murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Yes; are you not stupid?
Hahahaha...your comment says a lot about you...."Not a great thinker" Dumbass.
Yes; are you not stupid?
hahahaha...your comment says a lot about you...."not a great thinker" dumbass.
kwa wale ambao wanaojua nini kinaendelea kati ya kagame na museveni hawezi kushangaa, ila atawapuuzia tu.
the 3ks wanayo road map yao ambayo ndani ya miezi nane impact itaonekana kwa kudorora kwa uchumi wa nchi.walimshadadia kenyatta wakati wa uchaguzi wakidhani wakuwa upande wao.
Ni hivi kenyata ni mjasilia mali anajua wapi pa kuwekeza at the right time, the guy knows sabotage strategies in business na ndicho yule dogo katufanyia leo tunalia na kagame, no ni yule dogo, mfaidikaji wa mgogoro huu ni kenya via mombasa port.mtalaumu kagame buuuuuuuuuuuuuuuuuureeeeeee!!! Think outside the box, just open the pandora box.kenya ni wafanya biashara wanajua mikakati ya kibiashara.
Wa-tz mmeingia kingi kwa mgogoro wa rwanda, no kenya behind the panorama
there you are; s-t-u-p-i-d
Ungejiita mimimama...hapo ningekuheshimu
US offers $5m bounty for FDLRs Mudacumura
The US government has offered US$5 million for information leading to the arrest, transfer and conviction of Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) supreme commander, Sylvestre Mudacumura.
US Ambassador-at-Large for Global Criminal Justice Stephen J. Rapp announced this on Thursday during a tele-press conference.
Mudacumura is wanted by the International Criminal Court (ICC) on charges of crimes against humanity and war crimes, including murder, rape, torture and attacking civilians.
He is the overall commander of the FDLR, a DRC-based militia group largely blamed for the 1994 Genocide against the Tutsi.
Mudacumuras name was added on the list of the most wanted fugitives, which also features several key architects of the Genocide, including Felicien Kabuga, Protais Mpiranya and Augustin Bizimana.
Ugandas warlord Joseph Kony, leader of the notorious Lords Resistance Army (LRA), is also on the list.
Any more questions?
Ndugu mi nashangaa watu wanavyozani sisi tumekubuhu kwa rushwa hizo serikali ziko corrupt tz ina nafuu kiasiIle ilikuwa fix ya M7 ili muingie kuminane za EAC za kuingiza ardhi kwenye jumuia.
Kifupi kenya kuna rushwa balaa hiyo ya bongo cha mtoto, nashangaa wachangiaji wanatoa data wapi? Kenya mhhh, Kenya huwezi chukua taxi pale airport kama huwajui, kenya huwezi tembea, Bora traffic wa bongo anakuomba rushwa, wa kenya anakutia ndani ukizubaa anakutwanga na risasi.
Acha kutafuta mchawi,improve bandari na ondoa kero zote wanazolalamikia hao wasafirishaji then utaona wote wanarudi kuitumia hiyo bandari,wafanyabiashara wanaangalia profit kwanza sio siasaNdugu mi nashangaa watu wanavyozani sisi tumekubuhu kwa rushwa hizo serikali ziko corrupt tz ina nafuu kiasi
Nimesikia baadhi ya vyombo vya habari vikisema eti ni hujuma! Come on! Tumerogwa?!
Kwani bandari ya tz inawafaidisha watanzania wangapi? Pia mizigo ya rwanda inayopitia tz ni ya bilioni ngapi? Bandari ya tz kitambo inaliwa na mafisadi. Kwa hyo kama walishndwa kuisimamia mpaka watu wakachoka watulie waangalie sekta zingine. Serikali itapata fundisho na itakua serious kusimamia masuala ya mapato. Watajiju mafisadi wanaofaidi bandarini.