Tanzania imekuwa kimbilio la amani kwa mataifa mengi kama Rwanda, Burundi na Congo kwa miaka mingi. ukienda mkoa wa kagera hata kigoma, wakimbizi hadi wamekuwa raia, tumewalisha na kuwapa maeneo hadi ya kulima...lakini utashangaa mtu kama PAUL KAGAME, asiye na shukran, amesahau yote hayo. labda kwasababu tuliwapokea wakimbizi walio wengi wahutu?...mbona wakimbizi wa kitusi wengi tu tumekuwa tukiwapokea tangu miaka ya 1950? tumewapokea, nimezaliwa mimi nikiona wakimbizi wapo hapa tz na kuambiwa wametoka Rwanda na Burundi. tumepokea watusi na wahutu kwa miaka mingi, lakini angalia kagame anavyokuja kututukana sisi watz na rais wetu kana kwamba hatujawahi kuwapatia makazi kipindi wanakimbia kifo.....SHUKRAN YA PUNDA SIKU ZOTE NI MATEKE.
UMOJA WA WANYARWANDA WAKIMBIZI
Brazaville Dar es Salaam Cape townLondon
Tel. +242069728747 +255755047545 +27795382019 +447413549095
E-mail: <hutubanturace@gmail.com>
KWA MAANDALIZI YA KUREJEA KWENYE NCHI YETU
RWANDA, JIBU LA MAZUNGUMZO YA KISIASA
MATATIZO MAKUBWA YA WANYARWANDA NI YA KISIASA NA YANAGUSA KILA MUNYARWANDA. UFUMBUZI WAKE NI MAZUNGUMZO YA KISIASA KATI YA WANYARWANDA AMBAO WAKO KWENYE UONGOZI WA RWANDA LEO, WANANCHI, UPINZANI, NA UMOJA WA WANYARWANDA WAKIMBIZI.
KWA MAANDALIZI YA KUREJEA KWENYE NCHI YETU RWANDA: JIBU LA MAZUNGUMZO YA KISIASA.
MAZUNGUMZO KATI YA WANYARWANDA: NJIA PEKEE YA KUONDOKANA NA TATIZO LA KISIASA.
Mazungumzokatiyawanyarwandayanayoandaamazingirayamaelewanokatiyawanyarwanda, ndiyonjiapekeeyakuondokananamatatizoyoteya Rwanda. Viongoziwataifahilo, walitakiwakuzingatianafasihiimuhimunakufikiahatuayakubadilishamutazamowao.
Mdaumefikailiwanyarwandawotetuishipamojakwenyenchiyetu. Rwanda ninchiyetusisiwotenaitajengwatunaumojawawatwa, wahutunawatutsi. Hayomazungumzondiyodhamanayamatokeomazurikwenyemaswalayakisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, nk,katikataifaletu.Wakimbiziwotewakinyarwandawanaotakakurejeakwao, huundiomsimamowao,bilauogawalakubabaisha.
Tangumiaka 19,tukiwanjeyanchiyetu, uongoziwaKagameunajuavizurisanakwambatumeachananafamiliazetu, tumepotezamalizetu; kwambanyumbazetuzimebomolewa au zimechukuliwanawatuwenginenakwambanduguzetuwengiwanasutanakuteswakwenyemagerezabilakesiyoyotebadayakuwatuwamesingiziwa. Hatunaimanitenana Paul Kagame, ndiyomanatunatakiwakuzungumzia kwanza maswalayausalama, namengineyotekablahatujarejea Rwanda.
Paul Kagameanajuavizurisanakwamba, wengimiongonimwawanajeshi wake, au wanachamawa RPF, ambaowamemwagadamuzawanyarwandawengi, wakohurubilahofuyoyote, nahiyohaliinaonyeshajinsiganimahakamazauongoziwa Kigali siyozakuaminika.
MADAI YETU MAKUBWA YANAHUSU VITU VIFUATAVYO:
- Mazungumzokatiyawanyarwanda
- National Reconciliation
- Kutambulikakwavyamavyasiasavyaupinzaniikiwandani au njeya Rwanda bilayakuviingizakwenyekitukinaitwa forum
- Kuingizawakimbiziwotewatakaorejeakwaokwenyemaishayakawaida
- Kuachiliahuruwafungwawotewakisiasa
- Mahakamazisizopendeleakwawanyarwandawote
- Kuingizawanajeshiwazamanikwenyejeshi la taifa
- Kuhakikishausalamawawatunamalizao
- Kusomeshawatotowoteambaowazaziwaohawanauwezobilaubaguziwowote
- Uhuruwakujielezanakutoamaoni
- Kuandaamazingiramazuriyauchaguzihuruna transparent kwenyengazitofautitofauti.
NATIONAL RECONCILIATION.
Nationa Reconciliation nikituambachohadileokimeupigachengauongoziwa RPF. Tanguinashikamadarakamwakawa 1994, RPF inaendeleakuenezauongokwamataifakwambainaupakipaombeleumojawakitaifa, wakatimatendoyakeyakisiasanakijeshiyanapelekeakwenyechuki. Viongoziwa RPF hawaachikuonyeshajeurikwambachamahichokimeshindakwamtutuwabundukinakwamanahiyokinatakiwakutawalakimabavu. Ndiyomanawahutuwotewaliyouawana RPF wamesahaulika, wakatiwatutsiwaliyokufawanakumbukwawakatiwote. RPF itadaijekwambakuna reconciliation ikiwawaliyokufawotepandezotehawakumbukwiwote?
