Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
Aise Jmali umemkamata kama kuku mwenye kideli. Kweli njia ya mwongo ni fupi. Sijui PK anamlipa shilingi ngapi?
Koba aka murutongore aka Jasusi aka mukamasimba etc teh teh

I am my own man. Niko hapa kwa id moja tu. Kama nilivyosemaq, mnapoishiwa hoja mnaanza kuita watu majina.
 

It's illegal to have double ID and I don't need one nakushauri report to moderators,and they will know in minutes ni issue ndogo sana na wengi tuu wamekula ban for that... go ahead report it and stop this bogus accusations
 
Last edited by a moderator:

Kaka itabidi tuunganishe nguvu katika hili ili tusiache hata chembe chembe za majasusi uchwara wa Rwanda Nchini, yaani nina hamu nao kinoma noma...wengi wa wanawake wao ni malaya mno mavyuoni na mitaani...wanaume nao ni watu wa kujikomba mnoo
 

Mkuu nakuelewa sana. Nafurahi unaeleza kwa utulivu na staha, hapa inakuwa rahisi sana kukuelewa. Naamini unajua kabisa kuwa watanzania, hata rais wetu hana hila wala hiyana na Rwanda. Lakini we must appreciate the fact that there is something going on, regardless of who started it.

At least umeeleza bigger picture ya suala zima, na sio kuliangalia kidogo tu kwa jicho la mvutano kati ya JK na PK. Nasisitza mara kwa mara kwenye jukwaa hili, kuwa Rais sio Mungu, wetu sisi anaondoka mwaka kesho, lakini uhusiano na Rwanda au ujirani na Rwanda hautaondoka. Kwa hiyo yanaoendelea sasa sidhani kama ina anyway yatakuwa balaa.

AMINI hata kama JK ataamua kuwasaidia FDLR, hakuna kitu kinachoitwa genocide, or even close to that, ataruhusu. JK can be accused of anything lakini sio hofu mliyonayo wanyarwanda.

NI kweli kuwa kwa sasa JF inatumiwa na baadhi ya watu ku-chochea mambo, sababu ni kuwa ukianza kuangalia kwa undani kuna watu wanaojifanya representatives wa watutsi (who are not), ambao badala ya kueleza hali halisi, kueleza sababu ya kuwa na wasiwasi na hatari iliyopo ya kucheza na FDLR, wanachofanya ni kutoa matusi,dharau na kejeli, badala ya kuwa wavumilivu na kuwafahamisha watu polepole sababu za wasiwasi wa kinachoendelea kati ya JK na PK, na at least to get us into the mind of Rwandese government or PK, wao wanatukana. This is neither helping nor educating.

Lakini ninachoweza kukuhakikishia ni kuwa Tanzania na Rwanda hazitapigana vita. Lakini kuna uwezekano mkubwa kukatokea mabadiliko kwenye uhusiano kati ya nchi zetu.

Ningependa usi-comment kuhusu hili. Kauli ya PK na kauli za Bibi Louise Mushikwabo kutokana na pendekezo la JK kuongea na FDLR zimetufikisha hapa.

Angalia Marekani wanaongea na Taleban, Angalia Israel wanaongea na Palestina, Renamo na wanaweza kukaa na Frelimo, FARC na serikali ya Colomboa wanaongea, this will be the trend in the future.
 
Bado kidogo tu ningesema ninachokijua lakini sisemi..jinga hili
Watu wa usalama msilale. Lazina habari hizi zinatoka Tanzania kwenda Rwanda na katika kundi hili lazima wamo watanzania. Wengine ni washirika wa M-23 wakati mwingine hufanya kazi kwa niaba ya serikali ya Rwanda. Njaa kitu kibaya sana. ------------ mashamba Bagamoyo. Wengine wanadai ni wanahabari lakini ndo huwasiliana na serikali ya Rwanda kila siku. Fuatilieni nyendo zao, maana wanataka kutuletea balaa
 

Mimi ni Mtanganyika si Mhutu. NAPINGA PROPAGANDA ZENU CHAFU. Ongea ukweli hakuna wahutu wengi waliouawa? Wewe una uzoefu wa kuwanga uchi, mimi silijui hilo. Nendeni shule muelimike siyo muhudhulie tu, mkisema maneno mengi mnadhani ni hoja kumbe vioja.

CHUKI ZENU KWA NDUGU ZENU WAHUTU ZITAWATOA ROHO
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…