Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

Hao majirani walishaamua kutugawa tu tangia Kikwete atoe tamko la kukomesha mauaji yanayofanywa na M23 wakiongozwa na Rwanda na Uganda. Hayo mambo mengine wanashingizia tu, hata tungeliwaruhusu wapitishe hayo mafuta bure basi wasingepitisha!! Wameamua kututenga wakijua kwamba tutayumba kiuchumi, hilo wala lisitutishe jambo la kwanza ni kujitoa katika jumuiya yao ya kipuuzi (EAC), kuhimizana uzalendo na kuanza kupigania upya maendeleo ya uchumi wetu! Vyanzo vya mapato ni vingi mno, tunatakiwa kuwa wazalendo wa kweli kweli sasa kupigania nchi yetu na kuikomboa kutokana na hawa wakoloni waafrica! Kama wao wanatembeleana kwa kutumia ID sisi tutaanzisha mfumo wa VISA ambao kila atakaeingia nchini mwetu kutokea hayo mataifa matatu (RUK) alipie VISA!
 
Binafsi napitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa kupitia boder ya Holili na hili si kwangu bali kwa wafanyabiashara wengi wa kanda ya kaskazini Arusha,Kilimanjaro,Manyara...Wakati tunalilia Rwanda na Uganda kupitisha mizigo yao bandari ya Mombasa hatujiulizi ni kwanini watanzania wengi wanapitisha mizigo bandari ya Mombasa ?.

Pia wapo baadhi wa Watanzania kutokana na ukiritimba kwenye bandari ya Dar wameamua kutumia bandari ya Mombasa kupitishia bidhaa zao na kisha kusafirisha kwa njia ya barabara kuja Tanzania.

Hata DRC wanaweza kuacha kutumia bandari ya Dar, maana baadhi ya wafanyabiasha wa huko wanalalamika kwa chini chini.
 
Hakuna noma bwana tutatumia ku-export uranium na gas.. na mbao, na kuipmort commodities from china to tz only...
 
Bado tutaluwa tuko na Malawi Zambia na DRC plus Burundi.
Ila cha msingi ni kuyafanyia kazi mapungufu ya bandari plus na hii tabia hovyo ya Traffic kuomba hela bila haya.
Mtu mzima unakuta anakusimamisha eti ooonaomba ela ya SUPU mimi baba yako -------!
Inakera DSM TO Zambia mtu anatumia mpaka 30000 kugawa njiani.
Watz tunaonekana hovyo bse of that.
 
let them Go nothing to worry! kuendelea kulialia na RWANDA&UGANDA kutumia bandari yetu au lah kwetu ni changamoto lakini pia tujue kua ni muda mrefu hawakupenda kufanya hivyo ila kwa sasa ndo wamejidhiirisha roho zao zikoje! Tumshukuru Mungu kwakua na bahari cha msingi apa ndo iwe chachu ya kusimamia na kuanzisha vyanzo vya mapato vingine..leo tunalaumiana lakini tujiulize je nchi ambazo hazina BAHARI chumi zao zinaendeshwaje? Tuwekeje kwenye GAS na italipa tu acha watuondolee Jams na usumbufu

Usumbufu gani tunaopata?

Yaani kupoteza wateja ni usumbufu?

Hapa tumeangukia pua kutokana na urasimu na rushwa nchi inanuka rushwa bandarini rushwa hadi mlinzi wa getini anataka chake.
 
Binafsi napitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa kupitia boder ya Holili na hili si kwangu bali kwa wafanyabiashara wengi wa kanda ya kaskazini Arusha,Kilimanjaro,Manyara...Wakati tunalilia Rwanda na Uganda kupitisha mizigo yao bandari ya Mombasa hatujiulizi ni kwanini watanzania wengi wanapitisha mizigo bandari ya Mombasa ?.

DRC they can kwa sababu wataondokea Holili-arusha-babati-Kateshi-Singida na kendelea mbele ya safari. Barabara ya Arusha -Singida ilishaisha... so DRC are still benefiting..
 
kwli ni land-locked if u really are learned huwezi argue hivo economically imekula kwetu...na ndo maana umeona bwana PK anatafuta mbadala kabla hakijanuka zaidi...politics is killing us

"If you really are learned" ndio nini sasa?
 
Nimesikia baadhi ya vyombo vya habari vikisema eti ni hujuma! Come on! Tumerogwa?!

