibwengo wengine. Mbuu banyarwanda ba bwerere.Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Uingereza na ufaransa walikua nyuma ya Israel,nchi waliyoiunda kupitia pivot-sykes agreementisrael vs Arabs kwenye 6 days war nani alishinda? Baada ya hapo naleta majibu