Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,501
- 9,280
Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.