Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

Kwa wale wanaotaka source wakacheki www.mwananchi.co.tz/habari/Rwanda....

Wanalalamika urasimu nausumbuvu katika kusafirisha bidhaa. Suala hapa uchumi wa taifa kwa ujumla.

Mkuu hao nyagau waacheni waende wao siyo only countries wanao pitisha mizigo yao hapa TZ. Labda kama watu hatujui tu.....DRC,ZAMBIA, MALAWI, Parts of Angola, Parts of Mozambique wote wanategeme TZ.
 
Hao wasafirishaji kwa nini hawaleti mchanganuo wa kitakwimu....

1. Inachukua siku ngapi kuondosha kontena bandarini (Dsm/Mombasa)
2. Gharama za uondoshaji huo zikoje?
3. Unatumia siku ngapi kusafirisha kontena kwenda Uganda ama Rwanda?
4. Kero za traffic police kwa Tanzania na Kenya zikoje?

Kubwa zaidi hao kina Hanspope watwambie tukiondoa mizani wanatuhakikishiaje kuwa hawatabeba mizigo zaidi ya uzito unaoruhusiwa???

Bila kufanya haya tutakuwa tunapiga siasa tu!!

Kikubwa serikali yetu iongeze ufanisi tu bandarini, barabara ziimarishwe, tufufue reli ya kati jambo ambalo kina Hanspope hawato-support....mwisho wa siku wafanya biashara wa Rwanda na Uganda wataangalia njia ipi inawapa faida!!!!

Hans Poppe aje na takwimu siyo maneno matupu. Yeye kama mwakilishi wa wafanyabiashara wa magari ya mizigo angekuja na kero zilizoainishwa kisayansi japo anawakilisha watu ambao wana maslahi pande zote. Siyo siri kuwa kuna wafanyabiashara wa Kitanzania ambao wamesajili magari yao Tanzania na Rwanda, Uganda au Burundi na pengine na yeye ni miongoni mwao. Watueleze watanufaika vipi wao na Tanzania kwa kupunguza idadi ya mizani na kero nyingi walizoainisha.
 
Maajabu eti Nchi yetu itayumba kwa àjili ya RWANDA na UGANDA (landlocked) acheni zijitoe hata EAC kwahiyo Ntuzu kutufananisha na wezi wa madini huko DRC ni utoto na ngoma hiyo haikeshi na za mwizi ni 40, hebu tuambie ni kwanini mpaka leo Wakimbizi wao hawajarudi kwao? na bado leo wanarudi tena Tanzania, Uganda tu Byesige na wengineo wapinzani wa Museveni ni kufungwa je Tanzania ipo ? Ipo siku mtakuwa na kujua adui akikuingilia chumbani ni kosa kumpa siri za Baba au Mume kuwa àna udhaifu gani kwanza ni kumfukuza adui

Ukwaju ningependa urejee maelezo Yangu vizuri na usizungumzie swala la uporaji wa Madini ndani ya DRC katika hii mada kwani Hilo swala ni pana sana na wengi wananufaika na huo uporaji! Ni miaka50 sasa ya uhuru, tumefanya nini Sisi Tamzania katika kutengeneza vyanzo vya uchumi? Tuna fulsa ya kufanya shughuli za kiuchumi na majirani zetu wote! Lakin je, Bandari zetu ziko Sawa kimfumo wote kwa ujumla? Balabala zetu, Reli zetu? Ukiangalia yote hiyo ndo utaona kua tuna mapungufu mengi sana! Hawa jirani zetu Wana haki ya kujitoa kwasababu tumekua wababaishaji mno! Ni bunge lililopita ndo nimesikia mipango ya kuimarisha Reli,Balabala, Upanuzi wa Bandari lakin hii mipango ni mizuri, swali ni kwamba ni lini itatekelezwa? Narudia tena Serikali Corrupt haiwezi kukusanya kodi, Serikali corrupt haiwezi kusimamia uchumi wake ipasavyo!
 
Last edited by a moderator:
Zambia wanakarabati reli yao kwenda Angola baada ya Savimbi kuivunja hivyo hata Tazara hawaitaki tena Kazi kwetu TZ
 