Mimi napiga kelele hivi..."ni kweli hii ni hujuma, tena hujuma ya kificho...ambayo nikiiweka wazi hapa nitaambiwa mchochezi...mi sichochei napiga kelele tu....wale wameishang'amua kuwa 2015 hawana chao...hivyo wanataka serikali itakayoundwa baada ya 2015...ikose vyanzo vya mapato...wananchi waone maisha ni magumu...waseme afadhali ya serikali iliyopita hii imeharibu kila kitu...na wao wahujumu waanze kusema..tuliwaambia hamkusikia kuwa hawa ni porojo tu hawana uwezo wa kuongoza...na hapo watawashawishi wasababishe 'unrest'...ili serikali upinduliwe."

Tumaini hii ni hujuma, ...wewe hujiulizi kwa nini jamaa hawa hawataki kutafuta suluhu kwa njia ya majadilianao na wenzao?

Wanatafuta suluhu kwa vitisho...mtanitambua mkinigusa...hiyo ndiyo lugha ya suluhu ya majadilianao..? la hasha.

Kuna waandishi wa habari wanapewa kazi hiyo...kuhakikisha kinapatikana chanzo cha kuhakikisha serikali ijayo baada ya 2015 haikuti chochote hazina, na mfumo mzima wakuiingiza mapato serikali unaharibiwa...kwa kelele zangu nasema..kujitoa kwa Uganda na Rwanda yawezekana ikawa ni mwanzo wa mkakati huo.

Usishangae kusikia waandishi...na waratibu wa hujuma hii wakisema...Tanzania tuna rasilimali nyingi...kujitoa Uganda na Rwanda haiwezi kutuathiri kiuchumi....
Watarajiwa wa serikali ijayo..liangalieni hili kwa makini na mfikirie mbinu ya kukabiliana na hili kabla.
kelele zangu hizo.
 
Wakafie mbele huko, bandari ya Chenge na maendeleo ya mtanzania wapi na wapi
 
Hii kitu lazima itakula kwetu.

Ni lazima tujiulize kwanini baadhi ya Watanzania bado wanatumia bandari ya Mombasa ikiwemo mimi mwenyewe wakati ya kwetu ipo?? Sijawahi kusikia wala kuona Wakenya wakitumia bandari yetu.
Jibu: Hii ni kwa sababu ya huduma mbovu zilizopo bandari ya Dar-es-salaam kama, ucheleweshaji wa kutoa mizigo, wizi, rushwa iliyo kithiri, ukiritimba, uzembe, ufisadi,longolongo na mengine mengi. I think we are not serious! This is a lesson to learn.. something needs to be done, else we are done.
 
Regardless, Life will continue !! And we will find a way. We all know the way. CDMA/CUF/CCM ??
 
Hao majirani walishaamua kutugawa tu tangia Kikwete atoe tamko la kukomesha mauaji yanayofanywa na M23 wakiongozwa na Rwanda na Uganda. Hayo mambo mengine wanashingizia tu, hata tungeliwaruhusu wapitishe hayo mafuta bure basi wasingepitisha!! Wameamua kututenga wakijua kwamba tutayumba kiuchumi, hilo wala lisitutishe jambo la kwanza ni kujitoa katika jumuiya yao ya kipuuzi (EAC), kuhimizana uzalendo na kuanza kupigania upya maendeleo ya uchumi wetu! Vyanzo vya mapato ni vingi mno, tunatakiwa kuwa wazalendo wa kweli kweli sasa kupigania nchi yetu na kuikomboa kutokana na hawa wakoloni waafrica! Kama wao wanatembeleana kwa kutumia ID sisi tutaanzisha mfumo wa VISA ambao kila atakaeingia nchini mwetu kutokea hayo mataifa matatu (RUK) alipie VISA!

Ndugu nafikiri kuna visababu ninavyovifikiria kama ifuatavyo: hii yote ni sis TZ kukataa kingiza ardhi kwenye EAC kwani angalia nchi hizi hawana ardhi tena macho yamebakia Bongo. Angalia classic example, utalii wa Kenya unakwenda chini baada ya TZ na other social media sources zinavyoitangaza vivutio vya utalii. Pia Obama, Bush na Clinton kuja TZ yaweza kuwa sababu kwani in future tutakaribisha investment capital itakayotishia uchumi wa hizi nchi.. Pia si maajabu pia kuhusu gas tuiliyonayo na Uranium ndivyo walivyoona wakijua wabong are soon if not now taking off!!!Nawasilisha mie..
 
Binafsi napitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa kupitia boder ya Holili na hili si kwangu bali kwa wafanyabiashara wengi wa kanda ya kaskazini Arusha,Kilimanjaro,Manyara...Wakati tunalilia Rwanda na Uganda kupitisha mizigo yao bandari ya Mombasa hatujiulizi ni kwanini watanzania wengi wanapitisha mizigo bandari ya Mombasa ?.

