Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,503
- 1,722
Umesomeka mkuuWapiga kura wa kweli hawajawahi kuw na smartphone mkuu
Umesomeka mkuuWapiga kura wa kweli hawajawahi kuw na smartphone mkuu
Upupu unaoandika humu unaonyesha kwamba mmiliki wa sifa ulizotaja ni wewekwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo
1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...
Upo sahihi kiongozi, dunia imebadilika na inakwenda kubadilika zaidi baada ya sakata la covid 19, makampuni mengi yanakwenda kupunguza kukodi majengo kwa ajiri ya ofisi. Teknolojia inachukua nafasiMkuu kuna sababu za msingi tu sio kwamba inashindikana. Kama unaweza kuona kwa jicho la tatu tazama issue ya Lipumba alivyoibaka Cuf kupitia ofisi ya chama tu. Ndio maana utaona hii huwa ni ajenda ya ccm zaidi kwani wanajua namna ya kuitumia kuwanufaisha.
Ofisi kwa dunia ya leo ni zaidi ya majengo mkuu hasa katika hatua hii waliyopo Cdm.
Acha kujitetea kiboyaHistoria za majengo hayo unazifahamu?
Sorry mia 4MMkuu milioni 4 ili kujenga nini?
Hati zina soma ya nani?Hayo majengo ni ya ccm?? Wewe umezaliwa lini.
Hilo sio la msingi saana.Hati zina soma ya nani?
Mbona inakuuma sana, isijefanya upoteze hata hamu ya kula na hata usingizi usipate.Hiyo picha uongo kwa hiyo yameingia bandarini yakiwa na namba tayari na bendera za Chadema?
Tunasubiri na lile li - Helikopta bana! Hilo ndilo litakalo kamilisha mizania ya mahesabu ya ruzuku na ile michango.Lazima ibalance.Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Tuache ujinga ofisi siyo ya msingi?Hilo sio la msingi saana.
Acha kuropoka mtoto wa kikeMkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Yale ya kijani ,mbona hukuleta kadi...?tulia dawa iingie usikukuruke nitamwaga chini..Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Mpenzi nilikumiss! Jibu jema sanaMpenzi wangu nilikumiss