Labda ungesoma kwanza thread ya Rutunga hasa kuvamiwa na majuha na kuiharibu JF (Shime watanzania,Mods na wamiliki wa JF kujua mapema huu mchezo kwani mbali na kuwa na maslahi ya nchi yetu ni lazima kwanza tuyalinde hata kama viongozi wetu ni dhaifu.
Wakati wao wakifanya hivyo,sisi tuko kwenye majukwaa ya mapenzi na kushambuliana kwa hoja za CDM,CCM
https://www.jamiiforums.com/habari-...aitumia-watakavyo-kueneza-propaganda-zao.html
Ukwaju ningependa urejee maelezo Yangu vizuri na usizungumzie swala la uporaji wa Madini ndani ya DRC katika hii mada kwani Hilo swala ni pana sana na wengi wananufaika na huo uporaji! Ni miaka50 sasa ya uhuru, tumefanya nini Sisi Tamzania katika kutengeneza vyanzo vya uchumi? Tuna fulsa ya kufanya shughuli za kiuchumi na majirani zetu wote! Lakin je, Bandari zetu ziko Sawa kimfumo wote kwa ujumla? Balabala zetu, Reli zetu? Ukiangalia yote hiyo ndo utaona kua tuna mapungufu mengi sana! Hawa jirani zetu Wana haki ya kujitoa kwasababu tumekua wababaishaji mno! Ni bunge lililopita ndo nimesikia mipango ya kuimarisha Reli,Balabala, swali ni kwamba ni lini itatekelezwa?
Narudia tena Serikali Corrupt haiwezi kukusanya kodi, Serikali corrupt haiwezi kusimamia uchumi wake ipasavyo!
Jamani kujiunga JF na kupost hoja yoyote ni bure popote duniani.
Lakini kwa sasa wanyarwanda wamegundua kuwa njia ya kwanza na pekee ni kutumia JF kuendeleza propaganda zao dhidi ya Tanzania.Kinachofanyika ni kuanzisha mada za maslahi kwa Rwanda au kutafuta habari kwenye mitandao ya Rwanda na poopote duniani hasa zilizoandikiwa kwa maslahi nchi yao.
Shime watanzania,Mods na wamiliki wa JF kujua mapema huu mchezo kwani mbali na kuwa na uwanja mpana wa kujadili lolote lakini maslahi ya nchi yetu ni lazima kwanza tuyalinde hata kama viongozi wetu ni dhaifu.
Wakati wao wakifanya hivyo,sisi tuko kwenye majukwaa ya mapenzi na kushambuliana kwa hoja za CDM,CCM nk
Kuna member mmoja anaitwa R.B .Taarifa za kiujasusi zinaonesha kwa huyo bwana yuko tanzania dar lakini akifanya kazi kwa karibu sana na rwanda katika ofisi ya ikulu ya kagame kitengo cha habari .anafanya hivyo baada ya kugundua nguvu ya JF.Kuna kikosi kabisa cha kufanya hii kazi
Naingiza hapa post zake za hivi karibuni.Yeye anadil na mambo ya rwanda tu.
1.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/509508-rwanda-tanzania-edging-closer-to-war.html
2.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/509466-rwanda-uganda-zajitoa-bandari-ya-dar.html
Nitarudi na wengine
@Ntuzu sio lazima usaidie kuwataja lkn kwa vile wakati huo nilitumia simu ya mkononi sikukuelewa naomba samahani mTZ mwenzangu ila km ni kupingana wenyewe kwa wenyewe na adui apenye sitazisoma Mada zako na kuzielewa ipasavyo samahani
 
......................TUJIKUMBUSHE..................

Transport and Infrastructure Cabinet Secretary Michael Kamau, Kenya.
"If the Tanzanians were not people that they are; Mombasa port would have died a long time ago. Fortunately, with their Ujamaa thinking, they are not able to develop things very fast," said Mr Kamau.

Huyu jamaa japo sikupenda kauli aliyoitoa ila ni kichwa.
Mkuu naona ukweli ulikuchoma!.

Kwani tatizo ni lipi kwenye kauli yake hii?. Ukiangalia falsafa ya Ujamaa utaona alichokuwa anakisema ni kweli tupu na ndiyo kimetufikisha hapa tulipo.

Ujamaa na kujitegemea was a time bomb.
 
hapa ndipo patamu sana.maana JK na CCM yao walizidi kufisadi bandari na msumbiji wamepanua bandari yao ya BEIRA sasa JK na RITZ1 wao hiyo bandali ya Bagamoyo wapitishe SEMBE zao
 
Wacha wajitoe kwani sioni tunachonufaika nacho zaidi ya Mafisadi na Polisi wa barabarani tofauti na nchi ambazo nyingine zinategemea Bandari kwa uchumi wao,binafsi naona angalau nitanufaika kwa Foleni na Ajali za Malori kupungua barabarani!
 