Pamoja na hayo huyu anakuambia kuwa

Bado tutakuwa tuko na Malawi Zambia na DRC plus Burundi.

Sijui na hao wakiondoka tutakuwa na akina nani kama hata Watanzania wanatumia bandari ya Mombasa?
 
We can go bila kutegemea mizigo ya waganda ama wa rwanda, ali mradi banadri yetu iko pale na itaendelea kuwepo hata wakijitoa. madhumuni ya bandari yetu hasa ni kwa kwa ajili ya watanzania wenyewe, hatuwezi kubembeleza watu kama hawataki kufuata utaratibu wetu, hayo ndo mambo yaliyotokea katika madini. Kenya mara zote ndivyo walivyo sio watu wazuri kabisa mnakumbuka pia watalii wengi wanaokuja tanzania wanapitia kenya, cctv africa ya china iko nairobi lkn ukiitazama habari nyingi wanatangaza ni za kenya kwao tu. wataenda watarudi wenyewe.kwani hela ya rwanda na uganda ni sh ngapi mpaka tuwe na wasiwasi nayo?

Na pia muelewe kuwa M7 na Kibaki walikuwa hawakai meza moja. Kibaki alikuwa hapendi miungu ya M7 kwa hiyo m7 na Kenyata na huyo kagame wote machokoraa, Wameona kuliko wapitihie wizi wao kutoka kongo na kuingiza silaha tutamwambia USA au we may confiscate them. remember rwanda na UG wanannunua silaha za ajabu sana na kama wanananunua ni za kumpiga nani kama siyo pengine sisi na Kongo???? na tayari Chokoraa mwenzao (UHURU) kaingia ili wapige dili?
 
hakuna tatizo, nchi inaongozwa kwa kodi za sigara na bia..na sasa hv laini za simu kila mwezi
 
Mkuu wangu bandari ya Tanga ingeweza kusave kanda ya kaskazini lakini hilo halifanyiwi kazi.

Pamoja na hayo huyu anakuambia kuwa

Sijui na hao wakiondoka tutakuwa na akina nani kama hata Watanzania wanatumia bandari ya Mombasa?
 
Ni lazima tujiulize kwanini baadhi ya Watanzania bado wanatumia bandari ya Mombasa ikiwemo mimi mwenyewe wakati ya kwetu ipo?? Sijawahi kusikia wala kuona Wakenya wakitumia bandari yetu.
Jibu: Hii ni kwa sababu ya huduma mbovu zilizopo bandari ya Dar-es-salaam kama, ucheleweshaji wa kutoa mizigo, wizi, rushwa iliyo kithiri, ukiritimba, uzembe, ufisadi,longolongo na mengine mengi. I think we are not serious! This is a lesson to learn.. something needs to be done, else we are done.

Mkuu mara ya kwanza niliposikia kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanatumia bandari ya Mombasa haikuniingia akilini mpaka nilipokutana na rafiki yangu anaenda Holili mpakani kuchukua matrekta yake aliyoagiza kutoka nje kupitia Mombasa.

Wapo pia baadhi ya Watanzania hasa wa kanda ya Kaskazini wanaodai kuwa kusafiri kwa ndege via Nairobi ni more convenient and cheaper kuliko Dar au hata KIA.

Kama ni kweli basi kama bado Kenya wana ule mpango wao wa kujenga Uwanja wa Kimataifa wa Ndege jirani na KIA kunaweza kusababisha KIA ifungwe kwa kukosa wateja.
 
Mkuu EMT apo umeruka yote ukaacha apo nilipobold! Mwanafunzi selective wewe!
Bado tutaluwa tuko na Malawi Zambia na DRC plus Burundi.
Ila cha msingi ni kuyafanyia kazi mapungufu ya bandari plus na hii tabia hovyo ya Traffic kuomba hela bila haya.
Mtu mzima unakuta anakusimamisha eti ooonaomba ela ya SUPU mimi baba yako -------!
Inakera DSM TO Zambia mtu anatumia mpaka 30000 kugawa njiani.
Watz tunaonekana hovyo bse of that.
 
Pamoja na hayo huyu anakuambia kuwa

Sijui na hao wakiondoka tutakuwa na akina nani kama hata Watanzania wanatumia bandari ya Mombasa?

"Ila cha msingi ni kuyafanyia kazi mapungufu ya bandari plus na hii tabia hovyo ya Traffic kuomba hela bila haya."HAYA MANENO NAYO HUKUYAONA?KWA ENGLISH LETS WORK ON OUR SHORTCOMINGS"Labda nipige na Kiitaliano!
 
Back
Top Bottom