Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

Hebu tuelezee hizo factors mzee baba
Unaoa harafu mkeo haumjali, Hapo utapewa sehemu ya Siri sio mapenzi.
Unaoa na unamsaliti mkeo, tena waziwazi na siku ukikosa pesa ya kumpa mchepuko Ili akupe penzi ndio unamkumbuka mkeo, hapo utapewa sehemu za Siri na sio mapenzi.
 
Nashauri semina za ndoa kwenye nyumba za ibada zipewe kipaumbele ili wanandoa waelewe umuhimu wa tendo la ndoa, kumnyima mme tendo Kwa muda mrefu inapelekea mme kupata hasira na matokeo yake ndo kama hayo wananawake wengi hawatambui wajibu wao kwenye ndoa
Wanaume hawawajibiki kuhudumia familia, wanawake wako busy kuhudumia familia Hadi mzuka WA tendo unahama
 
Uamuzi wa kuoa ni kulangua nanii! na hivyo muolewaji ni malaya wa jumla.Kumnyima nanii! si afya kisaikolojia.
 
Jemba yaomekana lilikuwa linataka kupata utaam tu bila kujali majukumu ya home. Yaani yawezekana kinashinda kilabuni afu usiku mkubwa hilo home mdogo mdogo - haya mama panua shafika limwage.. likishamaliza linageukia ukutani..linakoroma
Msichana akaona haya so maisha akaanza kulinyima mzigo..

Chanzo cha haya yote ni umaskini.
Uko sahihi umasikini ni chanzo cha matatizo mengi sana
 
Labda kama mke amejua mumewe kaivaa miwaya..?? Anataka ampe waumwe wote? Halafu nyie wanaume hamjui...
Wanawake kitu kidogo tuu kinafanya appetite ipotee...labda lugha mbaya..mdomo unanuka pombe..labda umemjua mchepuko wake...n.k
Hata wanaume pia ku loose appetite ni rahisi, mfano k inakuna samaki
 
Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Mjinga kabisa, hiyo nguvu aliyotumia kuua na kukimbia angetumia kupata mchepuko asingekuwa kama digidigi
 
Wanawake acheni ujinga mtakufa bure sasa unabana uchi unataka umpe nani .

Wewe ukiolewa tambua hauna mamlaka na k yako .mmeo akitaka kuichakata mpe aichakate mpaka inukie halufu ya nyama .

Halafu nanyie wanaume wenzangu acheni ujinga tafuteni michepuko. Lasivyo mtaozea jera mbwa nyie.
Khaaa.
 
Kwa kasi hii, ni LAZIMA taasisi ya ndoa itakuja kuvurugika na kufa.
Ipo hatari kubwa sana kwa kipindi kifupi miaka michache ijayo hapatakuwa na watu ambao watataka kuoa Wala kuolewa. Suala la ndoa litakuwa limefika ukomo wake na kutoweka rasmi katika jamii.
Kuna mtoto wa shemeji yangu mke wake kanywa sumu ila hajafa kisa kafumaniwa kwenye chat za simu akiwasiliana na mchepuko. Sijui imekuwaje jana mwanaume kakamatwa na polisi ,nasikia mchepuko katoa hela polisi ili yule mume akamatwe.
Ndoa ina migogoro kibao hadi wanakwidana barabarani.
Taasisi hiini majanga kila kona.
 
Kitendo cha kumkimbiza hadi nje tayari siyo Manslaughter hiyo ni murder pure kabisa ameua kwa kukusudia ingekua ni reaction ya hapo na hapo ndo ingekua kaua bila kukusudia ila hii ya kushika mpini mtu kakimbia na wewe ukamkimbiza maana yake umepata muda wa kutafakari ni nini unafanya na umeamua kufanya
Ukichaa tu huo. Yaani unamkimbiza mtu na rungu kisq K. Si muachane tu kila mtu ashike hamsini zake.
 
Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea, Novemba 14,2024 Majira ya saa 12 Asubuhi katika kitongoji cha mbilo kijiji cha kizuka kilichopo kata ya kizuka Tarafa ya Mhukuru Wilayani Songea.

"Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Luciana Dastani kapinga (22) mkulima mkazi wa kitongoji cha mbilo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali maeneo ya kichwani upande wa juu wa jicho la kushoto hadi kichwa kubonyea na mume wake aitwaye Martin Hyera Baada ya kumnyima Unyumba"

"Wawili hao walionekana alfajiri wakikimbizana huku Mtuhumiwa Martin Hyera akiwa ameshika mpini wa Shoka kisha kutekeleza Mauaji hayo na baada ya kutekelezea mauaji hayo Mtuhumiwa alimpigia simu shangazi yake aitwaye Paulina nchimbi na kumjulisha kuwa amemuua Mke wake kwa sababu amekuwa akimnyima unyumba kwa muda mrefu kisha Mtuhumiwa huyo alitoroka" - SACP Marco Chilya, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma
Muuaji ni mgonjwa wa akili au ni maskini wa pesa. Wanawake wamejaa kama utitiri angeenda akawanunua mtaani.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Wangoni wanavyopenda ngono sasa inakuwaje Luciana alikuwa anambania Mume wake? Au kuna sehemu alikuwa anatoa huduma ?

Changamoto sana
Hakumpenda mumewe, ukute aliolewa nae kwa lazima.
 
Cha asubuhi kina nguvu..hadi jamaa kawehuka.... kichwa cha chini kikisimama,cha juu hakifanyi kazi
 
Back
Top Bottom