Kinachotakiwa ni usimamizi mzuri wa ukusanyaji wa kodi nchini, na kuwa committed kulipa kodi. Nchi nyingi hazina bahari wala maziwa ila watu wake wanaishi vyema na wan maendeleo kuliko sisi. La muhimu ni kuboresha huduma zetu, kwa sababu anayefanya biashara cyo serikali bali ni watu wao amabao huduma ndo inawapelekea kuchagua bandari ipi watumie kusafirisha mizigo yao. Tuna bara bara nzuri amabazo zimeharibiwa na malori makubwa, tujenge na reli ili tuweke vyema nyanja zote za usafiri. Na mimi naamini tutaendelea kupata mapato mengi na hata zaidi kama tukijipanga vyema bila Rwanda na Uganda.
 
Hii ni Serikali corrupt tutegemee kuona mengi.
Khaa!! kwa hili mimi siwanyimi like yao. Kwa watz hili shirikisho ni la kisasa zaidi yaani halina manufaa ya maana. lakini kwa hawa tripple K wao lina manufaa sana kiuchumi. Ni sawa tu kama wewe ni mbunge halafu unaenda kupata kinywaji na walimu 3 unadhani nani atazungusha round hapo?? Watuache tu hao kina tripple K. Kwanza barabara zetu zitadumu na misongamano isiyo na maana yenye kulitia hasara taifa itapungua. Wakafie mbele huko :bored:
 
let them Go nothing to worry! kuendelea kulialia na RWANDA&UGANDA kutumia bandari yetu au lah kwetu ni changamoto lakini pia tujue kua ni muda mrefu hawakupenda kufanya hivyo ila kwa sasa ndo wamejidhiirisha roho zao zikoje! Tumshukuru Mungu kwakua na bahari cha msingi apa ndo iwe chachu ya kusimamia na kuanzisha vyanzo vya mapato vingine..leo tunalaumiana lakini tujiulize je nchi ambazo hazina BAHARI chumi zao zinaendeshwaje? Tuwekeje kwenye GAS na italipa tu acha watuondolee Jams na usumbufu

No man is an island. Na hiyo gesi ashapewa Mchina. Mtakuwa mnaisikia tu kama vile dhahabu zinavyochotwa na wazungu.
 
Raisi wa Kenya ni mfanyabiashara hivyo anaelewa namna ya kuvutia wateja ndio maana aliagiza bandari ya mombasa kuhakikisha mizigo iwe imetolewa ndani ya siku 5 tu au chini ya hapo na si zaidi na wahusika wa bandari ya mombasa wameitikia agizo kwa kutekeleza nini mkuu wa nchi yao amesema. Je, mkubwa TZ amewahi kuagiza nn na kikatekelezwa?:A S kiss:
 
kiherehere cha mr.dhaifu kitatugharimu.

Hasa wewe ndg. Yangu ndio umegundua tatizo. Kweli Tatizo ni mr. Dhaifu, bila shaka hao viongozi watatu waliokutana huko Uganda, wamekuwa wakimshangaa huyo mwenzao kwa tabia yake ya kiherehere, Kutaka sifa na jinsi anvoiongozi nchi hii hana uzalendo hata kdg, ni vile tu, Tz ilijengewa heshima na Mwl. Toka zamani, na hata hivyo heshima hiyo imeanza kutoweka, type hii ya akina dhaifu, ni VIBARAKA hawakawii kutumbukiza utumwani, huyu mr. Dhaifu ni sawa kbs na mr. Mongerai kule Zimbabwe, lkn kule kuna chuma cha PUA mr. Mugabe hafurukuti Mzandiki yule. Hapa kwetu Tz. tunajuta kumpoteza CHUMA CHA PUA wetu Mwlimu.... Dah itatugharimu kweli. Ee MUNGU sikia kilio chetu 2015 ingilia kati. Amen
 
Sasa kama mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ni Andrew Chenge unategemea watu wako serious kweli na serikali hii?
Yaani ktk watu wote mzee wa vijisent ndio amepewa uenyekiti?
Kazi tunayo
nakumbua kimakala kimoja cha Mzee Mwanakijiji mwaka 2010 wakati wa kampeini aliweka wazi kuwa tulishafanya makosa makubwa kuichagua ccm hapo kabla lakini ilikuwa ni makubwa zaidi kuipa tena miaka 5. Baadhi walidharau huo wito na wengine hawakuelewa either. Naamini gharama yake itakuwa kubwa hata zaidi ya haya na sana sana utawasikia watu wetu wakisema yale yale ya 'Inshallah tumejaliwa kila kitu na tutaendelea kujaaliwa'. Kwa hakika muombe Mungu hata akunyime vyote lakini akupe akili na hekima.

 
Efficiency hapo bandarini ni chini ya 20%. Watu wasijekuchanganya hili na siasa. Hata watanzania wengi tu wanapitishia bidhaa zao Mombasa
 
Kwa hili imekula kwetu! Hata tukijitia kuwa na roho ngumu!
 
Back
Top Bottom