Tunasisitizakwamba national reconciliation katiyawanyarwanda, inatakiwakutokananaumojakatiyawanyarwandawote. Ili tufikekwenyeumojahuo, kunavitu 4 muhimuvyakujua:
- Hukumusawakwawatuwapandezotembiliambaowameingizakwenyemachafukotaifa la Rwanda. Aidhakwakuundatuumeyakitaifayakufuatilia, au kwakupanuwa mandate ya ITPR kwaviongoziwaserikaliya Kigali naya RPF waliyohusikakuuawahutundaniya Rwanda nakwenyenchiambazowamekimbilia;
- Hakiyakumbukumbukwawaliyokufawotenasiyotukwaupandemmoja;
- Uchunguziwa kina au utafitikwenyeukwelikuhususababuzamsingikwenyematatizoyanayogonganishawanyarwanda;
- Hudumakwawahangawotebilaubaguzi.
Tunafikiritenatunaaminikabisakwamba
tuumeyakitaifayaukweli, uhuruwamahakamana reconciliation, ambayopekeendiyoyenyeuwezowakurejeshaamanikwenyetaifa la Rwanda, inaitajikasana. Ndiyomanaumojawawanyarwandawakimbiziunaombaviongoziwa Rwanda kuchangamkiaharakatizakuundahiyotuume.
KUINGIZA ASKARI WA ZAMANI (EX FAR) KWENYE JESHI LA TAIFA
Ili matatizoya Rwanda yafikieukomo wake, tunatakiwakukubarianakwambakunasehemuyawanajeshiwazamani(ex FAR)ambaowanaishiukimbizinitakribanimiaka 19 imepita. Kwaajiliyausalamazaidiwataifa la Rwanda, wanajeshihaoambaoniwakimbizi, hawatakiwikubakimisituni. Wanaitajikurejeakwenyenchiyaokwanjiayamazungumzoitakayoandaamazingirayakuwaingizakwenyejeshijipya la taifa.Nikwanjiayamazungumzotukwenyeambayohawowanajeshiwakimbiziwanawezakurejea Rwanda bilakuwanawasiwasi.
MAANDALIZI YA UCHAGUZI HURU NA TRANSPARENT KWENYE NCHI YA RWANDA
Uchaguzihuruna transparent kwenyetaifa la Rwanda ukombalikwasababu Rwanda inatawaliwakimabavunachamakimojaambachondichokinaruhusiwakutoamgombeauraismmoja.
Kwenyenchiya Rwanda wakatiwauchaguzimkuu, wagombeauraiswavyamavyaupinzaniwanabugudhiwa, wanachukuliwakama negative forces, maranyinginewanakamatwanakutupwandaniiliwaregezwekisiasa, nahatimayekuwafanyawapotezesifazaozote. Mifanohainikama Madame INGABIRE Victoire, mwenyekitiwa FDU, mgombeakwenyeuchaguziwaraismwakawa 2010; Dr MUSHAYIDI Deogratias, mwenyekitiwa PDNnaMr Bernard NTAGANDA, mwenyekitimwanzilishiwa PS imberakuri
.Wanyarwandawanakiukubwayakujichaguliaraiswanayemutakabilakulazimishwa.
KUJENGA RWANDA MPYA NI KAZI YA WANYARWANDA WOTE
Kwamtazamohuo, Paul Kagamekamaraisnayeyenimmojawawanaotakiwakujenga Rwanda mpya.
Kuna takribanimiaka 19 wanyarwandawanazururakutokananamachafukoyaliyoikumba Rwanda yakayipelekeakutumbukiakwenyegizanenemwakawa 1994. Lakini, wakatiwotetukiwaukimbizini, serikaliya Kigali haijabadilishasiasazakezaubaguzinaukandamizajiwaupandemmojawawananchi. Hiyosiasainazuiasanawakimbiziwakinyarwandakurejea Rwanda kwahiyariyao.
Ukwerinikwambaserikaliya Kigali, hainampangowalauhiyariwakujengamazingirayamazungumzonakuwekapamojawanyarwandawote.
Kinyumechake, serikalihiyoinaendeleakuchocheamauaji, ambayoyamekuwandiyosirahayake. Ukosekanajiwasiasayakweliyakujengataifaletukwenyemaeneoyote (uchumi, utamaduni, mahusiano, uhuruwakuabudu
), wakimbiziwotewanamashakakwenyemanenoya Paul Kagamekuhusukurejeakwao.
Kutokakwenyegazeti la Le Figaro la tarehe 24 December 2010 Paul Kagamealijutiahadharanikuwahakuwezakuuawahutuwotewaliokimbilia DRC, naakaahidikwambaatakujakumalizananaobadaye, wakimbiziwanawezakuwanasababunzurizakujiulizamaswalikwenyehabarihiyoyakurejea.
HITIMISHO
Kwamfanowanchiambazozimepitakwenyemigogoromikubwakama Rwanda, umojawawanyarwandawakimbizi, unaaminikwambaniwakatimwafakawakuandaa mambo yajaobilakusahauyaliyopita. Lakinipia, umojahuohuo, unajuakabisakwambawapowanaumenawanawakeambaowanajuaumuhimuwakusameheyana, umuhimuwakujiunganakupendakuishipamoja. Ndiyomana, umojahuowawakimbiziungependakuhusishwakwenyekujenga Rwandampya, nchiyetu, kwakuunganishawanyarwandawotebilaubaguzi (watwa, wahutunawatutsi) nahatimayekujenganchiyenyeamaninademokrasia.
MSEMAJI WA UMOJA WA WANYARWANDA
DEOGRATIAS KAREGEYA-DENMARK
+4591703492
COMMUNAUTE DES EXILES RWANDAIS
Brazaville Dar es Salaam Cape town LondonTel.+242069728747 +255755047545 +27795382019 +447413549095
POUR UN RETOUR DIGNE DES EXILES A LA MERE PATRIE: LE RWANDA
UNE REPONSE A LOFFRE POLITIQUE DE RETOUR AU RWANDA