Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

kwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo

1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...
Upupu unaoandika humu unaonyesha kwamba mmiliki wa sifa ulizotaja ni wewe
 
Mkuu kuna sababu za msingi tu sio kwamba inashindikana. Kama unaweza kuona kwa jicho la tatu tazama issue ya Lipumba alivyoibaka Cuf kupitia ofisi ya chama tu. Ndio maana utaona hii huwa ni ajenda ya ccm zaidi kwani wanajua namna ya kuitumia kuwanufaisha.

Ofisi kwa dunia ya leo ni zaidi ya majengo mkuu hasa katika hatua hii waliyopo Cdm.
Upo sahihi kiongozi, dunia imebadilika na inakwenda kubadilika zaidi baada ya sakata la covid 19, makampuni mengi yanakwenda kupunguza kukodi majengo kwa ajiri ya ofisi. Teknolojia inachukua nafasi
 
Hiyo picha uongo kwa hiyo yameingia bandarini yakiwa na namba tayari na bendera za Chadema?
 
Traffic police jiandaeni kusimamia sheria za usalama barabarani hizo pick up haziruhusiwi kubeba Watu nyuma Ni mizigo tu ndio inatakiwa kupakiwa nyuma wasije pakia Watu nyuma tafadhali

Watu wanatakiwa kupanda mabasi Sio nyuma ya pick-up Kama hizo za chadema
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni


MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Tunasubiri na lile li - Helikopta bana! Hilo ndilo litakalo kamilisha mizania ya mahesabu ya ruzuku na ile michango.Lazima ibalance.
 
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Yale ya kijani ,mbona hukuleta kadi...?tulia dawa iingie usikukuruke nitamwaga chini..
 
Hiyo ruzuku ingenunua vifaa kwa ajili ya kurusha matangazo kupitia mitandao ya kijamii. Ili kufikisha ujumbe

Vifaa vinavyohitajika ni

-camera yenye sdi out

-wireless microphone ya camera

-sdi cable

-liveUsolo

-modem ya 4G

-line ya 4g yenye bando.



Wakipata hiyo setup wanaweza kuenda live wakiwa popote kwenye mtandao kupitia youtube, facebook. Inabidi wanunue haraka kabla ya kampeni kuanza. Hakuna chombo chochote cha habari kitakacho onesha hata picha ya wapinzani.



NB: wale wazoefu wa kuagiza vitu mtafanya bajeti ya vifaa.
 
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!
 
Back
Top Bottom